nida

National Identification Authority (NIDA) /Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ni chombo cha kusimamia Vitambulisho vya Taifa nchini Tanzania.
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO NIDA kuna changamoto kuangalia namba ya NIN mtandaoni

    Kuna shida ya kuangalia online namba ya NIDA hawaleti namba inasababisha changamoto. Tafadhali IT wa NIDA rekebisheni hili
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hackers wametapakaa mitaani: Makinika na simu zako na kitambulisho chako cha NIDA

    Hali ni mbaya sana mtaani .. ma IT wameshamaliza kozi zao.. Ajira hakuna .. Sasa wamegeukia utapeli na wizi kwa njia ya mitandao Makinika na vitambulisho vyako mbalimbali hasa NIDA Kadi za bank Passwords nk Makinika na wasajili laini mitaani na ikiwezekana TCRA wazifunge hizi freelance za...
  3. Bususwa

    JamiiForums Tanzania KERO Matumizi ya vitambulisho vingi, kwanini kisitumike kitambulisho cha NIDA pekee?

    Husika na mada tajwa hapo juu. Tanzania ni Nchi ya ajabu sana kuwahi kutokea hapa Duniani, Tanzania ni Nchi ambayo bado iko nyuma sana na mambo ya teknolojia. Tanzania tuna Kitambulisho cha Taifa, maarufu kwa jina la NIDA, Kwa mawazo yangu nilifikiri kwamba kitambulisho hiko kitabeba kila aina...
  4. ZagaZagarino

    JamiiForums Tanzania Ukipoteza kitambulisho cha NIDA ukalipia, unakaa muda gani mpaka kupata kingine

    Habari , Kwa aliyepoteza Kitambulisho cha NIDA akifanya malipo ya 20,000 anakaa siku ngapi mpaka akipate , Niko Dodoma MREJESHO Nimefika NIDA , Dodoma nikapewa Form yaani nianze kujaza Upya , mfano naanza kujisajili pia naambiwa nipite Migration , Why all the process ikiwa kwenye mfumo...
  5. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Kwanini NIDA wanauliza maswali wakati nahitaji kutumia NIDA number?

    Nimeenda brela kusajiri biashara yangu tabutubu limited, nimetakiwa kujaza form ambayo inanihitaji niweke nida namba na nimeulizwa maswali kibao utadhani namba ya nida nimeiba.. Nimeulizwa kijiji na mtaa nilio andikisha nida.. mimi nimeandikiswa tegeta hata kijiji sikumbuki, mara shule niliyo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa zangu za NIDA zinaweza kufikiwa na Chama cha siasa?

    Chama kimoja cha siasa (sina uhakika kama vingine navyo vinafanya hivi) kinaandikisha wanachama kwa kutumia kitambulisho cha NIDA.Je Chama hiki kitakuwa na uwezo wa kufikia taarifa binafsi za mwanachama?Nini faida na hasara zake?
  7. I

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kujua taarifa nilizojaza kwenye fomu kipindi naitafuta namba yangu ya NIDA?

    Hivi nawezaje kujua taarifa nilizo jaza kwenye form kipindi naitafta namba yangu ya NIDA baada ya kupata namba hiyo?
  8. wakunyonya

    JamiiForums Tanzania Msaada, nimeingia Ajira Portal inaniambia number ya NIDA ilishatumika

    Habar Wana JamiiForums nimejaribu kuingia ajira portal ili nianze kujisajiri upya ila nakumbuka zaman Sana nilishawahi kuingia hivo sikumbuki email Wala password niliyotumia kipindi hicho imeniambia nambari ya NIDA ilishatumika hapa nitafanyaje wakuu ili kujinasua katika huu mtihani. Soma Pia...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Daniel Sillo: Uhamiaji ongezeni kasi ili watu wapate Vitambulisho vya NIDA

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo amezitaka Idara mbili zilizopo chini ya Wizara yake ambazo ni Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) pamoja na Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Kagera kushirikiana ili kuboresha utendaji kazi. Kauli hiyo ameitoa Wilayani Muleba Mkoani Kagera...
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KERO NIDA kuna matatizo ya rushwa na urasimu

    Ni siku tatu zilizopita nimelalamikia nida Kawe na uhuni nilioona. 1. Siku naenda kujiandikisha nilifika saa nne nkaitwa saa tisa kupigwa picha. Unaweza hisi ni makusudi ama wewe pekeyako lakini lundo la watu mnaitwa saa tisa wengine walikata tamaa wakaondoka. 2. Nililalamika ushenzi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania NIDA badilikeni na toeni huduma kwa weledi

