ComputersDAR
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 213
- 241
Mwaka jana mwezi wa 12 niliamua kufanya shopping ya nguo kwa watoto wangu. Nilianza na Woolworth.
Woolworth bei za nguo za watoto ni juu sana kwa kweli. Nilinunua nguo chache lkn kwa gharama kubwa. Baada ya hapo nikaamua kwenda Mlimani City.
Hapo ndipo nikagundua kumbe naweza kununua nguo nyingi na nzuri kutoka maduka ya GSM na WAIKIKI kwa gharama nafuu sna ukilinganisha na Woolworth.
Basi nikatumia pesa maduka haya mawili kwa nguo za watoto. Lakini nilichogundua baadaye ni kwamba nguo za GSM NA WAIKIKI zinapendeza kws macho ukiziona dukani tu au tuseme zikiwa mpya.
Zikishaanza kutumika zinachakaa haraka sana sababu ni nyepesi na zinachanika haraka haswa zikifuliwa.
Woolworth nguo zao ni imara ukilinganisha na GSM NA WAIKIKI lakini zina bei sana.
Jee, kuna yeyote mwenye uzoefu kama wa kwangu kuhusu ubora wa nguo zinazouzwa haya maduka?