nguvu

  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji kufanya field katika hospitali ya Nguvu Kazi Chanika

    Poleni na msiba wakuu wa Rais wetu ngangari ndugu JPM, tuliumbwa na Mungu na kwake tutarejea. Moja kwa moja niende kwenye mada. Nasoma ordinary diploma in pharmaceutical science chuo kimoja mkoani. Natamani sana kufanya field jijini Dar es Salaam sasa kuna ndugu yangu mmoja amenieleza kuhusu...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani awaomba NATO kuungana dhidi ya China

    Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Anthony Blinken ameufungua mkutano na washirika wa jumuiya ya kujihami ya NATO kwa kuwaomba wanachama wenzake kushirikiana nayo dhidi ya kitisho cha China. Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Anthony Blinken jana ametoa hotuba ya ufunguzi katika siku ya...
  3. JamiiForums Tanzania Nguvu za asili za hali ya hewa mkoani Geita zimejiandaa vizuri kuupokea Mwili wa Hayati Dr. John Pombe Joseph Magufuli

    Katika hali ya upendo na nguvu za asili zinaotawala mazingira yetu ya kila siku. Nguvu zinazoifanya hali ya hewa kuwa tulivu au kuwa katika hali inayotahayarisha wanadamu na viumbe wengine hali mkoa huu imekuwa tulivu sana ikitawaliwa na mvua kiasi inayonyesha kwa upole mkubwa jambo...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya matajiri itakapoanza kuchukua nafasi yake, kilio cha wanyonge kumlilia Dkt. Magufuli itazidi kusikika na wa kuwazuia hatakuwepo

    Ndiyo! Nguvu ya matajiri ikiilemea serikali hii mpya, wanyonge watalitaja Jina la JPM Kwa uchungu mkubwa na hakuna atakayewazuia Pale rushwa itakapowafanya wanyonge, wamachinga, wamama ntilie, bodaboda, bajaji n.k ambao idadi Yao ni kubwa mno Kwa sasa katika nchi hii kuanza kufukuzwa kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Afande Sele akimlilia Hayati Magufuli

    Afande amemlaumu sana Mungu kwa kutuonea Waafrika. Ameshauri Watanzania na Waafrica kuachana na dini za wazungu tuamini mizimu yetu na jua. Amesema hayo akishangaa kwanini Mungu aliyepewa kipaumbele na JPM ameshindwa kumlinda na husda za wazungu mpaka wakafanikiwa kumuondoa.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Upinzani utapata nguvu zaidi na huenda ukawa mwisho wa CCM

    Namuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia. Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia. Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa Namuona Mzee...
  7. JamiiForums Tanzania Spiritually kuna nguvu gani iliyopo kati ya Mapepo na Nguruwe?

    Waamini habarini, Basi kama wewe huamini nguvu zilizopo ulimwenguni basi usipoteze muda na huu uzi maana utaazisha mada mpya tusizotaka. Najiulizaga kwa kusikia na kuona kwa watu wakikinzana na huyu mnyama kwenye masuala ya mapepo. Ifahamike nguruwe ni mnyama wa kufugwa ila binafsi nimekuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Si upungufu wa nguvu za kiume tu umekuwa tatizo hata uwezo wa wanaume kuzalisha unapungua

    Unakuta ni familia yenye uwezo, lakini watoto wao wa kiume hawana uwezo wa kupata watoto. Katika maendeleo ya mwanadamu, kilichosabisha ustaarabu wa kuoana na kuanzisha familia ilikua ni utaratibu wa kurithi mali. Binadamu alipoanza kumiliki ardhi, kulima nafaka na kumiliki wanyama wa kufugwa...
  9. JamiiForums Tanzania Nguvu za kiroho za mwanamke

    Kuelekea siku ya Wanawake Duniani tarehe 8/6/2021 natamani tujifunze kwa kiasi juu ya nguvu za kiroho za mwanamke. Nina uhakika lipo jambo kubwa litakaloeleweka kwa namna tofauti kabisa na ilivyozoeleka. Dunia inatawaliwa na nguvu katika ulimwengu wa roho inayojidhihirisha katika mawanda...
  10. JamiiForums Tanzania Je, kufanya mapenzi (sex) mara kwa mara kunachangia kupungua kwa nguvu za kiume?

