nifanye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Biashara gani nifanye?

    Habari ndugu zangu, naombeni mnisaidie ni biashara gani naweza kufanya hapa Dar es Salaam kwa mtaji wa laki tano?
  2. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa uswazi wanaivuruga sana akili yangu. Nifanye nini kuikabili hali hii?

    Sio siri wakuu. Mpaka sasa nimeamua kuweka makazi yangu Uswazi. Familia nimeiacha ushuwani huko Wanawake hawa wamekuwa ni watu wa kujiachia sana. Yaani kumkutiliza anafua huku kanga nyepesi inapepea na kuacha kitumbua wazi huko nyuma, haoni ajabu. Ni sawa na mtu aliyekisusa kabisa Wanawake wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini

    Naombeni ushauri nifanye nn, Na chuki na Wanawake, AKil yangu nahsi inaharibika, nisaidie nipate msaada wa kaisaikolojia Moyon naumia sana wakuu wangu
  4. B4g3g3

    JamiiForums Tanzania Thermal expansion noise ya nyumba imepitiliza viwango nini nifanye?

    Habari, Nyumba imeezekwa takriban mwaka sasa, bati Gauge 28 ya Alaf, Tatizo ni kelele za bati pindi jua libapowaka na usiku likipoa ( thermal expansion noise). Nashindwa kuelewa, tatizo ni fundi au material ya bati lenyewe au ndo jua ni kali? Nini naweza kufanya?
  5. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Msaada nifanye nini niwe na amani?

    Assalam wanajamvi? Bila shaka mpo salama na mnaendelea vyema na majukumu! Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni mwajiriwa wa taasisi moja binafsi, mwaka jana nilipata changamoto mbaya sana inayonipelekea kukosa amani sana. Kazini mimi ni mchangamfu sina shida na mtu, na...
  6. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Biashara gani nifanye karibu na Kituo kipya cha Polisi?

    Shalom, December 2022 nilienda likizo nyumbani, nimefika nimekuta wamejenga kituo kipya na kikubwa Cha Polisi. SI mbali na makazi yetu ya asili, nikawaza namna ambavyo naweza kuanzisha biashara Ili kutoa huduma huku nikijiongezea kipato. Nimekuja mbele yenu mnisaidie mawazo, kutokana na...
  7. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Ponda mali kufa kwaja! Nifanye saving ili iweje? Mimi ni mwendo wa kuponda mali tu

    Kwanza mimi ni marehemu mtarajiwa nifanye saving ili iweje? Nigundue nini hasa? Nitaponda mali mpakss maji yaseme mma kwanza maisha yenyewe ni mafupi hasa cha kufanya saving mimi ili iweje? Juzi kuna mwana 30's amepoteza maisha hivi lakini kwenye account alikuwa na almost 150 million mbio zote...
  8. Zacht

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka nifanye biashara hii

    Heri ya mwaka mpya . Kuna kitu nimewaza kufanya lakini sijui kama nipo sawa kimahesabu kwa Sababu sio uzoefu nayo, iko hivi nimewaza nianzishe biashra ya chakula (wali) kwa kufanya partnership na mtu. Yaani namtafuta m-mama au mdada nampa mchele 90-100 kg auze. Then mimi Nitakuwa nachukua Kila...
  9. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Nina laki sita, nifanye biashara gani?

    Ni mwanafunzi wa chuo first year fulani hivi Dar, nina pesa laki 6 ambayo ninafikiria sana nifanye biashara ila wazo haliji yani. Najua kuna ambao walianza chini labda wanaweza nishirikisha nini nifanye, kwakweli sipendi kabisa umasikini. Karibuni.
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wanaume na Wanawake mnishauri mi mwenzenu nakosea wapi? Nifanye nini? Mbona nakutana na mabalaa hivi?

