Tukabidhi sisi jukumu la kufua na kunyoosha nguo zako

Aug 10, 2023
9
16
Dobimaridadi Mtaalamu(specialist) wa kufua na kunyoosha nguo yupo kwa ajili yako kuhakikisha umaridadi wa muonekano wako kwa kuvaa nguo nadhifu.

Tupe nguo zako leo tukufulie/kunyoosha kwa umakini wa hali ya juu wewe leta nguo ya aina yoyote bila kujali ni ngumu kiasi gani sisi tutahakikisha inakuwa safi kama imetoka dukani.

Tunapatikana Dar es salaam(ubungo) tunaweza kuja kufua kwako au kuchukua nguo na kukuletea zikiwa safi wasiliana nasi.

Wasiliana nasi.
dobimaridadi17@gmail.com
Facebook - dobimaridadi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom