Sasa mbona ni kama umekuwa kirakaa?Tafuta shida ilipo😎2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Achana na mapenzi jikite kwenye kilimo utakuja kunishukuru2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Wewe ni Ke au Me?2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Mapenzi hayalazimishwi binti. Ukiendelea na huu ubishi wako, utaachwa mpaka ukome.2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Isije ikawa binti mwenyewe ni binti jeuri halafu anakuja kulia jukwaani humuMapenzi hayalazimishwi binti. Ukiendelea na huu ubishi wako, utaachwa mpaka ukome.
na wenyewe ndio sisiMapenzi yana wenyewe bob.