Doctor MD
Senior Member
- Jan 10, 2020
- 129
- 147
LISHE BORA KWA AFYA
Fuata maelekezo haya ili uweze kujua aina za vyakula ili kuboresha afya yako.
1. Ulaji wa mboga za majani na matunda mbalimbali ambayo yana rangi tofauti tofauti. Hii husaidia kuzuia magonjwa mbalimbali ambayo ni sugu kwa hiyo fanya ulaji wa matunda kuwa sehemu ya mlo wako wa kila siku.
2. Punguza ulaji wa vyakula vilivyopuliziwa dawa au kuzalishwa kwa madawa mbalimbali kama
3. Acha au punguza matumizi ya nafaka zilizokobolewa. Hii husaidia kupunguza kiwango cha sukari mwilini hovyo kuleta msawazo wa kiwango bora cha sukari katika mwili.
4. Kupunguza ulaji wa nyama kwa rika zote za umri hii hupunguza wingi wa mafuta katika mwili wa binadamu hivyo kupunguza hatari ya kupata magonjwa ya moyo na saratani.
Kula chakula sahihi kwa kupunguza vyakula vya mafuta haswa mafuta ya wanyama kama nyama
5. Punguza ulaji wa vyakula vya chumvi nyingi, jifunze ulaji wa chakula kisicho na chumvi wakati mwingine itakusaididia sana.
6. Punguza au acha kula vyakula vilivyoongezwa flavour kama vile soda, pia acha kula vyakula vilivyoodheshwa ili kujengwa mwili mzuri Zaidi.
7. Punguza au acha kula vyakula ambavyo si salama katika utunzaji wake ili kuweza kuwa salama Zaidi kutoka katika magonjwa ya mlipuko.
8. Kunywa maji mengi nay a kutosha hii itasaidia mwili wakomkuwa salama Zaidi.
N.B; ulaji wa vyakula vyenye fiber kwa wingi huongeza kupungua uzito kwa haraka
Endapo njia hizo hapo juu hazikusaidii Basi Kuna supplement zisizo na madhara kwa mwili na zinaweza kupunguza uzito kwa haraka Sana
BY DR. MSOKWA
Ukihitaji msaada zaidi tupigie kupitia/WhatsApp 0757160773
Email: devidakimu@gmail.com