nifanye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ukweni hawanitaki, wanasema nimempa dawa kijana wao. Nifanye nini?

    Habari wana jf, Mimi ni binti wa miaka 26 na nipo kwenye mahusiano na Tunatarajia ndoa ila Ukweni wanaweka pingamizi sana na sijawahi fanya chochote kibaya na wala sina mazoe na wakwe zangu ila chakushangaza mama mkwe Anamuuliza Kijana wake "Hivi Bado upo na yule mwanamke tu kwani amekupa...
  2. Pleasepast

    Mama mkwe kamtorosha Mke wangu, nifanye nini niko njia panda

    Habarini za usiku wapendwa Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke...
  3. KENZY

    USSD haileti keyboard ya maneno nifanye nini?

    wakuu habari ningependa kujua au kupata ufafanuzi na utatuzi kama inawezekana. USSD imekuwa haileti keyboard ya maneno ni namba tu so siwezi kuandika hata #. Nifanye nini kutatua?
  4. Mganguzi

    USHAURI: Vipimo vya UKIMWI kupitia mdomo vinaonesha mmoja wetu ameathirika, sasa hataki tena kunipa unyumba

    Nampenda sana mke wangu, inshort ni mrembo sana na amejaaliwa kila kitu ambacho mwanaume anakitaka kwa mwanamke na nimezaa naye mtoto mmoja. Miezi mitatu iliyopita tulikuwa katika hali ya kutaniana, mimi nilikuja na vipimo vya HIV vile vya kuweka mdomoni, kuna jamaa yangu ni daktari alinipa...
  5. W

    Nazeeka kwa kasi ya ajabu mno. Nifanye nini?

    Yeyote aliyeniona miaka miwili au mitatu tu iliyopita ananishangaa na kutishika. Walionilea na niliowakuta wakiwa wakubwa sasa ninawapita. Mvi zimetamalaki kidevuni na kichwani mara nne yao. Nimegeuka kuwa kichekesho na mshangao kwa wanafamilia tunapokutana kwenye matukio yanayotukutanisha...
  6. jastertz

    Natamani nifuge samaki chumba nilichopanga

    Habari JF, Leo katika pita pita zangu nimekaa nimewaza nianzishe ufugaji wa samaki ndani ya chumba nilichopanga, Nikianza na samaki hata kumi naona watatosha, Hii imekaaje wadau... seem like joke but niko sawa kabisa. any idea
  7. A

    Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

    Mimi ni mwajiriwa niko maeneo ya Kijijini Nina kahela nmesave sh milioni 7 nataka nizungushe kanipatie faida Biashara gani itanifaa maana huku nilipo mzunguko wa hela ni mdogo. Napata wakati mgumu
  8. B

    Nifanye biashara gani. Ushauri wenu unahitajika

    Wakuu poleni na majukumu. Nimeweka akiba yangu ambayo baada ya miezi miwili inaweza fikia milioni 20. Nifanye biashara gani kwa kipato hicho Ushauri wenu ni muhimu sana
  9. Tommy 911

    Nina mtaji wa laki moja. Je nifanye nini ili niwe napata angalau elfu mbili kwa siku?

    Habarini wana jf. Nimepata mtaji laki moja.je nifanyej ili nipate elfu mbili mpk elfu tano per day. @everyone
  10. Econometrician

    Jamani madaktri wa macho nifanye nini katika hili?

    Jicho langu moja LA kushoto miezi 5 iliyopita nilianza kuhisi lina uono hafifu,badaye nikaanza kuhisi jicho kama linajiziba kama linajifunga wakati huo huo miale ya mwanga ikawa inaniumiza sana hasa wakati nikitoka kulala au kukiwa na jua na usiku mwanga wa gari au pikipiki unaniumiza pia...
  11. A

    Maoni yangu jinsi ya kuboresha Sekta ya Elimu nchini

    Habari wana bodi ni matumaini Yangu kuwa wote ni wazima wa afya. Mimi ni Kijana wa kitanzania miaka 23 pia mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya ualimu sayansi. Siku ya Leo nimewaza Sana ambayo yanaweza boresha sekta ya elimu na maisha ya walimu kwa ujumla kama ifuatavyo; 01. Kuwe na Kodi ya...
  12. M

    Biashara gani nifanye kuanzia leo july,august,september,november ,december na january?

    Kutokana na kuwa na wimbi la kila organisation kuweka system zao ONLINE. Je kwa uhitaji huu wa mambo ya online mfano kuhakiki vyeti,passport,vyeti,leseni,police fine, na mambo mengi tu. Unanishairi nifanye kitu gani na miki niingize mia miambili? Nifanye biashara gani? Itakayo nilipa? Niko mbagala
  13. Hyrax

    Naomba ushauri Ninunue Bajaji au IST Nifanye Uber/Bolt

    Wakuu salaam, Naomba ushauri wenu aisee maana ni wiki sasa najaribu kudadavua kipi ninunue kati ya Bajari au Gari aina ya IST kwaajili ya biashara ya huduma ya usafiri hapa mjini kupitia Bolt na Uber, mbali na hilo ntakuwa nafanya mishe zingine kupitia chombo nitakachonunua sasa naomba wenye...
  14. Barieda

    Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Wakuu kwema, Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto). Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye...
  15. T

    Mimi ni mwalimu, nje ya kazi yangu nifanye kitu gani nitoke kimaisha?

    Wakuu habari za muda huu, Kuna mijadala inaendelea hapa jukwaani juu ya Hali za maisha ya walimu. Ni kweli walimu tuna maisha magumu, kwa pamoja tumelipokea. Ndugu zangu tunaomba ushauri wenu, tufanye biashara Gani ambazo zitatuingizia angalau kiasi Cha shilingi 10000 kama faida. Natumaini...
  16. R

    Biashara gani nifanye?

    Habari ndugu zangu, naombeni mnisaidie ni biashara gani naweza kufanya hapa Dar es Salaam kwa mtaji wa laki tano?
  17. Melki Wamatukio

    Wanawake wa uswazi wanaivuruga sana akili yangu. Nifanye nini kuikabili hali hii?

    Sio siri wakuu. Mpaka sasa nimeamua kuweka makazi yangu Uswazi. Familia nimeiacha ushuwani huko Wanawake hawa wamekuwa ni watu wa kujiachia sana. Yaani kumkutiliza anafua huku kanga nyepesi inapepea na kuacha kitumbua wazi huko nyuma, haoni ajabu. Ni sawa na mtu aliyekisusa kabisa Wanawake wa...
  18. M

    Nifanye nini

    Naombeni ushauri nifanye nn, Na chuki na Wanawake, AKil yangu nahsi inaharibika, nisaidie nipate msaada wa kaisaikolojia Moyon naumia sana wakuu wangu
  19. B4g3g3

    Thermal expansion noise ya nyumba imepitiliza viwango nini nifanye?

    Habari, Nyumba imeezekwa takriban mwaka sasa, bati Gauge 28 ya Alaf, Tatizo ni kelele za bati pindi jua libapowaka na usiku likipoa ( thermal expansion noise). Nashindwa kuelewa, tatizo ni fundi au material ya bati lenyewe au ndo jua ni kali? Nini naweza kufanya?
  20. kindikinyer leborosier

    Msaada nifanye nini niwe na amani?

    Assalam wanajamvi? Bila shaka mpo salama na mnaendelea vyema na majukumu! Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni mwajiriwa wa taasisi moja binafsi, mwaka jana nilipata changamoto mbaya sana inayonipelekea kukosa amani sana. Kazini mimi ni mchangamfu sina shida na mtu, na...
Back
Top Bottom