    Habari za asubuhi Wanajamvi leo Nina jambo na mamlaka ya vitambulisho vya taifa NIDA Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa inashindwa kufanya kazi kwa ufanisi kwa kuweka mkazo mkubwa kwenye mgawanyo wa majukumu kwamba kama una changamoto kuhusu kitambulisho cha taifa unatakiwa uende kwenye mkoa...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania NIDA namba/ kadi imekuwa changamoto sana shida nini? Wekeni fees tulipe basi kuondoa haya

    Hivi kuna tume inayoweza kufwatilia upatikanaji wa hivi vitambulisho vya nida Yaani vimekuwa kama passport ya kuingia mbinguni Unambiwa njoo wk 2 upate namba unafika wiki ya tatu unaambiwa hamna njoo wiki ijayo Unakwenda unaambiwa chukua no hii uwe unatupigia ukiwa tayari tu takujulisha Hapo...
  13. SlimFit

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni namna gani naweza pata taarifa zangu za NIDA zilizotumika wakati wa usaili?

    Wakuu amani iwe nanyi. Twende kwenye mada, ni namna gani naweza pata taarifa zote za namba yangu ya NIDA bila kufika NIDA? Kwanini bila kufika NIDA? Nimeona kabisa jamaa ananijaza i.e anasema taarifa zangu za education hazipo kwa mfumo hivyo natakiwa nimtafute nijaze fomu nifanye maombi upya...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania NIDA wapewe uhamiaji kwa muda wapo smart sana sijawahi ona taarifa za passport zimekosewa

    NIDA wanachelewesha watu kupata huduma. Wangepewa muda wakujitathimini. Hiyo nafasi wapewe uhamiaji wapo smart sana kwenye kuandaa passport za kusafiria. Sijawahi ona passport imekosewa
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni: NIDA kuna shida ya usimamizi, Uongozi una shida, Watu wanateseka kupata Vitambulisho

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amelazimika kutoka Ofisini na kufuatilia utendaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ambapo mamlaka hiyo imekuwa ikilalamikiwa na Wananchi kwa utendaji na utoaji wa Vitambulisho usioridhisha. Waziri Masauni amefika katika Ofisi...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO NIDA Nachingwea wana huduma mbovu na wanajenga mazingira ya rushwa

    Ofisi za NIDA katika wilaya ya Nachingwea zina matatizo na usumbufu mwingi sana, kuna watu wamepeleka form toka mwaka jana mwezi wa nane lakini cha kushangaza mpaka leo hawajapata namba zao na ukifuatilia wanakuambia kuwa mtandao unasumbua. Kuna wengine wanaambiwa kuwa watoe elfu 50 kupata...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa NHIF sasa wataweza kupata huduma kwa kutumia namba ya Kitambulisho cha Taifa

    "NHIF wameweka tangazo kupitia ukurusa wao wa Instagram kuwa sasa wanachama wa mfuko wa NHIF sasa wanaweza kutumia namba ya Kitambulisho cha Uraia kupata huduma za NHIF vitioni. "Sasa unaweza kutumia namba yako ya Kitambulisho cha Uraia kupata huduma za NHIF vituoni. Hii ni kwa wananchama na...
  18. nusuhela

    JamiiForums Tanzania App gani ya kutoa mkopo, wanatoa kwa namba ya NIDA?

    Habari zenu wakuu, hapa nilipo nina shida na 15k ya haraka. Kuna app nyingi za kutoa mikopo ila kuna sharti naona sijakidhi. Wanataka niwe na kitambulisho cha taifa (NIDA). Bahati mbaya sijakipata mpaka leo. Nina namba pekee. Sasa nimekuja kwenu wakuu, najua wapo wenye issue kama yangu...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Vitu 3 muhimu vya kuwa navyo unapoomba Kitambulisho cha Taifa (NIDA)

    JamiiForums, imezungumza na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Geofrey Tengeneza kufahamu iwapo wameongeza nyaraka za kukabidhi ili kupata Kitambulisho cha Taifa (NIDA) ambaye ameeleza kuwa taarifa hiyo haina ukweli na siyo sahihi. "Hiyo siyo kweli na siyo sahihi...
  20. hsnaturalfertility

    JamiiForums Tanzania Anaejua muongozo wa ku renew NIDA iliyo expire msaada tafadhali

    Wale wenzangu wenye zile NIDA zetu za 2014 ambazo mwenda zake alizikataa zimesha anza ku-expire, naomba kujua kama kuna mtu amesha renew, utaratibu upoje? Je naweza kwenda ofisi yoyote ya NIDA au lazima niwe mkoa niliojiandikishia? Na maelezo yoyote ya ziada ni muhimu sana. Asante sana🙏
Back
Top Bottom