The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 3,445
- 8,299
Hii Ngoma bado mbichi kabisaa Maana viongozi wa Dini wamesema wameiskilza Serikali ila Wao watatoa matamko Yao baadae.
Lakini hoja zao zimeonekana zenye akili na uelewa wa Juu wa mambo haya tofauti na wabunge wetu..
wanasema wabunge walio wengi hawategemei Kura, wanaamini iwe jua au mvua lazima wawe wabunge Kwa hIyo lolote wanaweza kupitisha Maana hawana hofu na mtu yoyote...
kiufupi hoja za viongozi wa Dini zinaonyesha hatuna Bunge,. Hata waliopo wamejaa ujinga na dharau hawaheshimu wananchi Hata kidogo