nguo

  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga wamshambulia kocha Nabi kwa kuvaa jezi ya Simba

    Wakati Yanga wakiendelea kutafuta mchawi aliyesababisha wakapigwa na USMA wikendi iliyopita, baadhi ya mashabiki wao wameanza kuwashutumu baadhi ya watendaji wao kwa usaliti kisa kuvaa nguo zenye rangi nyekundu na nyeupe. Katika jambo lililoshangaza wengi, siku ya mechi ya USMA kocha mkuu wa...
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Askari TANAPA wadaiwa kuwavua nguo wanawake wafugaji na kuwababua kwa mapanga ya moto mwili mzima

    Kuna habari toka bungemi inaeleza kwamba kuna Askari wa TANAPA wamevamia wanachi kwa helicopter kwa madai wapo kwenye hifadhi, ambapo wameporw ng’ombe zaidi ya 200, pia wamepiga raia kiasi cha wengine kuwa mahututi, pia wamefanya ukatili wa kuwavua nguo wanawake hadi uchi wa mnyama, kisha...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nataka niagize Dye za kurudisha rangi za nguo zilizopauka rangi na kuchuja, Nipeni mawazo yenu ya ziada kuhusu hii business idea kwa bongo

    Habari zenu wakuu, nimepitia pitia mitandao ya huko kwa wenzetu nimeona kwamba huwa kuna unga ama vimiminika vinarejesha rangi za nguo zilizopauka rangi. Kwa hapa kwetu nimeona nguo hasa hizi za dukani zina janga la kuondosha rangi hara sana waweza kununu aipo fresh ila ukifua nara mbili ama...
  4. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea

    Nashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini? Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon?? Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa. ---
  5. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa na soko la nguo hapa bongo, Wale mnaonunua online tunaombeni mtupe uzoefu wenu tupate nguo zenye ubora

    Habari zenu wakuu, hapa bongo soko la nguo kuna baadhi yetu lishatutoa knock out, unaweza kwepa midosho ya elf 15 ukaenda kwenye duka la cadet za elf 40 ukazani hapa ndio penyewe kumbe mambo yale yale tu, ukifua mara mbili tatu ishakuwa bwanga, pindo hohe hahe, rangi imechuja. Sasa basi mimi...
  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nini siri ya nguo na viatu kuwa bei rahisi na ubora wa juu ukiwavizia wale wanaouza kwa kuzitembeza mtaani ?

    Niliwahi pata kiatu kigumu sana, ni kizuri yani tangu 2020 mpaka sasa kinadunda poa tu, Ajabu ni kwamba hata sikuomba kupunguziwa bei maana kilikuwa elf 15 tu, laiti ningeenda dukani nisingeshangaa ni laki 2 na mtumbani kiwe laki. Mwaka jana nilinunua raba hizi za vic nabaki nashangaa ni vipi...
  7. covid 19

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha nguo (Tshirt kwa hapa bongo)

    Wakuu habari zenu nahitaji kufahamishwa mahali kilipo au vilipo kiwanda vya nguo kwa Dar au Pwani ambacho kinazalisha tshirt. Achana na vile vya external pale.!
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake huona Aibu Kuvua Nguo za Ndani wawapo Faragha na Wanaume, ila wakiwa Wanazinunua huko Mitumbani huwa hawaoni Aibu?

    Kwanini Wanawake huona Aibu Kuvua Nguo za Ndani wawapo Faragha na Wanaume, ila wakiwa Wanazinunua huko Mitumbani huwa hawaoni Aibu? Karibuni sana mnielimishe juu ya hili.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake huona Aibu Kuvua Nguo za Ndani wawapo Faragha, ila wakiwa Wanazinunua Mitumbani hawaoni Aibu?

    Nitashukuru nikielimishwa hili.
  10. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuchagua nguo dukani

    Kuchagua nguo nzuri dukani kunaweza kuwa changamoto, lakini hapa kuna vidokezo kadhaa vinavyoweza kusaidia: Angalia ubora wa kitambaa - Kitambaa ni jambo muhimu sana kuzingatia wakati wa kuchagua nguo. Hakikisha unapata nguo yenye kitambaa chenye ubora mzuri na kinachoweza kudumu kwa muda...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa siku anabadilisha nguo mara ngapi?

    Huyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine. Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kufufua Kiwanda cha Nguo cha MUTEX Musoma

    GHATI CHOMETE - SERIKALI KUFUFUA KIWANDA CHA NGUO MUTEX MUSOMA MASWALI NA MAJIBU BUNGENI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete ameiuliza swali Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara ambalo lilijibiwa na Naibu Waziri Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe "Pamoja na Uwekezaji...
  13. Mtafiti77

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji mbunifu na mshoni wa nguo za kike na kiume

    Kwa wajuvi wa kuulamba jijini Dar es Salaam Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninahitaji mtaalamu wa kubuni na kushona nguo za kike na kiume. Awe mkali katika suti na mavazi mengine ya me na ke. Si lazima awe huyohuyo. Mmoja anaweza kuwa mtaalamu wa nguo za kike na mwingine za kiume au...
  14. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Habari wa ITV na TBC muwe mnavaa nguo za heshima, maumbo yenu yanatutamanisha watazamaji

    Hope wazima wana JF, Juzi wakati nacheki habari ITV saa 2 usiku, nilipatwa na mshituko baada ya kuona umbo namba 8 la mtangazaji wa habari ITV. Baada ya kutangaza muhtasari wa habari akawa anaenda kukaa kwenye meza alivyogeuka, yule dada ana umbo jamani, nyuma kajazia. Nimeenda Instagram...
  15. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Calisah "amvua nguo" mrembo, amchana kweupe

    Baada ya mrembo Shakila kutoka Kenya kusema kwamba kuanzia sasa na kuendelea eti atakuwa anatoza dollar 50 ambazo ni zaidi ya laki moja ya kitanzania ili akujibu tu meseji yako uliyo M DM. Sasa bhana Calisah akaja chaaap kumuumbua 🤣🤣🤣kumbe bwana huyo demu anajifanya staa kumbe naye wale wale...
  16. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi nguo za ndani zianikwe nje zikauke na jua?

    Baadhi ya wanawake wanatabia ya kuanika chupi kwenye kamba bila kujali wanaishi na nani je, iko sawa?
  17. Equation x

    JamiiForums Tanzania Warembo kuvaa nguo zenye maandishi ya kusisimua, uko ni kutegana.

    Nikikuona dada mrembo umevaa nguo yenye maandishi ya kunishawishi au kusisimua, nitachukulia yale maandishi ndicho wewe unacho maanisha. Kwa hiyo mimi nikitekeleza kwa kufuata yale maandishi yanavyotaka mimi nifanye, usinione mi mbaya. Shauri yenu warembo, endeleeni kuvaa nguo zilizoandikwa...
  18. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu iliyonifanya niache kuvaa nguo za ndani (vest na boxer)

    Maisha ni fumbo kubwa lililojaa somo kubwa iwapo tu utasimama thabiti na ukiwa na msimamo chanya na kuwa mtu unayependa kujifunza kupitia na magumu unayoyapitia. Nilipoingia kwenye biashara na kuanza kushika vijihela ambavyo nilikuwa sijawahi kuvishika kabla, basi na tabia mpya zikaanza...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Bila dhambi viwanda vya nguo vingekuwepo?

    Nachokoza hii mada naomba tuchangie Kwa weledi na ustaarabu. Kulingana na masimulizi ya Biblia kitabu cha Mwanzo, binadamu wa kwanza Adamu na Eva waliumbwa na kuishi wakiwa uchi mpaka walipotenda dhambi ndipo walipoona soni maumbile yao ya uzazi kutokufunikwa. Najiuliza kama hawangehalifu...
  20. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kuwapenda wanawake wanao vaa nguo za kiume(tomboy)

    Habari zenu wakuu Nimejikuta tu ghafla nimetokea kuwapenda wanawake wanaovaa nguo za kiume tomboys au nikimuona mwanamke kavaa nguo za kiume navutiwa nae..unamkuta pisi Kali imevaa jezi kwa juu chini ana jinsi au kibukta flan hiv kanyoa afro au low cut wanavutia sana. Nimekuwa shabiki wa timu...
Back
Top Bottom