nida

National Identification Authority (NIDA) /Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ni chombo cha kusimamia Vitambulisho vya Taifa nchini Tanzania.
  1. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Serikali wapeni nguvu Usalama wa Taifa wazuie uovu NIDA na wimbi la wahamiaji haramu

    Nchi hii hasa serikali na mamlaka zake Mungu anawaona, naandika nikiwa na hasira sio NIDA wala Uhamiaji, au Polisi kote kumeoza. Wahamiaji haramu wametapakaa sio kwenye bar, shambani, kwa house girls, vibarua wa kufuga mbuzi, nguruwe, kuku ambao wako nchini kwenye maeneo mbalimbali wasio na...
  2. hooligan01

    JamiiForums Tanzania Urgent: Ninahitaji id soft copy ya Nida, nina namba tu, mwenye kujua namna ya kupata

    Habari ndugu zangu, Kama kichwa kielezapo juu naombeni msaada wenu yeyote mwenye kujua maana kinahitajika kesho. Natanguliza shukrani
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vibarua wa Kiwanda cha NIDA Ubungo tuna hali mbaya

    Mazingira hayako vizri yaani vibarua wanaingia saa 2 ASUBUHI na wanatoka 2 usiku Ili hali wanafnya kazi katika mazingira hatarishi. Hamna vifaa vya kujikinga na hewa chafu mule NDANI, hamna hata special boots na vifaa vitakvyomuweka salama. Mfanyakazi (vibarua) wanalipa elf 4 Hadi elf 5 kwa...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya NIDA ndio vitumike kupiga kura wakati wa Uchaguzi

    Kamati ya Uchaguzi wa Taifa (NEC), inatakiwa ishirikiane na mamlaka ya utambulisho wa utaifa (NIDA) katika mchakato wa upigaji kura. NIDA wanatumia finger print sambamba, na wanachukua taarifa mbalimbali za watu. Hivyo mtu aruhusiwe kupiga kura kwa NIDA na vitambulisho vya kura vifutwe. Na kwa...
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni: Mpaka kufikia 'March' mwakani wananchi wote mtakuwa mmepata kadi za NIDA

    Waziri wa mambo ya ndani, Hamadi Masauni amesema kabla ya kufikia mwezi wa tatu mwaka 2023 wananchi wote watakuwa wamepata kadi zao za NIDA na haitazidi hapo, Masauni kasema inaweza kuwa hata Disemba mwaka huu. Pia Masauni amesema wananchi ambao hawajapata vitambulisho lakini wana namba za...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya Taifa: Changamoto zinazowakabili wananchi na mwitiko wa Mamlaka (NIDA)

    Je, umewahi kukumbana na Changamoto za Kupata Kitambulisho cha Taifa? Jiunge nasi katika Mjadala kuhusu Upatikanaji wa Vitambulisho vya Taifa Nchini Alhamisi hii, Septemba 7, 2023, kupitia 'X Spaces' ya JamiiForums Tutaangazia Mchakato mzima wa Utoaji na Upatikanaji wa Vitambulisho ikiwemo...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Dr. Modestus Kipilimba astaafu rasmi utumishi wa umma

    Mkurugenzi wa zamani wa taasisi ya usalama wa Taifa, Dr. Modestus Kipilimba amestaafu utumishi wa umma baada ya uwepo wake Namibia kama balozi kuhitimishwa rasmi na Rais Samia. Kipilimba alihudumu kama mkurugenzi wa usalama wa Taifa kwa miaka mitatu chini ya utawala wa Rais Magufuli(2016-19)...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Vitambulisho vya Taifa (NIDA) vipatikane kwa watoto wote wanaozaliwa

    Makamu rais Dr Mpango ameshauri kuwa ni vyema sasa watoto wote wanaozaliwa wawe wanapatiwa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) papo hapo. Anasema hii itasaidia watoto kutatua changamoto mbalimbali za huduma za kifedha km kufungua account bank na kuomba mikopo ya elimu ya juu (HESLB). Nini maoni yako...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kusaidia nchi Je Tanzania tuanzishe mfumo wa seneti?

    Je kwa hili bunge ambalo halisaidii serikali swali ni Je imefika wakati wa kuwa na bunge la seneti? Bunge hili mfumo unaweza kubadilika lakini mifumo ya wenzetu ni sawa na seneta wawili kwa kila mkoa. Hili seneti litakuwa kama thinktank na viongozi ambao hawana ushabiki badala yake ni wataalamu...
  10. Double line

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kitambulisho cha NIDA online

    Msaada Tutani, Naombeni kwa anayejua hii Ishu anitonye na Mimi Nipate Kitambulisho Changu cha NIDA Online Nikatoe Copy Jamani nimeteseka sana.😰🙏
  11. kagombe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata copy NIDA

    Natanguliza shukrani kwa Wana JF.naombe msaada jinsi ya kupata copy Nida namba ninazo
  12. D

    JamiiForums Tanzania NIDA wamekosea jina kisha wanataka mtu akafanye kiapo

    Habari wandugu na poleni na kazi, Mdogo wangu alifanya usajili wa NIDA na kukamilisha taratibu zote sasa namba ilivyotoka akiangalia online au kupitia mitandao ya simu anakuta limekosewa herufi moja. Alivyouliza NIDA wakamwambia apeleke nyaraka zake kama cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la...
  13. Mapambano Yetu

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya NIDA vinaandaliwa wapi? Watanzania tumeshindwa na hili?

    Nimemsikiliza VIZURI waziri wa mambo ya Ndani wakati akitolea maelezo suala la VITAMBULISHO VYA TAIFA kuchelewa. Lakini katika maelezo yake nimebaini kwamba Kuna uwezekano hata VITAMBULISHO tuligawa tenda kwa makampuni ya nje. Sasa Je, watanzania na hili tunashindwa?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa kurekebisha jina la NIDA

    Wakuu samahani, naomba kujua utaratibu wa namna ya kurekebisha jina NIDA, jina langu lilikosewa herufi moja wakati wa kujisajili NIDA badala ya FILIBERT wakaandika FILIBETH hivyo linatofautiana kwenye vyeti. MSAADA TAFADHALI, NI HATUA GANI ZA KUFUATA
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kurekebisha jina NIDA

    Wakuu samahani naomba kujua utaratibu wa namna ya kurekebisha jina NIDA, jina langu lilikosewa herufi moja wakatai wa kujisajili NIDA baapa ya FILIBERT wakaandika FILIBETH hivyo linatofautiana kwenye vyeti. MSAADA TAFADHARI NI HATUA GANI ZA KUFUATA
  16. D

    JamiiForums Tanzania Je, namba ya NIDA ni lazima katika mchakato wa kuapply Vyuo na Mikopo?

    Msaada members, Nina mdogo wangu amechaguliwa jeshini na kashaondoka, Sasa katika pitapita zangu nimeona Kuna mtu anasema katika application za chuo na mikopo ni lazima uwe na no. Ya NIDA. Je ni kweli kwa wanaoelewa system vizuri maana hapa mdogo wangu Hana nida Wala hajaomba hatujui chochote
  17. D

    JamiiForums Tanzania Wahusika NIDA msaada tafadhali

    Hellow, naombeni msaada wenu. Nina shida kwenye namba yangu ya NIDA. MAJINA yangu yalikosewa kwenye NIDA Jina la katikati likakaa mwisho na la mwisho likakaa katikati yakatofautiana na ya kwenye vyeti vyangu vya taaluma Nikafuatilia ofis za NIDA wilaya , nikaelekezwa cha kufanya nkafuata hatua...
  18. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Wageni na Watanzania wenye asili za Asia wote wana Vitambulisho vya NIDA

    Ukisikia uhaba wa Vitambulisho vya NIDA usifikiri ni kwa wote, ni Watanganyika pekeee ndio wanao tembea na number badala ya Kitambulisho, wageni wanavyo sasa sijajua Wageni na Watanzania wenye asili ya Asia wana vipata vipi ila nachojua wao wana vitambulisho wote, Sasa jiulize wao wanavipataje...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kuomba ajira wa TRA hauna sehemu ya namba ya NIDA

    Je huu mfumo wa TRA kwa nini hawajaintegrate na mfumo wa NIDA ili kupunguza kupata data ambazo ni tatizo huko mbeleni. Je kwa nini wasingetumia mfumo wa TUME YA AJIRA AMBAO TAYARI UPO..... Kama TAIFA TUNARUDI NYUMA.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kadi ya NIDA inakitu gani special hadi iwe ngumu kuprint kiasi hiki? Passport na NIDA kipi kigumu kuchapisha?

    Passport ya Tanzania unapata ndani ya siku moja baada data kuingizwa kwenye mtambo. Benki kadi unapata ndani ya masaa kadhaa, najiuliza hii kadi ya NIDA ina teknolojia gani ngumu hadi ukae mwaka bila kuprint kitambulisho? Lakini kama wenye namba ya NIDA wanapata huduma zote kwanini tunaamini...
Back
Top Bottom