    Habarini wadau kama heading inavyosema. Kuna ukweli wowote kate ya sex ya mara kwa mara na upungufu wa nguvu za kiume? Mfano kwa wiki mara 4 na bao tatu tatu.
  11. JamiiForums Tanzania Kisa cha Desmond Doss na dhana ya uwezo wa nguvu za Mungu

    Duniani kuna Imani nyingi za kidini , karbia kila mwanadamu anaamin uwepo wa nguvu zisizo za kawaida katika maisha ya binadamu... uwepo wa Mungu ni dhana inayoaminika na wanadamu karbia wote duniani , hata hvyo Mungu huyu anaabudiwa Kwa mfumo na Imani tofaut tofaut ... Kuna wanaomuabudu kupitia...
  12. JamiiForums Tanzania Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe

    Leo nimekumbuka hii ngoma ilivuma Sana enzi zile wakati bado blackberry na apple ni matunda hayajawa simu. Title ya wimbo ilitokana namsemu wa aliyekuwa raisi wa JMT awamu ya 3 Bwana Ben Mkapa kuwa anapenda kusema "mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe." Pia ukanikumbusha uncle yangu...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Makundi ya Wanaume yanayoongoza kwa nguvu nyingi za kiume na stamina kubwa kitandani

    Nisipoteze muda. Wanaume wanaongoza kwa kuwa na stamina kubwa kitandani na kuridhisha wapenzi wao wapo sita. Unaweza kuongeza wa kwako. Wanaume hao ni 1. Makuli/Wapagazi: Demu wako au mkeo akikutana na kuli, walahi hamwachi, andika maumimivu. Makuli ni Wanaume wabeba mizigo. 2. Wanajeshi...
  14. JamiiForums Tanzania Kwenye soka kutumia nguvu nyingi bila akili ni sawa na bure , Cameroon wanadhalilishwa nyumbani kwao

    Mpaka muda huu wamekwisha tandikwa magoli 4 kwa nunge nyumbani kwao , Magoli yanaweza kuongezeka hadi kuvunja rekodi ya Southampton . Aibu kubwa sana !
  15. JamiiForums Tanzania Umoja ni nguvu: CHADEMA wachangishana fedha ili kumtoa jela kiongozi wao aliyehukumiwa kifungo huko Mwanza

    Ili kuweka kumbukumbu vizuri , Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Kamanda Mwakihaba alishitakiwa kwa makosa ya mtandao baada ya kusambaza taarifa za ofisa kipenyo aliyeonekana karibu na Hospitali aliyolazwa Mh Tundu Lissu jijini Nairobi baada ya kushambuliwa kwenye eneo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Corona imethibitisha nguvu ya mitandao ya kijamii nchini

    Wakati serikali imekuwa ikisisitiza kuwa Corona haipo nchini, Wananchi wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii kuelezana hali ilivyo juu ya ugonjwa huu na imefika hatua hata Kanisa Katoliki limeshituka na kutoa tamko la kutahadharisha jamii juu ya uwepo wa ugonjwa huu. Hali hii inadhihirisha...
  17. JamiiForums Tanzania Akili nyingi pamoja na nguvu nyingi zilizotumika katika kujibu hii tweet!!

    Kama Watanzania tungekuwa tunatumia nguvu nyingi kiasi hiki kama hizi zilizotumika kujibu hii tweet katika kufanya mambo ya msingi nina uhakika kabisa tungefanikiwa katika mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na kutokutawaliwa na mabeberu wazawa pamoja na makaburu wazawa.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Serikali Iongeze nguvu kwenye masomo ya Hisabati na fizikia

    Habari za usiku wana jamvi tukiwa na furaha na ufaulu wa vijana wetu kidato cha nne kwa hakika wanastahili sifa wamefanya vizuri kama matokeo yatakuwa ni ya kweli. Lakini pamoja na kufanya vizuri nadhani changamoto imebaki katika masomo makuu mawili. Fizikia na hisabati kwa ujumla...
  19. JamiiForums Tanzania Trump ataanzisha chama chake na ndio mwisho wa vyama viwili vyenye nguvu Marekani

    Mzuka wanajamvi! Donald Trump ataanzisha chama chake. Kitakuwa na nguvu sana na wafuasi wengi sana na wengi watakihama republican na kujiunga nacho. Kwa mara ya kwanza utakuwa mwisho wa vyama viwili Marekani Republicans na Democrats kiwa na nguvu pekee yao. Uchaguzi wa 2024 Marekani utakuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa wasichana wazuri kupindukia huolewa na wanaume wenye nguvu?

    Wanaume wenye Nguvu, namaanisha matajiri, watu maarufu, watu mashuhuri na VIONGOZI. Nakanusha kabisa dhana kuwa wasichana/wanawake wazuri kupindukia Mara nyingi wengi wao kuwa huwa hawaolewi. Kwanza kabisa wanawake wote duniani ni wazuri lakini ni ukweli usio na Shaka kwamba wapo wanawake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…