Mada za Ukimwi na Madhara ya Ngono nini Lengo lake?

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Messages
3,372
Points
2,000

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2009
3,372 2,000
Wakubwa Shikamooni...

Kwa takribani wiki sasa kumekuwa na mada mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwekwa humu kwa kuanisha jinsi gani Wadau humu wanavyoloweka na walivyo wakwale kwenye sekta nzima Ngono zembe.

Nimekaa nimetafakari nikajiuliza hivi mleta Mada lengo lake nini? Ni kuaminisha Umma kuwa hum Jamvini kuna wakwale wengi ambao wao ngono kwao wanafanya bila kutumia kinga kuliko mahala pengine popote pakiwemo makazini, makanisani, misikitini, au kweye mikusanyiko mbalimbali kama vile Mwenge, Maadhimisho ya Shughuli na dhifa mbalimbali, Umitashumita, Shimiwi na kwenye misafara ya kwenda kuangalia hifadhi za jamii au hata kwenye magroup ya Whatsap?

Je, ni kweli waliomo Jamvini ikichukuliwa sampoli ya kutosha karibia asilimia kubwa itakutwa imeathirika au?
J ni kweli Mbona mnanichanganya? Mimi nina bahati sijawahi kuwa na uhusiano na Mwanajamvi yeyote na nipo salama kabisa kwenye ambukizo la tokeo lolote la Ngono Zembe.

Polne wahanga na badirikeni
 
linguistics

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
4,542
Points
2,000

linguistics

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
4,542 2,000

Kwanza lazima ujue tarehe 01/12 kila mwaka ni siku ya UKIMWI duniani, kwa hiyo wanaoleta mada hizo wanaitendea haki siku hiyo kwa kuleta mada wiki yote.

Pili ni kwa kuwa wanajamvi wengi wake kwa waume lakini kwa kiasi kikubwa wanaume wa humu wanajifanya wao ni Mabingwa wa kugegeda /kuchakata /kula tunda bila kumuogopa Mungu na kufanya kuwa AMRI YA SITA wameandikiwa wanawake pekee wao aiwahusu na hivo wanaonekana wapo kwenye hatari kubwa sana ya kupata maambukizi ya ugonjwa huu usio na chanjo wala tiba.
 
MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2019
Messages
5,065
Points
2,000

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2019
5,065 2,000
Kwanza lazima ujue tarehe 01/12 kila mwaka ni siku ya UKIMWI duniani, kwa hiyo wanaoleta mada hizo wanaitendea haki siku hiyo kwa kuleta mada wiki yote.

Pili ni kwa kuwa wanajamvi wengi wake kwa waume lakini kwa kiasi kikubwa wanaume wa humu wanajifanya wao ni Mabingwa wa kugegeda /kuchakata /kula tunda bila kumuogopa Mungu na kufanya kuwa AMRI YA SITA wameandikiwa wanawake pekee wao aiwahusu na hivo wanaonekana wapo kwenye hatari kubwa sana ya kupata maambukizi ya ugonjwa huu usio na chanjo wala tiba.
Naona unatu attack bibie
 
Forum statistics

Threads 1,389,959
Members 528,065
Posts 34,039,765
Top