njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Udhalilishaji wa Watoto kwa njia ya maneno

    Udhalilishaji kwa njia ya maneno unatokea pale ambapo Mzazi/Mlezi au Mtu aliye karibu na Mtoto anapotumia maneno yenye kumuumiza Mtoto Kihisia kwa nia ya kumuonya au kumdhibiti Baadhi ya maneno yanayoweza kumdhalilisha Mtoto kwa kumuumiza hisia zake ni; Kumkemea au kumkaripia mbele ya hadhara...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kuagiza mzigo kutoka China kwa njia ya meli kupitia silence ocean au kampuni yoyote

    Habari wana jf kwa anayefahamu kiasi gani kitanikosti nikisafirisha mzigo wa kilogram 50 na mzigo wa kilogram 100 kupitia kampuni za hapa bongo zitakosti Bei gani? Tafadhali naomba nijue kwa anaye fahamu asanteni
  3. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia za kujiepusha na mapenzi haramu

    Mapenzi haramu ni jambo baya kiafya na hata kiimani. Tukifanya mapenzi kulingana na utaratibu uliowekwa wa kibinadamu basi kuna faida nyingi ikiwemo. Kupata watoto na kujenga familia jambo ambalo ni baraka. Zipo baadhi ya njia za kujiepusha na mapenzi haramu/mapenzi yanayofanyika pasipo...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars kuondolewa kwenye njia ya kwenda Qatar ni baraka toka kwa Mungu

    Haya niambie!!! Taifa stars kwa ku fluke ikawa hiyooo hadi Qatar. Hebu tuseme ukweli ingekuwaje? Taifa lengepata aibu inayoweza kuuangusha chini hata mlima wa Kilimanjaro. Timu hii ya akina Samatta na Kibu ingemwaibisha Waziri mkuu na kila mtu nchini. Kilichoipata Zaire 1974 ambacho dunia...
  5. James Martin

    JamiiForums Tanzania January Makamba akiweza kutatua tatizo la umeme nchini atakuwa amejisafishia njia

    Hivi sasa nchi inapitia wakati mgumu kwa watumiaji wa umeme na mafuta. Kwa mtazamo wangu naona hizi changamoto zitakuwa zinamkosesha usingizi waziri husika. Lakini kuna kitu kinaniambia kwamba huyu kijana hatokubali kushindwa kuzitatua hizi changamoto. Sababu kubwa ni kwamba yeye anajua fika...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Wamachinga wa Msimbazi Kariakoo wanatandika bidhaa chini kwenye njia ya waenda kwa miguu

    Kwamba fujo zooote zile, halafu hakuna kilichobadilika, utaahira wa wapi huu? Mtu unashindwaje kusimamia ulichokianzisha?
  7. May Day

    JamiiForums Tanzania Njia pekee na ya msingi ya kudhibiti plastiki ni kuhimiza au kuunga mkono viwanda vya kurejeleza taka za plastiki

    Ni dhahiri ya kuwa kwa sasa Dunia inashuhudia vilio kila kona juu ya kero na balaa linalosababishwa na taka za plastiki. Na kama ilivyo kwingine Nchi yetu nayo haijanusurika na janga hili, kila Mtu mzima anashuhudia hatua mbaya tuliyofikia ikisababishwa na taka hizi za plastiki. Ni vyema sasa...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Penye nia pana njia: Ni wiki ya 5 sasa sijatia soda mdomoni, kumbe inawezakana kabisa

    Mara ya kwanza nilipojaribu nile chakula bila kunywa soda niliona maisha magumu sana, chakula hakishuki, sina hamu ya maji wala juisi ya matumda wala chochote kile, yaani natamani soda tu, hapa ndipo nilipogundua kumbe hii ni shida, ni kama madawa ya kulevya, nina mashaka kuna kitu wanaweka...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Manispaaa wekeni lami njia ya makaburi ya Ununio tusifukue makaburi

    Kwa ambaye ameenda Aprili akienda leo atashangaa makaburi ya Ununio yalivyoongezeka mji umepanu Kinondoni inasubiri sana yamepangika kwa heshima ukiwaza sana unaweza omba ubakie huko Kuna njia ya kuingilia makaburini opposite na Kanisa la Lutherani tunaomba Manispaa wekeni lami ile njia...
  10. Traveller_mona

    JamiiForums Tanzania Njia ya asili ya kusafisha sinki

    Wakuu heshima kwenu? Naomba kujuzwa kwa mwenye kufahamu njia ya asili ya kusafisha masink, yaan kung'arisha masinki bila kutumia dawa za kemikali.
  11. J

