njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania LATRA tunaomba usafiri wa daladala katika barabara kutoka Goba njia nne kupitia Madale kwenda Tegeta

    Wasaalam Mlioko humu ndani. Kichwa cha habari chahusika. Kutokana na kukamilika kwa ujenzi wa barabara kutoka njia nne kwenda Tegeta Nyuki ambapo tumeona magari mengi ya mikoani yanayoenda mikoa ya kaskazini yakipita katika barabara hii. Ni wakati mwafaka kwa LATRA kupanga route ya Daladala...
  2. smartdunia

    JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kutimiza ndoto

    Imeandikwa Na Smartdunia. Nasikitika kusema,huu ni ukweli unaoumiza, lakini wenye uwezo wa kukubadilisha kabisa. Hebu tuanze na kauli hizi tulizozizoea Kisha tujue madhaifu na mazuri yake yote. "Tafuta pesa ili watoto wako wasikae kwenye vijiwe kubishana kuhusu Diamond na Harmonize" "Tafuta...
  3. tpaul

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia bora za kutokomeza uvutaji wa bangi nchini Tanzania

    Ukipita katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na katika miji mingine mikubwa, aghalabu utawakuta vijana na baadhi ya watu wazima wamekaa katika makundi wakivuta bangi na kutumia dawa nyingine za kulevya bila wasiwasi wowote. Hili hutokea zaidi nyakati za jioni na usiku lakini pia sio...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Utamaduni; Ndugu wanisihi nikawawekee wanangu kinga kama desruri, nipo njia panda

    Nipo njia panda wakuu, Zamani enzi zetu miaka ya nyuma kidogo kuna baadhi ya makabila kwenye koo flani ilikuwa ni lazima upewe kinga, haya mambo yalianza zamani sana tunaambiwa ni baada ya wahamiaji wapya, kuowa nje ya ukoo, kuchanganyana na koo mpya kukaanza kujitokeza mambo ya teknolojia ya...
  5. ommytk

    JamiiForums Tanzania Njia tofauti za kupata mtaji wa biashara

    Naomba leo tuzungumze namna tofauti Za kupata mtaji kwakuwa kuna changamoto Sana kwa Wau wengi wanaotaka kufanya biashara kupata fedha Za kuanzia. Napenda tuangalie namna na mbinu unazoweza kuzitumia kufikia malengo yako Ya biashara Mbinu ya Kwanza naweza kuelezea ni ni kuhifadhi pesa hii ni...
  6. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Mataa njia panda ya Barakuda - Segerea yamekuwa kero

    Habarini wakuu, Hii barabara ilikuwa haina mataa ila hivi karibuni kuna mataa yamewekwa kwenye hii njia panda ya barakuda ambayo inahusisha barabara ya kutoka na kweda Tabata Segerea (Segerea - Bima) pamoja na barabara ya kutoka na kwenda tabata chang'ombe (Chang'ombe - Vingunguti). Kiukweli...
  7. Frank Lyova

    JamiiForums Tanzania Nawashwa kwenye njia ya haja kubwa

    Habari wadau.. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.. Nina kama mwezi sasa nasumbuliwa na kuwashwa kwenye njia ya haja kubwa.. Nimeshameza dawa za minyoo lakini tatizo bado lipo.. Kwahyo naomba mwenye kujua tatizo hili na dawa yake anambie..
  8. O

    JamiiForums Tanzania Njia nzuri ya kupata mafanikio

    Mbegu tunazopanda leo ni mazao ya msimu ujao. Ukipanda mbegu mbaya utavuna mabaya na ukipanda mbegu nzuri utavuna mazuri. Ukitenda mabaya leo kesho yako itakuwa mbaya pia ukitenda mazuri leo kesho yako hakika itakuwa nzuri yakupendeza na yenye kufurahisha kwa kila mwenye macho na maskio. Hivyo...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunatumia njia zipi kubaini wageni wanoingia nchini wamepima Covid-19 na hawaambukizi wengine?

    Tanzania ni nchi ambayo ilipofikia kwa sasa ipo njia panda. Macho ya maadui bado yameelekezwa kwetu kuona tunakwenda vipi baada ya kuondokewa na hayati Magufuli na viongozi wengine waandamizi akiwemo mhandisi Mfugale. Ajira ni tatizo kubwa sana na vijana wahitimu wa shule na vyuo wengi wao...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mandela aliitwa gaidi na makaburu weupe, na sisi tunapita njia hii mbele ya makaburu weusi

    Nelson Mandela aliitwa GAIDI na makaburu weupe wa Afrika ya Kusini na kufungwa jela kwa miaka 27. Baadaye gaidi akawa rais wa nchi... naye alikiri kwa kusema, In my Country , we go to prison first, and then we become President!... Nelson Mandela (1918–2013) was a South African black nationalist...
  11. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia na malezi bora kuelekea kutimia kwa ndoto za walio wengi

    Je, wangapi unawajua wametimiza ndoto zao '?, Na wewe kama wewe ulishiliki vipi kuzitimiza '? ,Na pia ni wangapi unawafaham hawajatimiza ndoto zao na wameshakata tamaa katika kutimia kwa ndoto hizo '?, Na ni wangapi mpaka leo bado wanapambana ili kufikia na kutimia kwa ndoto zao ,na wewe...
  12. kasanga70

    JamiiForums Tanzania Hivi ukitaka kutoa mapendekezo ya vyanzo vya Kodi kwa Taifa, serikali inasikia kupitia njia ipi?

