Njia rahisi ya kupata mpenzi wa maisha

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
28,808
39,013
Kama wewe ni mwanamke ama mwanaume, tumia njia hii kupata mume/mke pale unapokutana na mtu aliyeuteka moyo wako, na umwambie hivi:-

Kwa mwanaume: - 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mke wangu'
Kwa mwanamke:- 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mume wangu'

Unapokuwa unamwambia, uwe siriazi na uwe na tabasamu la mbali; baada ya hapo utaona ameshikwa na mshangao na ataongea kwa hisia. Kama yuko 'single' utakuwa umejinyakulia ushindi.
 
Siku hizi wanawake wanajirekodi video clip na kupost kwenye mitandao ya kijamii wakijifanya kujitambua, kuwasifia wanaume na kutoa Rai kwa wanawake wengine wasiwabugudhi wanaume. Basi wanaume wanajaa wakidhani ni wife material kumbe ni trick
 
😂😂😂 ni usanii wa mjini
 
Kama wewe ni mwanamke ama mwanaume, tumia njia hii kupata mume/mke pale unapokutana na mtu aliyeuteka moyo wako, na umwambie hivi:-

Kwa mwanaume: - 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mke wangu'
Kwa mwanamke:- 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mume wangu'

Unapokuwa unamwambia, uwe siriazi na uwe na tabasamu la mbali; baada ya hapo utaona ameshikwa na mshangao na ataongea kwa hisia. Kama yuko 'single' utakuwa umejinyakulia ushindi.
X- mass
 
Mkuu achana na story za kitoto ninachotaka kukuambia ni kwamba

1.kama wewe ni mwanaume tafuta pesa narudia tena tafuta pesa hiyo ndio silaha pekee itayokupatia mpenzi umtakaye

2.kwa mwanamke sifa kuu awe mpole tuu
 
Inategemea mkuu, kwa hiyo usipokuwa na pesa usioe?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom