ngono

  1. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ngono inayofanywa mitandaoni

    Sasa hii biashara imehamia mitandaoni ukiingia Telegram kuna mpka madalali wa wa kuunganisha madem kama unahitaji mkoa wowote ule unaunganishwa mabint wadogo kabisa wanajihusisha na hii biashara tena ule mtandao pendwa unatolewa nje nje hii ni hatari dunia inaelekea tabati. Nawasilisha
  2. kidadari

    JamiiForums Tanzania Mara yako ya kwanza kuangalia "Pilau" ilikua je?

    Katika harakati za ujana unakumbana na mambo mengi ikiwemo udomo zege, mahusiano,uhuni,chabo mapenz etc Back in March 2001 nikiwa kidato cha kwanza shule flan jijini dar es salaam. Nimetoka kijijini mkoa wa kaskazini Enzi sijui mwanamke,wala sikuwahi kuona uchi wa mwanamke wala Puli sikua...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Kikao cha bunge chavurugwa kwa picha za ngono

    Mkutano wa kamati ya bunge kwa njia ya mtandao Afrika Kusini umevamiwa na wadukuzi na spika kudhalilishwa. Kikao hicho kilikuwa tu ndio kimeanza Alhamisi asubuhi wakati ambapo picha za ngono zilipojitokeza kwenye skrini huku sauti ya mwanamume ikisikika kumtusi Spika Thandi Modise, ambaye...
  4. safuher

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunapokutana na wanawake kuna ambao wanavutia kwa ndoa na kuna ambao wanavutia kwa ngono tu

    Wengi hushangaa kwa nini kajikuta kaoa mwanamke mwenye heshima na adabu msomi lakini sio mzuri,hana umbile ambalo alitamani hapo mwanzo awe nalo mwanamke atakaemuoa. Wanaume wengi utawakuta wameoa wanawake ambao wako nje na malengo yao ya zamani na maisha bado yanakwenda. Wakati mwingine huwa...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Wanaume tupunguzeni tamaa za ngono

    Mtaani kwetu kuna chizi kasaidiwa na police kwenda hospital kujifungua but cha ajabu alomtia mimba haonekani. Nachojiuliza je kufikia hatua ya kumla chizi mtu anakua domo zege ama anakwama wapi? karibuni tujadili
  6. marco polo jr

    JamiiForums Tanzania Serikali ifungie tovuti zote za pichani za ngono ili kuokoa vijana wetu

    Wakuu. Nimependa leo tujadili suala hili, mitandao ya ngono inaharibu vijana wetu pamoja na utamaduni wetu kama waafrika. Ilikuwa siyo kawaida kuona picha za faragha kwani ilifahamika ni jambo la aibu kuona na pia kulikuwa na hofu fulani. Zamani kidogo kuona picha hizi ilikuwa lazima ulipie...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini tofauti ya Ngono, Tendo la Ndoa na Unyumba?

    Wapendwa, Kwa wenye ufahamu naomba msaada wa maana na matumizi sahihi ya maneno haya matatu NGONO, TENDO LA NDOA NA UNYUMBA. Nimeyasikia mara nyingi lakini sina hakika kama yanamaanisha kitu hicho hicho au tofauti.
  8. beth

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU kutoa elimu ya rushwa ya ngono mtaa kwa mtaa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kitengo cha Kupambana na Rushwa ya Ngono, imesema imejipanga kuanza kutoa elimu mtaa kwa mtaa ili kuhakikisha inawafikia watu wa rika zote. Mkurugenzi wa Idara hiyo, Janeth Mawinza, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam alipofungua kikao...
  9. Cicero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri mwanamama wa Kenya ashutumiwa kwa kupenda kuangalia video za ngono ofisini

    Wakenya mko wapi mtuambie ni nani huyu!
  10. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Kwanini muziki wa sasa haunogi wala hauuziki bila ngono?

    Nimejadili sababu za kibiashara na za kisayansi ya akili na saikolojia ya binadamu. Pamoja na ombi hili naomba kukiri nimeanzisha thread hii kutokana na mjadala nilio taja awali. Nimejaribu pia kugusia kwanini wanafunzi kule Mbeya walichoma moto shule sababu ya kuzuiwa kutumia simu shuleni...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini ngono hufanyika kwa kificho?, what is the evolutionary significance of such a behaviour in humans?

    Katika suala la natural selection and elimination ni kwamba wale tu ambao wanastahimili mazingira husika ndio hubakizwa na wengine wasioweza kuvumilia hufyekelewa mbali. Mfano ni wale twiga wenye shingo fupi walivyokufa kwa njaa na kuwaacha wale wenye shingo ndefu za kufikia majani laini yenye...
  12. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Serikali kama imeshindwa kuzuia biashara ya ngono basi iwatoze kodi wadada poa

    Nilipita kipenyo kimoja Sudan Temeke niliona mabinti wameweka mapaja nje wanatangaza biashara saa nne asubuhi. Nilijua ni hostel za wanafunzi kwa harakaharaka. Ila nilipounganisha nukta nikakumbuka na kufahamu kuwa wako pale kibiashara. Serikali yenye vyombo vya ulinzi na usalama zaidi ya...
  13. BONGOLALA

    JamiiForums Tanzania Wimbi la wadada kwenda ughaibuni biashara ya ngono laibuka tena

    Siku za hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la Mabinti kuomba pass katika ofisi za uhamiaji Dar es salaam. Ukweli ni ule mtandao wa kuwauza mabinti ughaibuni kwa kisingizio cha kwenda kufanya kazi za ndani Uarabuni, Ulaya na India bila kufuata taratibu umerejea tena baada ya serikali kupiga...
  14. Cobra70

    JamiiForums Tanzania Ngono ilitaka kukatisha maisha yangu

    Wadau kheri ya mwaka mpya 2020! Nimeamua nijipinde mgongo kuandika ujumbe huu maana naona kizazi cha vijana wabichi kinaangamia huenda kwa kujua au kutojua. Mimi ni kijana niliyelelewa kwenye maadili ya kumcha Mungu na wazazi. Niliyaishi maisha hayo yakuwa na hofu ya Mungu hadi kufikia umri wa...
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Badala ya ku-export mbaazi, sasa tuna-export ngono kwenda India

    Imebainika moja ya mazao makubwa yanayokuwa exported toka Tanzania kwenda India ni ngono, hii ni baada ya soko letu la bilioni 500 la mbaazi huko India kuyeyuka. Je, tupo sahihi kuexport bidhaa hii? Video hapo chini ina maelezo ya ziada na ya kina. Ila pia sijafurahia hii tabia ya mabeberu...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Madai ya Rushwa za Ngono Yasitumike Kukandamiza Wengine

    Moderator naomba andiko langu lijitegemee, lisiunganishwe na nyuzi kadhaa zilizoandikwa humu kuhusiana na Rushwa za ngono kwa sababu maudhui yake ni tofauti kabisa. Hivi karibuni kumekuwa na taarifa nyingi zinazoandikwa kuhusiana na rushwa za ngono au manyanyaso ya kingono yanayofanywa zaidi na...
  17. ibesa mau

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni waoga kweli kushiriki maandamano ya kudai haki, lakini hawaogopi kushiriki ngono zembe

    Huu ndio ukweli, tungekuwa uoga huo tumeuelekeza kwenye kuiogopa ngono zembe na uasherati ingekuwa safi sana, maambukizi ya magonjwa ya ngono yasingekuwepo miongoni mwa vijana wetu. Lakini cha ajabu Ukimwi unamaliza vijana na wala hawonekani kuujali wala kuogopa. Unaogopa kufa kwenye...
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wakatishwa tamaa na COP25

    Mazungumzo ya Mabadiliko ya Tabia Nchi ya Madrid (COP25) yamemalizika kwa hali ya kuvunja moyo, baada ya wachafuzi wakubwa wa mazingira kupinga nyongeza ya jitihada za kukabiliana na ongezeko la kiwango cha joto duniani. Waandaaji wa mkutano waliwakusanya washiriki kutoka mataifa 200 hadi zaidi...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Afrika wanapelekwa India kwa ajili ya ngono

    BBC Africa Eye imefichua mtandao unawashawishi wanawake wa Kiafrika kwenda India, ambako wanalazimika kufanya ukahaba ili kuwaridhisha wanaume wa Kiafrika wanaoishi New Delhi. Paspoti zao zinachukuliwa na matembezi yao kudhibitiwa hadi watakapolipia gharama kubwa waliyotumia kusafiri kwenda...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanasaikolojia wa mapenzi (ngono), msaada kwenye tuta tafadhalini

    Ni kwanini mwanaume yoyote yule akiwa ameshamtongoza mwanamke na wameshakubaliana kwenda iwe ni ghetoni kwa mwanaume au Gesti kama siyo Loji basi lazima tu mwanaume ndiyo atakuwa anaongoza msafara (anatangulia mbele) muda wote. Lakini, baadaye wakishamaliza 'Uzinifu' wao hilo jambo hubadilika...
Back
Top Bottom