    JamiiForums Tanzania TCRA: Imekutana na Wawakilishi wa Umoja wa Watoa Huduma za Matangazo kwa njia ya Waya

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekutana na Wawakilishi wa Umoja wa Watoa Huduma za Matangazo kwa njia ya Waya (Cable Operators - TACOL), Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA), Tume ya Ushindani Tanzania (FCC) na Baraza la Mashauriano la Watumiaji la TCRA (TCRA -CCC) katika kikao cha...
  12. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Nimekanyaga chungu kilichovunjwa njia panda, sina amani kabisa mpaka sasa

    Wakati natembea nikiwa sina hili wala lile nimejikuta nakanyaga haya mazaga katikati ya njia panda. Kwa kweli nimeghafilika sana! Na hii si mara ya kwanza. Naona mwamba aliambiwa aweke na chumvi ya mawe😅😅 kisha akaja kupasulia shida zake hapa.
  13. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Wanamapinduzi Chama cha Mapinduzi tutahakikisha Samia Suluhu anafuata njia ya Hayati Magufuli ya kimapinduzi

    Watu walimchagua magufuli kwa kura asilimia 84.3. Bahati mbaya Mungu kamchukua Magufuli. Mama umesema kwa kauli yako mwenyewe wewe na Magufuli ni kitu kimoja. Tunategemea kuona nchi ikiendeshwa kwa msingi uleule wa kutetea maslahi ya umma. Kupiga vita ufisadi na uzandiki wa kila aina. Kujenga...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kodi anayolipa Mtanzania inamrejea kwa njia ipi? Inatosha?

    Leo ninapenda kueleweshwa hili la kodi tunazo lipa. Huduma kama vile - : Maji tunalipia Umeme tunalipia Elimu tunalipia Hospitali tunalipia barabara tunalipia Mtanzania anapata wapi Asante ya kodi yake na Masamaki, mamisitu, mazahabu, maalmasi, maserengeti ngorongoro
  15. Strictly Syrup

    JamiiForums Tanzania Msaada: Njia bora zaidi ya kupokea fedha kutoka US ni ipi?

    Natumaini mnaendelea vema katika harakati za kuusaka mkate wa kila siku. Nimekuja hapa nahitaji msaada, kuna malipo natakiwa kupokea, lakini njia nilizokuwa natumia kupokea fedha kutoka kwa watu wengine wa hukohuko US leo zimenigomea kwa huyu mtu anayetaka kutuma malipo. Nimetumia sendwave...
  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania Dharura Makunganya Morogoro; Kuna roli la mafuta limeharibika na kuziba njia. Polisi wahini

    Polisi Morogoro wahini pale wanapokaa trafiki Kuna lori limeziba njia na pana kona kali na mteremko. Ni hatari Sana RTO Morogoro fuatilia.
  17. Abu Haarith

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kufitisha main switch ya njia nne

  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hivi kama kodi zinajikata zenyewe kwa njia ya mitandao kuna haja ya kujaza watu wa kodi maofisini?

    Kwa nilichokuja kugundua ni kwamba kodi nyingi sasa zinatokea kwenye miamala ya simu tunayotuma na kupokea. Kwa njia hiyo inamaanisha kwamba zikijikata tu zinaingia, moja kwa moja kwenye akaunti ya kodi hivyo automatically zinajihesabu zenyewe. 😅😅😅😅😅😅😅 Sasa kama mambo mazuri ndio hayo nilikua...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Njia ya Kuwatimua Machinga ni Serikali Kutengeneza Ajira Mpya

    Njia rahisi ya kuwatimu wamachinga ni serikali kutengeneza ajira mpya. Haina maana kabisa kuwa na mji msafi halafu watu wanakufa na njaa, watu wanashindwa kuhudumia familia zao. Tatizo liliopo siyo machinga kuteka mitaa, tatizo liliopo ni hakuna ajira mbadala. Tengeneza ajira umachinga utakufa...
  20. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Ujenzi ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara hadi Kibaha mkoani Pwani, unaendelea vizuri

    Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), umesema ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara jijini Dar es Salaam hadi Kibaha mkoani Pwani, unaendelea vizuri na utakamilika kama ulivyopangwa. Pia, umesema kuwa mpaka sasa mradi huo ambao utakwenda kupunguza tatizo la msongamano wa magari...
Back
Top Bottom