Faida ya kuwa Mtanzania ni ipi basi iwapo raia wataanza kuuziwa NIDA na Kitambulisho cha Kura?

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,754
Muswada uliosomwa kwa mara ya Kwanza kuhusu sheria ya Uchaguzi umeelekeza wananchi kulipia Kadi ya Mpiga Kura endapo atataka kuihuisha tena.

Hili suala halipo mbali na NIDA ambapo jambo la Kulipishwa wakati wa kukihuisha lipo.

Nini maana ya kuwa Mtanzania endapo hadi kutambuliwa uwepo wake kama raia halali anapaswa kulipia.

Uhuru ulituletea jinamizi la CCM kutunyonya bila huruma.
 
Tatizo NIDA lina wafanyakazi wengi wajinga wajinga wakisaidiwa na maafisa vipenyo na wa uhamiaji ambao wao wapo katika kunyanyasa waombaji badala ya kuwa Saidia watu. Au wanafanya makusudi ili Kulinda ajira maana , Wana wasi wasi watu wakiisha pata vitambulisho , watakuwa hawana kazi.
 
Je, unajivunia kuwa Mtanzania au unavumilia kuwa Mtanzania??
 
Tatizo NIDA lina wafanyakazi wengi wajinga wajinga wakisaidiwa na maafisa vipenyo na wa uhamiaji ambao wao wapo katika kunyanyasa waombaji badala ya kuwa Saidia watu. Au wanafanya makusudi ili Kulinda ajira maana , Wana wasi wasi watu wakiisha pata vitambulisho , watakuwa hawana kazi.
Ukiona kuna mambo holela chini, ujue juu kuna uongozi na usimamizi holela.
 
Maderu uwezo wake wa kubun vyanzo vya mapato umeishia hapo

Vya kupigia kura tulivipapatikia kwa sabab vilitumika kusajilia lain lkn tangu uje mfumo wa vidole+nida umaarufu wake umeshuka
 
Muswada uliosomwa kwa mara ya Kwanza kuhusu sheria ya Uchaguzi umeelekeza wananchi kulipia Kadi ya Mpiga Kura endapo atataka kuihuisha tena.

Hili suala halipo mbali na NIDA ambapo jambo la Kulipishwa wakati wa kukihuisha lipo.

Nini maana ya kuwa Mtanzania endapo hadi kutambuliwa uwepo wake kama raia halali anapaswa kulipia.

Uhuru ulituletea jinamizi la CCM kutunyonya bila huruma.
huo ndio mwanzo wa haki kuwa na thamani Tz.
Haki inaambatana na wajibu.

Tunza kadi zako vema na kwa umakini na heshima kama unavyojitunza binafsi

Ukiipuuza inakula kwako, ukizira inakula kwako vilevile.
 
Back
Top Bottom