ngono

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rungu la TCRA lawashukia Wasafi Tv, Clouds FM, Carry Mastory, Radio one na RFA kwa kurusha maudhui yaliyo kinyume na Sheria

    TCRA imetoa onyo kali na kuziweka chini ya uangalizi wa miezi mitatu Radio Free Africa na Radio One Stereo kwa kukiuka kanuni za utangazaji viliporusha kipindi cha Amka na BBC ambapo Tundu Lissu aliituhumu serikali kuwazuia viongozi wa Chadema kumuaga Hayati Rais Benjamin Mkapa. Wasafi Media...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri UDOM aliyetaka rushwa ya ngono kwa mwanafunzi afunguliwa shtaka la uhujumu uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Dodoma inatarajia kumfikisha mahakamani Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Jacob Nyangusi (43) na kufunguliwa shauri la uhujumu uchumi kwa kosa la kutaka rushwa ya ngono kinyume cha sheria ya kuzuia na Kupambana na rushwa...
  3. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Kitaalamu Nyongo ya Mamba [crocodile bile] siyo sumu, wachina hutumia kama vumbi la Congo kwenye ngono

    Kwa mujibu wa utafiti wa mwaka 1984 wa Prof. Norman Nyazema mbobezi wa Pharmacology wa huko Zimbabwe anasema nyongo ya mamba siyo sumu na taarifa zinaonesha ikikaushwa na kusagwa inauzwa nchi za Asia kama uchina kwa matumizi ya kuhamasisha tendo la ngono ( aphrodisiac ) kama lile vumbi la...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kinachoifanya ngono ionekane dili ni mavazi, lakini ukweli ngono yenyewe siyo ishu kiviiile

    Kuna Wakati mtu anakomaa kwelikweli kusaka ngono Wakati mwingine katika kusaka ngono watu hutumia pesa mingi, mda mwingi au madaraka ili kutimiza tu haja hii Lakini Ukweli ni kwamba ngono siyo ishu ngumu kupatikana namna hiyo, ngono siyo dili kiivo kiasi Cha kuzungushana na kunyanyasana na...
  5. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ngono inavyofanyika baharini

    Biashara ya ngono imekuwa moja ya biashara kongwe tangu enzi na enzi duniani. Tanzania tumezoea kuona biashara hii ikifanyika kwenye makasino,bar,club,kambi za uvuvi na maeneo mbalimbali ya mji. Katika eneo la bahari ya Hindi sasa biashara hii imekuwa ikifanyika kati ya wafanyakazi wa meli...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tendo la Ngono ni alama ya kudumu ya watu wawili walioshiriki

    Hakika kama umeshiriki tendo la Ngono na mwanamke au mwanaume tambua huyo hutaachana nae milele ilo ni agano la milele hadi kufa hivyo tunzeni viungo vyenu vya siri
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wazazi 35 kutoka Tunduru wamekatwa baada ya kukutwa wakiwafundisha watoto chini ya miaka 8 mbinu za kufanya tendo la ngono

    JUMLA ya wazazi 35 kutoka kata ya Nalasi wilayani Tunduru wamekatwa baada ya kukutwa wakiwafundisha watoto wa kike walio chini ya umri wa miaka 8 mbinu za kuishi na wanaume na kufanya tendo la ngono maarufu kama msondo. Mkuu wa wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro ambaye ni Mwenyekiti wa kamati...
  8. geniusMe

    JamiiForums Tanzania Kufika kileleni, kupiga bao na kufanya masterbation kunaharibu maisha yako

    Moja kwa moja kwenye mada Kama unatabia ya kujipongeza kwa kufanya ngona bila stahiki acha mara moja unajiharibu kufanya ngono ni kuzuri, kuna faida nyingi katika mwili wa binadamu lakini kuna mipaka yake, unatakiwa kufanya ngono inapobidi yani ufanye ngono kwa sababu, kama hauna sababu ya...
  9. ZigiZaga

    JamiiForums Tanzania Leo ngono itapigwa sana hapa Dodoma

    Niko hapa JK Hall, nashuhudia kila mtu akishika mkono aliye wake na kuondoka naye. Leo guest house zitawaka moto! Kuna jamaa mmoja toka Katavi kaniwahi kwa mjumbe mmoja toka Mbeya. Nilikuwa nimemuweka rada tangu jana, tumetoka tu ukumbini jamaa anae, nikawa mpole.
  10. SumadaVinci

    JamiiForums Tanzania Kama sex ingekuwa sababu ya ndoa...

    If SEX can make a man, marry you then all prostitutes would be married. A man commits where he has PEACE. Be his PEACE & he'll run to you be his WAR & he'll run from you
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Mbozi Songwe: Rushwa za ngono na vitendo viovu Chuo cha Uuguzi Yohana Wavenza

    Mi ni mgeni wa Jamii forums naomba mnisaidie malalamiko haya yafike kunakotakiwa.. Ni muhitimu wa chuo cha uuguzi cha yohana wavenza kilichopo wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe. Naandika malalamiko haya ili yaweze kuwafikia wanaohusika na kuweza kuyatatua maana mimi binafsi nimekuwa muhanga wa...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maofisa wa UN wasimamishwa kazi kwa kufanya ngono kwenye gari la ofisi

    Umoja wa Mataifa (UN) umewapeleka likizo bila malipo wafanyakazi wake wawili ambao wanakabiliwa na kashfa ya kufanya vitendo vya ngono katika gari ya kazini nchini Israel. Maafisa hao walipigwa picha ya video katika gari ambayo ilikuwa ina nembo ya UN- katika mji wa Tel Aviv katika mtaa wa...
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Tuvunje ukimya ili kupambana na rushwa ya ngono

  14. D

    JamiiForums Tanzania Siku ya Baba Duniani: Lady Jaydee akerwa kukithiri kwa rushwa ya ngono kwa wasanii wa kike. Ujumbe uwafikie Takukuru

    Mwanamziki mkongwe Lady J Dee; ameonesha kukerwa Sana na tabia ya mapromoter, sponsor na mapresenter Kuwataka kingono wasanii wa kike! Adai tabia hiyo inaua Sana ndoto za wasanii hususani chipukizi kuingia kwenye gemu! Salam ziwafikie: Waziri wa Habari na Michezo Takukuru BASATA Swali ni je...
  15. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Haya mazingira ni ushahidi tosha kwa CHADEMA dhidi ya rushwa ya ngono

    #1 Hapo vip!!! Kwa muda mrefu uongozi ndani ya chadema imekuwa ikituhumiwa kuhusika na rushwa ya ngono kwa wabunge wa viti maalum ila washabiki na baadhi ya wanachama wa chadema wamekuwa wakitafrisi tuhuma hizo kama giliba za kisiasa. Binafsi wakati nikiwa university nilivutiwa na sera ya...
  16. venchwa

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyojichomoa kwa dada mpenda ngono

    Alikuwa girlfriend wangu, yeye anapenda sex hadi karaha. Mnafanya round 3 mpaka 5, bado usiku anakuamsha mliendeleze. Nilikuwa napata raha mwanzoni ila kadri siku zilivyoenda akawa anataka kuichana mpaka boxer yangu ili tusex. Ninafikikiria ni ama alikuwa na pepo la ngono. Siku moja nikaangalia...
  17. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Ni dalili gani au zipi za awali kabisa zinazoweza kumsaidia Baba kuweza kujua kuwa Binti yake ameshaanza kufanya Ngono?

    Kwa akina Mama najua wao ni wepesi kwa kuwagundua mabinti zao ila hapa nataka kwa sisi wababa ( akina Baba ) kuwa utawezaje kugundua mapema kuwa binti yako mpendwa kabisa wanamume wameshaanza Kumnyiri / Kumngono / Kumtia kwa Kumuangalia tu? Leo nami nikipewa maujanja naweza kuwa ni mwenye...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kununua ngono vs kumiliki mchepuko

    Habari ndugu zangu leo naomba nifahamu kulingana na hali ya hewa hasa uhaminifu katika ndoa umepungua siku hizi. Sasa kivi ni salama kiuchumi na kiafya kwa mwanaume kati ya kununua ngono yaani ukiwa na hamu unamtafuta mdada mkali unamlipa ambapo bei zao ni kati ya elfu 5 hadi 20 baada ya hapo...
  19. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi wanapenda kufanya Ngono ndani ya magari yao?

    Ni kwanini Wanaume wengi siku hizi wanapenda sana kufanya Ngono ndani ya Magari yao? Hii tabia siyo tu kwamba sasa imeshazoeleka bali kwa jinsi ambavyo ninakutana nayo sasa ni dhahiri kabisa kuwa imeshaota Mizizi.
  20. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Ushahidi huu hapa CHADEMA kuhusishwa na rushwa za ngono.

    Hapo vip!!! Kwa muda mrefu uongozi ndani ya chadema imekuwa ikituhumiwa kuhusika na rushwa ya ngono kwa wabunge wa viti maalum ila washabiki na baadhi ya wanachama wa chadema wamekuwa wakitafrisi tuhuma hizo kama giliba za kisiasa. Binafsi wakati nikiwa university nilivutiwa na sera ya...
Back
Top Bottom