Ukweni hawanitaki, wanasema nimempa dawa kijana wao. Nifanye nini?

microsoft g

Member
Dec 30, 2023
22
62
Habari wana jf,

Mimi ni binti wa miaka 26 na nipo kwenye mahusiano na Tunatarajia ndoa ila Ukweni wanaweka pingamizi sana na sijawahi fanya chochote kibaya na wala sina mazoe na wakwe zangu ila chakushangaza mama mkwe Anamuuliza Kijana wake "Hivi Bado upo na yule mwanamke tu kwani amekupa nini? Si umwache mbona wanawake wapo wengi umekaa nae muda mrefu hivyo itakua amekupa Dawa huyo"
Na ukweli nikwamba mimi sijui mambo ya Dawa wala ushirikina

Namwamini sana MUNGU Na hata kumpata huyu mwanaume nilifunga kwa maombi nikaongea na MUNGU anijalie mwenza wa maisha na sio kupoteza muda
Ila nashangaa kwao kumekuwa na pingamizi sana
(ila kwao wana imani za kishirikina)

Mara wanasema najipendekeza kwao mara nimemloga mwanao, sasa nashindwa kuelewa ana tatizo gani hasa hawa wakwe zangu, ila nikikutana ma mama mkwe anafurahi nampa zawadi na yeye ananipa zawadi na tena mara nginyi ni yeye ananipigia simu niende tukapange siku za weekend's ila akiwa na mwanae ndo anamwambia hayo maneno na mwanae anakuja nieleza.
 
Huyo Mungu unaemwamini sana kuna jambo anakuepushia ila wewe moyo mashine unakomaa ukubalike.

Huyo mwanaume nae kuna ujumbe anaufikisha kwako kwa anayokwambia.
hapana mimi sijakomaa nikubalike ni mwanaume mwenyewe anatamka kua hayupo tayari kuniacha na hawezi chaguliwa mke wa kuoa kwakua amefanya maendeleo mengi sana nikiwa nae na nimefanyika baraka sana kwake
 
Sasa utaaminije maneno ya (kuambiawa) mumeo kama kweli mama yake huwa anayasema hayo? Je kama mumeo anasema uwongo ila yeye ndie hakutaki? Ushauri wangu Mwambie mumeo amrekodi kwa simu mama yake kwa siri akiwa anaongea huo upuuzi ili upate uhakika kama ni kweli huwa anakuongea vibaya,then hapo ndio uanze kutafuta solution yatatizo....maneno yakuambiwa sio yakuyaaminiamini kwa haraka!
 
Kwa nini na wewe unaforce usipohitajika?

Ma mkwe muelewane sijui weekend zawadi afu kijana akwambie wasivyokutaka

Kazi kwako mambo yaendelee au u-stop huo uchumba that’s up to you!

Muombe huyo Mungu unayemuamini akupe mwingine ambaye ni sahihi, japo nahisi kijana nae hana maamuzi yeye kama yeye huku mama huku mchumba simuoni yeye kasimamia lipi!

Bado ni wa kiume sio mwanaume
 
Habari wana jf,

Mimi ni binti wa miaka 26 na nipo kwenye mahusiano na Tunatarajia ndoa ila Ukweni wanaweka pingamizi sana na sijawahi fanya chochote kibaya na wala sina mazoe na wakwe zangu ila chakushangaza mama mkwe Anamuuliza Kijana wake "Hivi Bado upo na yule mwanamke tu kwani amekupa nini? Si umwache mbona wanawake wapo wengi umekaa nae muda mrefu hivyo itakua amekupa Dawa huyo"
Na ukweli nikwamba mimi sijui mambo ya Dawa wala ushirikina

Namwamini sana MUNGU Na hata kumpata huyu mwanaume nilifunga kwa maombi nikaongea na MUNGU anijalie mwenza wa maisha na sio kupoteza muda
Ila nashangaa kwao kumekuwa na pingamizi sana
(ila kwao wana imani za kishirikina)

Mara wanasema najipendekeza kwao mara nimemloga mwanao, sasa nashindwa kuelewa ana tatizo gani hasa hawa wakwe zangu, ila nikikutana ma mama mkwe anafurahi nampa zawadi na yeye ananipa zawadi na tena mara nginyi ni yeye ananipigia simu niende tukapange siku za weekend's ila akiwa na mwanae ndo anamwambia hayo maneno na mwanae anakuja nieleza.
Mteke baba mkwe, watanyamaza.
 
Shida ipo kwa muoaji.
Kanuni ni moja kwangu, "nimekuelewa na wewe ukanielewa, nakuoa mapema kabla ya swala ya alfajiri" wengine tutawapa taarifa kwa ajili ya kutimiza mengine yatakayokuwa muhimu kwa wakti huo.
Si lazima ku conform na jamii ktk Kika jambo.
 
hapana mimi sijakomaa nikubalike ni mwanaume mwenyewe anatamka kua hayupo tayari kuniacha na hawezi chaguliwa mke wa kuoa kwakua amefanya maendeleo mengi sana nikiwa nae na nimefanyika baraka sana kwake
Kuwa makini ni ngumu kuamini maneno yake 100%, binadamu sisi ni waajabu sana. Waswahili wanakuambia akufukuzae hakwambii toka na ndicho unachofanyiwa.
Ushauri wangu ni huu, familia inayoamini kwenye ushirikina sio salama sana kwako na kizazi chako, usiendekeze moyo kupenda ukaipuuza akili.
 
Una TAKO la kuwatetemesha ma Wifi na Ndugu wa kike wa Mume mtarajiwa?? Au wao ndio Wana MATAKO ya kukutetemesha wewe ??.

Kama wee unatako la kuwatetemesha basi Kwao na mumeo ni WACHAWI.

kama wao ndio Wana MATAKO ya kukutetemesha basi hapo wanaona kama vile Kaka yako kua Nawewe ni umemfanyia madawa Kwa sababu hamuendani.

Wenye akili watanielewa.
 
Habari wana jf,

Mimi ni binti wa miaka 26 na nipo kwenye mahusiano na Tunatarajia ndoa ila Ukweni wanaweka pingamizi sana na sijawahi fanya chochote kibaya na wala sina mazoe na wakwe zangu ila chakushangaza mama mkwe Anamuuliza Kijana wake "Hivi Bado upo na yule mwanamke tu kwani amekupa nini? Si umwache mbona wanawake wapo wengi umekaa nae muda mrefu hivyo itakua amekupa Dawa huyo"
Na ukweli nikwamba mimi sijui mambo ya Dawa wala ushirikina

Namwamini sana MUNGU Na hata kumpata huyu mwanaume nilifunga kwa maombi nikaongea na MUNGU anijalie mwenza wa maisha na sio kupoteza muda
Ila nashangaa kwao kumekuwa na pingamizi sana
(ila kwao wana imani za kishirikina)

Mara wanasema najipendekeza kwao mara nimemloga mwanao, sasa nashindwa kuelewa ana tatizo gani hasa hawa wakwe zangu, ila nikikutana ma mama mkwe anafurahi nampa zawadi na yeye ananipa zawadi na tena mara nginyi ni yeye ananipigia simu niende tukapange siku za weekend's ila akiwa na mwanae ndo anamwambia hayo maneno na mwanae anakuja nieleza.
Kwanini hamjaoana ila mnaishi kama wanandoa siku ikishindika Si atakuwa amekutia doa?
 
Yeye kasimamia msimamo Wake kua hawezi chaguliwa mke na atanioa ata waseme nin,, Na Hatujawahi gombana hata siku moja tangu tujuane ni 4 years now ,, na licha ya kwamba nina mshahara wangu ila amenifungulia biashara kwa pesa yake, ananilipia kodi ninapo ishi na sio pesa ndogo 150k per moth na mahitaji mengine yote ananifanyia kiufupi huyu mwanaume amejitoa sana kwangu Aisee sijui niseme vp
Na kuhusu mama yake huwa anamtukana mpaka mwanae muda mwingine nasikia mwenyewe hayo maneno coz kuna siku tulikua tunaongea kwa simu akasahau kukata nikamsikia anaongea na wazazi wake yani wanaongea shombo haswa ety umelogwa wew haiwezekani Umpende mwanamke kiasi hicho Baba anamwambia
Baba:"Sitaki kumwona huyo mwanamke hapa kwangu"
Kijana: kwani ana shida gani Uyo mwanamke? Na hamumjui wala hajawahi wavunjia heshima.
Baba: Haiwezekani Unampenda mwanamke kiasi hicho uyo Anakuloga.
Kijana: Baba mimi siwezi mwacha huyu mwanamke hata mseme nini ni mke bora sana kwangu na uzuri wake mtakuja kuona hapo badae
Sa sijui wana kiburi ya pesa ama ni nini..
Naomba kuwasilisha......
 
Una TAKO la kuwatetemesha ma Wifi na Ndugu wa kike wa Mume mtarajiwa?? Au wao ndio Wana MATAKO ya kukutetemesha wewe ??.

Kama wee unatako la kuwatetemesha basi Kwao na mumeo ni WACHAWI.

kama wao ndio Wana MATAKO ya kukutetemesha basi hapo wanaona kama vile Kaka yako kua Nawewe ni umemfanyia madawa Kwa sababu hamuendani.

Wenye akili watanielewa.
😅😅 Trako lipo ndugu Tena namshukuru MUNGU kwa uumbaji wake Amenijalia figure nzuri 8 na uzuri wa asili,mawifi hapa wametubu maana hakuna wakunizidi
 
Back
Top Bottom