nguo

  1. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Ni Sahihi kumnunulia dada, mama au mama mkwe nguo za ndani?

    Uzi ulikuwa kwaajili ya social experiment. Asanteni.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Fei Toto huwezi kuwakwepa Yanga, ukivuliwa nguo chutama

    Kwa mara nyingine naona Bwana Fei Toto kawasilisha barua TFF ya kutaka kuvunja mkataba na Yanga. Mpaka sasa nafikiri yeye na watu wake washashtuka na kuona kuna mahala waliteleza ndio maana wanakwepa kupeleka mashtaka CAS. Kwa akili ya kawaida baada ya review yake kugonga mwamba, alitakiwa...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbunifu wa mavazi wa Kitanzania ampata Afisa aliyemuibia Begi la Nguo

    Mbunifu wa kike wa Kitanzania anayeishi Houston nchini Marekani amedai kuwa nguo zinazovaliwa na afisa wa zamani wa Wizara ya Nishati (DOE) Sam Brinton zilikuwa kwenye mzigo wake uliopotea katika uwanja wa ndege huko Washington, D.C. mnamo 2018. Asya Khamsin, ambaye ametengeneza brand yake ya...
  4. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Nauza nguo Vingunguti Dar

    karibu kwa nguo za kike short dress na magauni bei chee 7k. Namba 0787616723 whstpp
  5. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mvua imetuvua nguo kama Taifa. Aibu hii

    Mvua imenyesha na hakika ardhi imepokea maji hadi imetota. Wakazi wa mijini tumeshuhudia adha kubwa inayotokana na ubovu wa miundombinu ya kutiririsha maji. MTWARA Nyumba zaidi ya 17 zimezingirwa na maji (kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV) na wananchi wanalalamikia ufunyu wa mitaro...
  6. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Nguo aina hii zinapatikana wapi

    Habari wana jamii forums Kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta mitindo hii ya nguo ambayo nimeona wanawake wa Ethiopia wamekuwa wakivaa sana,nao.ba kujulishwa maharishi yalipo haya machine ya nguo hizi
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nguo alizovaa Lissu wakati anapigwa Risasi kukabidhiwa kwa wazee

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atapokewa kwa mila za kabila la Kinyaturu kwa nguo zake alizopigwa nazo risasi kutolewa rasmi, kufuliwa na kupewa wazee kwa ajili ya kuzivaa. Lissu alikuwa mbunge wa Singida Mashariki tangu mwaka 2010, alivuliwa ubunge Juni 28, 2019 akiwa kwenye...
  8. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Magauni ni nguo ya kike ina heshima sana. Turejee utamaduni wetu

    Jamani turejee. Kama utafatilia Sana hata queen family wanavaa magauni. Tuachane na vijinz.
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kwenye vita hii natoa tahadhari kwa Balile, Kigwangalla vua nguo uoge ili utakate

    Niona vita kali kati ya Hamisi Kigwangalla Mbunge na ndugu yangu Ta Balille, Chanzo cha vita ni RIPOTI aliyoitoa Balile na wenzake mbele ya Makamu wa Rais siku za hivi karibuni. Za chini chini inasemekana Kigwangalla anapambana RIPOTI ile kusema ni uongo mtupu, Ta Balille anampotosha Makamu wa...
  10. Blaszczykowski

    JamiiForums Tanzania Nguo zimerudishwa ila nafsi yangu nzito kuzivaa

    Habari za humu ndani wakubwa na wadogo . Week iliyopita mke wangu wa ndoa amebeba vitu vya ndani bila hata kuniambia (kubeba vitu sio shida ) shida inakuja Why ameondoka na nguo zangu angalia zilikuwa kwenye begi langu la nguo na amekaa nazo week nzima jana ndio zimeletwa na bodoboda...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Video: Mwanamke anaswa akiweka chupi kwenye chakula

    Kwa kawaida watu wa mitandaoni hupenda kushabiki mambo, lakini katika hili wanaonekana kukerwa na video ambayo inaonesha mwanamke mmoja akivua nguo yake ya ndani na kuiweka kwenye sufuria la mboga jikoni. Katika video inayosambaa kwa kasi ya ajabu, mwanamama huyo ambaye tabia yake hiyo imetajwa...
  12. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wa siku hizi hawavai hizi nguo?

    Zilikua zinawapendeza ila kwa uchunguzi wangu nilioufanya ,nimegundua siku hizi hawazivai. Shida nini wakuu?
  13. ommytk

    JamiiForums Tanzania Mnaokata tiketi za mwendokasi acheni kunyanyasa wanafunzi wanaovaa nguo za nyumbani

    Wakata tiketi kwenye mwendo mnanyayasa sana watoto, nimeshuhudia karibu mara tatu mnagombana na vijana ambao ukimuona kwa umri wake kabisa ni mtoto mnataka alipe nauli ya mtu mzima hivi kisa amevaa nguo za nyumbani si sawa kabisa. Hivi nyinyi amjui umri wa mtoto? serikali naomba iangalie hili...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Ndege ya Precision Air imetuvua nguo wazi wazi

    Wakuu kwa mara nyingine tena nitoe pole sana kwa waliopatwa na ajali ya Ndege leo huko Bukoba baada ndege ya Shirika la Precision Air kupata hitilafu wakati wa kutua na kuingia Victoria pia wale waliopoteza maisha basi Mwenyezi Mungu awarehemu na kuzipumzisha nafsi zao pema peponi. Kusema...
  15. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Sio sahihi "house boy" kukufulia nguo za ndani

    Habari za wakati huu wana jukwaa, Wiki iliyopita nilienda kumsalimia kaka yangu, yeye anaishi na mfanyakazi wake wa kiume, mke yupo kikazi mkoa mwingine. Jambo lililonishangaza wakati nafua nguo zangu kujiandaa na safari nilihamaki kuona mfanyakazi wake wa kiume akimfulia nguo zake za ndani...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuvaa jeans na raba Kanisani?

    Habarini. Ni sahihi kuvaa kofia, yaani cap church? wengi tunafahamu kuwa si sawa. Sasa vipi kuvaa jinsi na raba na tisheti church, ni sawa?
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Upekuzi wa kuvuliwa nguo mgodi wa Tanzanite wakomeshwa

    Diwani wa Kata ya Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Salome Mnyawi amesema hivi sasa wachimbaji na wafanyabiashara wa madini ya tanzanite wanapekuliwa kwa staha tofauti na awali walipokuwa wakivuliwa nguo, kabla ya Wabunge kupinga upekuzi wa aina hiyo. Mnyawi ameyasema hayo kwenye...
  18. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Simba haina timu ya kuifunga Yanga. Ikitokea Simba imemfunga Yanga nakalia moto bila kuwa na nguo

    Admins nimeweka hii ahadi kuwa ikitokea bahati mbaya. Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi. Na naomba members wawili au watatu wawepo kama mashaidi. Nikishindwa nipigwe ban mwezi mzima. Simba ni team mbovu kwa Yanga. Simba haiwezi mfunga Yanga...
  19. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ameondoka akiwa amevaa nguo yangu ya ndani ( boxa)

    Wakuu hii imekaa vipi jana nilipata pisi moja ya kanda ziwa ina mguu mnene balaa na tako zito, nikaikaribisha kwangu ikaoga vizuri, mara hooo mwizukulu mgikuru ninaomba nguo yako nivae hii yangu imelowa..ikabidi nimpe kishingo upande, usiku umepita vizuri tu , asubuhi anakomaa kuondoka amevaa...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Binti asimulia Polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti

    Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu. “Kwanza walifika kwa kishindo alfajiri ya...
Back
Top Bottom