nguvu

  1. G Sam

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

    Kibaha. Diwani mteule wa CCM kata ya Kikongo Kibaha vijijini Fatuma Ngozi pamoja na wajukuu zake wawili wamefariki baada ya kuungua kwa moto wakiwa ndani ya nyumba. Nyumba ya diwani huyo imeungua moto usiku wa kuamkia leo Novemba 9, 2020. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Wankyo Nyigesa...
  2. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Kama unalazimika kutumia nguvu nyingi kwenye shughuli zako, basi utachelewa sana

    Hello JF, Dunia ni ya ajabu sana, muda mwingine mambo yako kinyume. Ni katika kuangalia kwangu nimegundua shughuli ambazo unalazimika kutumia nguvu nyingi basi mapato huwa kidogo. Unaweza kuwa kweli unafanya kazi kwa bidii lakini bidii kwa jinsi gani? Hakuna watu wanafanya kazi kwa bidii...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwenye Bunge la chama kimoja, NEC ya CCM ina nguvu kuliko Bunge, na DED ni boss wa Mbunge

    Mzee Mgaya ananikumbusha namna bunge la Spika Adam Sapi Mkwawa lilivyokuwa linaendeshwa kwamba lilikuwa chini ya Halmashauri Kuu ya CCM. Maamuzi muhimu hufanyika katika ngazi za NEC na CCM na kwamba bunge hutimiza process ya kikatiba tu ndio maana Waziri fulani aliwahi kuwaambia wabunge " Gi to...
  4. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Kwenye uchaguzi ndani ya umoja wetu wa kufa na kuzikana vipo vituo vingi mawakala waligeuka wapiga kura wa mgombea mwenye nguvu

    Natamani hapa nilipo ningeletewa mashekhe,wachungaji,mapadre na waganga wakienyeji waniapishe ili nikisema uongo basi nguvu za kiroho za kokote baina yao zinihukumu. Hapa mtaani kwetu tuna chama chetu cha kufa na kuzikana na huwa tunagawana madaraka kila baada ya miaka mitano.Kwenye uchaguzi wa...
  5. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Amani Karume aliijua nguvu ya karma, akatubu, akatafuta suluhu na Maalim Seif na Serikali ya Mseto Z'bar ikaundwa. Komandoo Salmini kulikoni?

    Uzi huu ni swali. Tuelimishane kwa tunaojua jibu la swali. Viongozi wakuu SMZ wanaomaliza muda wao mwaka huu 2020 na wapya waliotangazwa kushinda kwenye uchaguzi uliomalizika visiwani Zanzibar yawapasa warudi nyuma kidogo, watafakari kwa kina na kujifunza kutokana na historia ya chaguzi za...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar nguvu yenu Dua, amkeni usiku Tahajjud mumshitakie Mwenyezi Mungu

    Wazanzibar mnaodhulumiwa, enyi mnaoonewa, mtume Muhammad alishafundisha, silaha ya muumini ni dua!. Amkeni usiku, Tajeni lile jina kuu la Mwenyezi Mungu ambalo mtume alifundisha kuwa ukiomba kwalo Mungu anajibu. Amkeni usiku mswali Tahajjud, mumlilie Mwenyezi Mungu kwa dhulma hii mnayofanyiwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polisi ihakikishie vyama vya siasa kuwa utekwaji wa mawakala hautakuwepo na Tume iwahakikishie haita waengua bila kufuata sheria na taratibu

    Kuanzia mchakato wa kuwateua Wabunge na madiwani na kukiuka maadili ya chama mengi yameshuhudiwa na malalamiko kwa tume ni mengi sana ambayo hayajajibiwa hadi leo. Maswali ni mengi na imekuwa kama siri, sasa kama tume inafanya siri sisi wananchi tutaiamini au ni njama za upendeleo. mfano wa...
  8. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Msamaha - The Power of Forgiveness

    Sote tumewahi kufanya makosa na tunafahamu jinsi hisia ya ukosefu inavyouma. Hii hali ya kujisikia kwamba una hatia ni moja kati ya hisia zenye maumivu makali sana. Pamoja na ukweli huo lakini bado maumivu hayo hayafikii maamuzi anayopata yule uliyemkosea hasa pale anapokataa kusamehe. Mtu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu na Mkewe, familia ya waomba Urais yenye nguvu ya hoja kuwahi kutokea Tanzania

    Familia hii ni moja ya familia yenye nguvu kuwahi kutokea Tanzania na Afrika Mashariki. Mke na mme kuwa na nguvu jukwaa, wasomi na watu wenye nguvu ya uthubutu Kama Hawa ni mara chache kutokea. Mara nyingi hutokea mke kuwa na nguvu na kutumia nguvu hiyo kumbeba mume na mme kuwa na nguvu...
  10. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Nabii na chupi za upako kwenye wenye matatizo ya kimahusiano na nguvu za uzazi

    Jana nilimsindikiza shostisto wangu kwa nabii. Kilichompeleka yeye ni shida na changamoto za mahusiano yake. Mume mlevi, mume Malaya Kama mbwa, mume bahili, hajali ndoa Wala familia. Hajali ndugu zake Wala wa mkewe. Mume mgumu Kama ndevu za gaidi wa Mkuranga. Rafiki yangu huyu aliniomba...
  11. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Tuko vitani: Msingi imara wa familia ya asili unashambuliwa kwa nguvu zote kutoka kila upande