    Hili swali najiuliza kila mara sielewi. Nikijitazama nipo fresh tu na wala huwa sipendelei show off au sijui nini. Nina bahati mbaya na mademu. Binafsi napenda mademu wenye hips na makalio. But napenda pia wawe na akili. Hapo ndo changamoto kubwa sana. Nlianza urafiki na binti mmoja jumatano...
  11. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Nina 40,000 Nifanye nini ifike 80,000 ndani ya siku 7

    Salam Wakuu Kama heading inavyojieleza, Nipo mkoani, Je ninawezaje kutumia fedha hi niliyonayo kufikia malengo yangu ndani ya muda tajwa?
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtanzania akifukuzwa kazi, utamsikia 'Nimeamua kuacha, Nifanye mambo yangu' hasemi kuwa nimetimuliwa

    Ahahahaha, Naanza kwa kucheka maana nimekutana na visa vingi vya namna hii. Kuanzia wale walioondolewa kwa vyeti fake na sababu zingine ilikuwa ukiwapigia simu mtu anakuambia kuwa NIMEAMUA KUACHA NIFANYE MAMBO YANGU. Then siku mbili mbele anakupiga sound umsaidie jambo fulani la kifedha au...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ngoja tumalize Uapisho wa Ruto na Maziko ya Bi. Eliza nifanye minor rushuffle kwani Wananchi Wanalalamika mno

    Ule wakati wa Mtanzania Mmoja yeye na Familia yake sasa kwenda kuishi Burundi kama anavyotutaka Wengine tukaishi huko inakaribia.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, nina mtaji wa laki tano nifanye biashara gani? Nipo Kinondoni - Dar es Salaam

    Naomben msaada, mimi sijawahi kufanya biashara yoyote ile. Nimemaliza kidato cha nne 2019 na nilikuwa nasoma chuo lakina nimesitisha kwa sababu mbalimbali. Naombeni msaada wenu, nina mtaji wa laki 5 ndugu zangu nifanye biashara gani?
  15. Unforgettable

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

    Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu. Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi...
  16. Ephraim fundi umeme

    JamiiForums Tanzania Nataka gari nifanye tax driver

    Habari ndugu zangu... Nahitaji boss wakunipa gari yake niendeshe nimletee hesabu. Naahidi tutaenda vizuri tu wala aside na wasiwasi. Napatikana kerege chama ipo mkoa wa pwani nje kidogo ya mkoa wa Dar es Salaam Tuwasiliane whatsapp 0679194505
  17. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nilichagua kusoma, akachagua biashara, nikaenda kumkopa pesa akanishauri nifanye biashara, leo nimemuajiri ananiomba nimsaidie akasome!

    Habari za muda huu ndugu msomaji wa makala hii. Napenda kukukaribisha kusoma simulizi hii fupi yenye uhalisia Kwa namna Moja ama nyingine. Tukiwa na umri wa miaka kumi Mimi na rafiki yangu aitwae Mido tulikuwa ni watoto wa mfano sana kijijini kwetu tulipokulia, wazazi wangu na wazazi wa Mido...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, mimi ni mwajiriwa, ili niweze kuacha kazi

    Wakuu habari. Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, nimechoka kufanya kazi, nataka kujiajiri Nawasilisha
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Huyu singo maza anataka nifanye maamuzi magumu

    Katika harakati zangu za mtaa kwa mtaa, nilijikuta naanzisha uhusiano na singo maza mmoja ambaye anasoma chuo A hapa mjini. Kutokana na shepu yake, nikajikuta mwili wote umelegea na moyo ukasahau kusukuma damu, na kuanza kumpenda. Changamoto aliyonayo, ni kutokuwa na uwezo wa kuniridhisha...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Wakubwa nina mtaji wa shilingi milioni mbili na nataka nifanye biashara. Je, biashara gani ninaweza kufanya kulingana na pesa hiyo? Nimetafakari sana ila nakosa kujua kwa usahihi biashara gani inanifaa. =========== SIMILAR CASES: =========== May 18, 2012: May 10, 2014: May 16, 2014...
Back
Top Bottom