    Bado ninaamini serikali makini itakuwa na mfumo rahisi na wa wazi kupokea maoni mbalimbali tulionao wananchi juu ya mapendekezo Kodi zitoke wapi na mambo mengine. Hivi kwanini ndugulile akaongezewa kitengo kingine hiyo wizara ya mawasiliano, wakatengeneza data base inayoweza kupokea na kuchuja...
  13. Truth Bot AI

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuongeza kipato: Kilimo cha pilipili kichaa kinavyoweza kumfaidisha kijana wa Kitanzania

    Habari wanajamvi wenzangu! Tatizo la ajira limekuwa sugu lakini nimekuja na suluhisho ambalo litaweza kuongeza kipato kwa sisi watu wa chini na hasa waliomaliza chuo na kukosa posts. Naeleza hiki kutokana na Experience yangu na jinsi nilivyofanikiwa kwa kilimo hiki cha pilipili kichaa (African...
  14. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Njia za kutatua "Psychological Distress" anayopitia Freeman Mbowe na taifa kwa ujumla

    Mimi si mtu wa vyama vya siasa au muumini wake ila kwa alichoongea kaka yangu Mh freeman Mbowe sikiafiki moja kwa moja na wala sikipingi. Jana akiwa mwanza Mh.Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA MH Freeman Aikael Mbowe, kimoja kati ya alivyozungumzia ni kuhusu Utolewaji wa chanjo ya Uviko...
  15. Chani Mohamedi

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia ya upatikanaji wa fedha kupitia mzunguko wa fedha nchini

    Mzunguko wa fedha ni kiwango cha fedha ambacho kipo katika jamii kupitia matumizi mbalimbali ya serikali. Mzunguko wa fedha hutokana na sera mbalimbali ambazo ni zimewekwa na Bank kuu katika kuruhusu kiwango cha mzunguko wa fedha KWA NAMNA GANI MZUNGUKO WA FEDHA UNAWEZA KUWA MDOGO Mzunguko wa...
  16. Marjo Mlekwa

    JamiiForums Tanzania SoC01 Sanaa ni njia nzuri ya kutatua tatizo la ajira, Tusipuuze

    HIVI UNAJUA MAPENGO YA KINYWA CHA SANAA YANAWEZA KUZIBIKA KAMA TUKIAMUA? 'Licha ya jopo la madaktari kupambana Na changamoto za kinywa hiki, bado tatizo sugu la mapengo limeonekana kuwazidi nguvu, kinywa kinazidi kupata mapengo kila uchwao' Leo nakukaribisha uone muundo halisi wa Kinywa hiki...
  17. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Athari zinazoweza kujitokeza kutokana na tozo mpya katika miamala ya fedha kwa njia ya simu kwa uchumi wa nchi yetu

    UTANGULIZI Hivi karibuni tumeshuhudia Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania likifanya mabadiliko ya sheria ya fedha, (The Finance Act) na kuongeza kifungu namba 46A, kifungu kidogo(1) kinachosema kwa tafsiri isiyo rasmi; “Kutakuwa na tozo zitakazokatwa kwenye miamala ya fedha kwa njia ya simu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigullu tuondolee hiyo kodi ya kizalendo kwenye Sadaka za Bwana siku za Dominica kwa njia ya miamala!

    Nakusalimu kwa jina la JMT Dr Mwigullu Nchemba. Kwa kifupi sana: Naomba uitazame upya hii kodi ya kizalendo kwenye Sadaka zetu tunazomtolea Mungu mwenyezi kwa njia ya miamala ya simu hasa siku za Jumapili na kwenye mikutano ya Injili. Nawatakia Dominica yenye baraka!
  19. safuher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia sahihi za kuwakwamua wazazi wasiwe wategemezi kwako siku za mbeleni

    Wazazi wetu ni watu muhimu sana ambao hakuna ambae aliwaomba wamlete hapa duniani,kila mmoja alikuja duniani kwa sababu wazazi wake walitamani mtoto hivyo tumekuja duniani kwa mapenzi ya wazazi na sio mapenzi yetu. Katika siku za karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya vijana tunaotafuta...
  20. Mwalimu Saidi

    JamiiForums Tanzania SoC01 Namna ya kutumia changamoto ya ajira kama njia ya kutengeneza ajira zaidi nchini

    Ni ukweli usopingika Tanzania kwa sasa tuna wimbi kubwa la vijana wasio na ajira kutokana na mfumo wa elimu kutokuwa rafiki sana kwa vijana kujiajiri, hivyo kupelekea vijana wengi kukata tamaa na kupoteza kabisa malengo yao walojipangia katika maisha. Laikini ukweli ni kwamba kuna njia nyingi...
Back
Top Bottom