Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

MILL8

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
1,837
857
Hebu imagine ndo wewe sasa mda wote huo hujawahi fanya mapenzi, ungejisikiaje? Leo mwana JF mwenzenu natimiza miaka tisa bila zinaa, mwaka wa 2009 ndo ulikuwa mwaka wangu wa mwisho kufanya mapenz...

Ni miaka mingi sana kwa mwanadamu kutofanya mapenzi wengi wenu mtanibeza wakati wengine hata wiki hamuwezi jizuia, natumai mwaka huu mwezi wa 8 ntaonja papuchi.

Mpaka sasa ninavyo andika sina dem wala mchumba naishi mwenyewe tu! Japo swala la kujizuia si la kitoto ila nimeweza namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia uvumilivu.
 
Hongera mkuu japo wataalam wanasema usipofanya hiyo kitu akili huwa haifanyi kazi vizur
IMG-20180427-WA0029.jpg
 
Kisa cha kukaa miaka yote hiyo!? Ulitaka kuwa padri Mkuu? Hata baadhi ya mapadri hawawezi kucheza mbali na utamu.

Hebu imagine ndo wewe sasa mda wote huo hujawahi fanya mapenz, ungejisikiaje? leo mwana jf mwenzenu natimiza miaka tisa bila zinaa, mwaka wa 2009 ndo ulikuwa mwaka wangu wa mwisho kufanya mapenz... ni miaka mingi sana kwa mwanadamu kutofanya mapenz wengi wenu mtanibeza wakati wengine hata wiki hamuwez jizuia, natumai
mwakaka huu mwez wa 8 ntaonja papuchi. mpaka sasa ninavyo andika sina dem wala mchumba naishi mwenyewe tu! japo swala la kujizuia si la kitoto ila nimeweza namshukulu mwenyez mungu kwa kunijalia uvumilivu.
 
Mimi mwenyewe na zaidi ya 15 ya kuepuka. Ni maamuzi tu mkuu
 
Hongera sana, mie nina nusu saa tu toka nimeacha....:)

Back
Top Bottom