    Tuko vitani, msingi na uimara wa familia ya asili unashambuliwa kutoka kila upande. Angalia uharibifu uliopo: watu wachache leo wanaoa. Na wale wanao-oa, ndoa zinavunjika, watoto wadogo kabisa wa hata mwaka mmoja wanapekwa shule za bweni. Majukumu kwenye familia yamebadilika, kazi za baba sasa...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ndiye aliyeteua wafuatao

    Nakumbusha tu kwa wakati tuliopo, Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ndiye aliyeteua wafuatao: 1. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi 2. Mkurugenzi wa uchaguzi 3. IGP 4. Jaji mkuu 5. Mkuu wa Majeshi 6. Wajumbe wa Bunge la Katiba 7. Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU 8. Kiongozi wa Shughuli za Serikali...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Natamani katika haya majimbo 11 ya Ubunge uchaguzi uwe Huru na wa Haki ili nipime nguvu ya upinzani Tanzania!

    Ni majimbo yafuatayo: 1. Kawe 2. Mikumi 3. Iringa mjini 4. Mbeya mjini 5. Tunduma 6. Hai 7. Karatu 8. Bunda 9. Tarime mjini 10. Tarime vijijini 11. Arusha mjini Natamani kuona nguvu ya wapinzani katika maeneo haya "kiuhalali" kabisa kwa sababu majisifu yao yamezidi sasa. Maendeleo...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee bado hajamsahau Jux, anatumia nguvu kubwa kumtumia mpenzi wake mpya kwa lengo la kujaribu kumpa wivu Jux

    Wazoefu wa mapenzi tunaona kabisa Vanessa Mdee bado yupo na ile michezo ya sekondari pale ambapo tulivyowapiga chini madem zetu walikuwa wanaanza michezo ile ya kujaribu kupata attention zetu kwa kutumia nguvu kubwa sana kujichoresha mbele ya wapenzi wao wapya. Na kwa kutumia instagram mbinu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula aenda alipozuiliwa Lissu kumtia nguvu

    Katika muendelezo wa hali inayoonyesha kuwasikitisha sana wananchi juu ya uonevu na unyanyaswaji wa dhahiri anaofanyiwa mheshimiwa Lissu nchini. Baada ya Ndugu Lissu kuzuiliwa kuendelea na safari yake ya mlandizi kinyume cha haki yake ya kikatiba, Askofu Mwamakula amekwenda eneo la tukio hapo...
  16. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, kazeni buti zenu, you are almost there. Adui yuko hoi, ushindi uko wazi mno!

    Mungu wa Israeli amesikia kilio cha Watanzania cha miaka mingi. Mungu wa Israel ameona mateso ya watu wake na sasa ameshuka mwenyewe kuja kutukomboa. Mungu kampiga upofu wa fikra na ufahamu adui. Nguvu na manlaka yao siyo kitu tena. Havina msaada kwao. Haviwezi kuwaokoa na anguko kuu la...
  17. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu 27 za kwanini Magufuli hafai kupewa miaka mingine 5 ya kuwa Rais

    Magufuli kauliza katenda dhambi gani asipewe tena miaka 5. kwanza dhambi kubwa sana ni RAMBIRAMBI za tetemeko, kivuko kwa wahusika ziligeuzwa kuwa mali ya serikali na ikafanya kazi ya serikali huku mfuko wa maafa upo na bajeti yake ilipitishwa. Sasa majibu yake haya hapa: 1. Hajatoa ajira...
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa dola na chama Ni kipi chenye nguvu na akili zaidi?

    Naomba kufahamishwa kati ya dola na chama Nani Ni more professional? Na je Nani Yuko juu ya mwrnzake? Kwa maoni yangu kwanini dola Mara nyingi anaendeshwa na chama? Kwanini chama kinatawala dola wakati dola ina kanuni sheria taratibu na professionalism?
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ulituaminisha kuwa Wewe una Nguvu za 'Kimaombi' za Kuwasaidia, sasa iweje leo tena unakimbilia Kwetu Wenye Dhambi na tusiojua Kuomba?

    Mchungaji Daudi Mashimo ambaye ni mlezi wa msanii Amber Rutty na mumewe Said Aboubakar amewaomba watanzania kutoa msaada wa kuwachangia Amber Rutty na mumewe huyo ambao kwa sasa wapo katika gereza la Segerea wakitumikia kifungo cha miaka mitano au faini ya Milioni 6. EastAfricaTV Mbona pale...
  20. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha nchi kuwa na nguvu za uchumi ni kipi?

    Dola moja ya marekani ni sawa na shilling 2326 za Tanzania Dola moja ya marekani ni sawa na Yeni 11 za japan Dola moja ya marekani ni sawa na dinar 0.33 za Kuwait Hela yenye nguvu kuliko zote duniani ni dinar ya Kuwait.Tunaambiwa nchi tajiri kuliko zote duniani ni Luxembourg kanchi kadogo sana...
Back
Top Bottom