Serikali ya Jamhuri ya Korea imeipatia Tanzania mkopo wa gharama nafuu wa Tsh. Bilioni 310 kwa ajili ya upanuzi wa mfumo wa utambuzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) pamoja na uendelezaji na utunzaji wa mfumo wa taarifa za ardhi.
Hafla ya utiaji saini wa mikataba hiyo baina ya...
Mamlaka ya vitambulisho vya taifa tanzania ( NIDA) sidhani kama walikuwa na lengo la kukamilisha mradi huu kwa wakati,
Nahisi kuna watu ndani ama nje ya idara hii kwa makusudi na kwa malengo yao binafsi wanayoyajua wao wanaosababisha kadhia hii iendelee kwa makusudi kabisa.
Urasimu huu unakuja...
Urgent: ninahitaji id copy ya NIDA,nina namba tu,mwenye kujua namna ya kupata
Najua humu kuna watu wa aina mbalimbali,na wenye uwezo tofauti
Naomba msaada
Amina, arusha Tanzania
Urgent: ninahitaji ID COPY ya NIDA, nina namba tu, mwenye kujua namna ya kupata.
Najua humu kuna watu wa aina mbalimbalina wenye uwezo tofauti
Naomba msaada
Amina, Arusha tz
Habari za muda huu wanajamvi......
Matumizi ya VITAMBULISHO vya NIDA dhumuni lake lilikuwa zuri ila Sasa limekuwa ni hangs linalo sumbua watu Kila uchao.
Mimi nilifanikiwa kupata kitambulisho hiki tangu 2016, lakini kitambulisho hiki kilikuja kikiwa kimekoseaanilifatilia kwakuwa kitambulisho...
Dogo ni mwalimu idara ya msingi,
Majina yake ya vyeti vyote ni MARIAM ELIAS (mfano)
Majina ya Nida ni MARIAM ELIAS MMASA.
Wakati wa kuomba ajira Tamisemi details zilikubali vizuri kabisa na mimi ndiye nilimuombea.
Selection zimetoka kachaguliwa lakini halmashauri wanamiweka kwenye mfumo...
Kwanza nakushukuru Mh. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kwa kulivalia njuga hili jambo la mwanafunzi Lightness Shirima (22) ambaye baba yake Priscus Shirima alifariki Hospitali ya Mloganzila kisha wakakishikilia kitambulisho chake cha NIDA mpaka hapo atakapomaliza deni lake la milioni 9.
Labda kitu...
Habari wadau,
Naomba aliyefanikiwa ku upload file la nida kwenye mfumo wa maombi ya mkopo maana nimejaribu zaidi ya mara tatu inanigomea , au kuna sehemu nakosea?
Habari wakuu, huduma ya online copy haipo katika website ya nida ila kuna wataalam huwa wanauwezo wa kuzipata. Hivi ujanja gani wa kiteknolojia hutumika?
Na Kevin Lameck.
Hisia mseto zimekuwapo kuhusu Zoezi la Sensa ya watu na makazi litakalofanyika jumanne ya August 23/2022. Takribani mwezi mmoja baadae kutokea leo.
Watanzania Wengine wanaona ni upotevu tu wa fedha, wengine wakiamini Sensa haina maana katika maendeleo ya kijamii.
Baadhi ya...
Dickson Ernest Maimu na wenzake wote wamefutiwa rasmi mashitaka yao yote leo na DPP katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Oktoba mwaka jana, alifutiwa kesi moja ya Utakatishaji Fedha zikabaki kesi tatu: Uhujumu uchumi, kuisababishia Serikali hasara na Matumizi mabaya ya Madaraka...
Nida Kuna uzembe mkubwa sana huu mwaka wa nne nafuatilia kitambulisho changu kila nikifika nawambia a bado hakija toka ipo sawa hii au umekuwa deal ku print kitambulisho ndo ichukue more than four years
Naomba TAMISEMI msiwe mmezichukua namba zetu za NIDA Ili kujifurahisha naomba mzitumie Ili tupewe kipaumbele tunaomalizia ujana ukiwa mtaani.
Wale wenye namba zinazoanza na 1996+ watupishe kwanza wenye 1980s na Early 1990s
HABARINI ZA WEEKEND WA NDUGU!
TCRA mnipe ufafanuzi inakuwaje namba ya NIDA nimeihangaikia kwa kupanga lifoleeeeni kubwa na kutumia ma finger print yangu hadi picha mkanipiga ili nipate kitambulisho kwaajili ya matumizi yangu binafsi. kwa jinsi mlivyotuelimisha zile finger print ni kama...
Habari wapendwa,
Kama kichwa cha habari apo juu.
Nilikuw na changamoto kwenye majina cheti cha form four
Nida
Chuo
Naomba ushauri kipi nibadilishe kati ya ivyo juu au kipi nichukue kiapo ili nitumie kwenye harakati za ajira .
Cheti cha form 4 - xxx xxxx FREDI
Nida - xxx xxxx FREDI
Chuo...
Ukichunguza vitambulisho vya NIDA vingi vina makosa kwenye vipengele mbalimbali, unaweza kuwa ni ile card inataarifa vizuri kabisa inayoonyesha taarifa zako kama kwenye birth certificate vizuri kabisa ila ile namba ikiingizwa kwenye system inayosoma card yako ikaleta details tofauti kabisa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.