Wanawake hamuoni fedheha kuvaa nguo za ndani zinazojichora hasa mkitembea?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,028
144,382
Wanawake wenye kujiheshimu, huwezi ona amevaa nguo ambayo akitembea na wakati mwingine hata akiwa amesimama, nguo ya ndani (pindo) zinajichora mpaka inakua albu kumtazama.

Mimi naamini huwa wanajiona kwenye vioo ila kwa akili zao baadhi wanaona ni sawa tu au ni sehemu ya kuongeza mvuto kitu ambacho si kweli.

Ukitaka kujia ni makusudi au kujiachia tu, angalia wanawake au wamama wenye madaraka au nyadhifa katika jamiii na wengine wenye kujiheshimu uone kama wanakuwa na muonekano huo wa kufedhehesha kwenye makalio.

Kingine, mnaponunua nguo za ndani epukeni zile zenye mapindo makubwa na zaidi muepuke kuvaa nguo za kubana kwani mnajiabisha na zaidi mnaaibisha na wenzenu wanaojiheshimu.
 
Hivyo ndivyo wanavyotaka sasa. Tena wanaona raha. Na akiwa na msambwanda ndio kabisaaa.
 
Wanawake wenye kujiheshimu, huwezi ona amevaa nguo ambayo akitembea na wakati mwingine hata akiwa amesimama, nguo ya ndani (pindo) zinajichora mpaka inakua albu kumtazama.

Mimi naamini huwa wanajiona kwenye vioo ila kwa akili zao baadhi wanaona ni sawa tu au ni sehemu ya kuongeza mvuto kitu ambacho si kweli.

Ukitaka kujia ni makusudi au kujiachia tu, angalia wanawake au wamama wenye madaraka au nyadhifa katika jamiii na wengine wenye kujiheshimu uone kama wanakuwa na muonekano huo wa kufedhehesha kwenye makalio.

Kingine, mnaponunua nguo za ndani epukeni zile zenye mapindo makubwa na zaidi muepuke kuvaa nguo za kubana kwani mnajiabisha na zaidi mnaaibisha na wenzenu wanaojiheshimu.
Biashara ni matangazo! Alisikika mzee mmoja akisema...
 
Back
Top Bottom