Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

huku kwetu

Senior Member
Sep 7, 2016
145
194
Habari wana JF,

Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi.

Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda, tatizo langu sasa kiukweli namiss mapenzi mbaya, saizi nimekuwa navutiwa na wanaume ovyoovyo yani natamani hata anishike mkono tu.

Nisaidieni mwenzenu nifanyaje niepuke na hili pepo jamani

Natanguliza shukrani
 
Kwahiyo unahitaji mtu wa kukupa mambo ili upunguze ma nye co ngoja wataalam wa hizi kazi waje wachangamkie fursa alafu itakua rahisi inaonyesha huitaji mapene kabisa
 
Si wewe kuna roho nyuma yako inayokutumikisha maombi pekee yatakunusuru na hali izidio ya matamanio ulonayo kwa sasa
 
Habari wana JF,

Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi.

Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda, tatizo langu sasa kiukweli namiss mapenzi mbaya, saizi nimekuwa navutiwa na wanaume ovyoovyo yani natamani hata anishike mkono tu.

Nisaidieni mwenzenu nifanyaje niepuke na hili pepo jamani

Natanguliza shukrani
Binti mzuri mpe Bwn Yesu maisha yako uokoke yeye atakuponya na vishawishi vya shetani ibilisi.
Atakupa mume mzuri toka kwake, mpokee awe Bwn na mwokozi wa maisha yako!!
Kwa Bwn Yesu kuna mambo mengi mazuri saana!!
Bwn Akubariki!!
 
Ndio maana vitabu vimeagiza tuishi nao kwa akili aiseeee.....
Kwani unadhani itatokea ukakuta mdada akatongoza humu kiurahisi?
Sana wataishia kuaibishwa na hawa wavulana ambao tuna pishana nao humu jamvini
Tena ashaelekea kibra "hata wa kumshika mkono tuuu"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom