ngono

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Trafiki anaswa na TAKUKURU akiomba rushwa ya ngono

    Askari wa kikosi cha usalama barabarani, Peter Albert Moshi anashikiliwa na Taasisi ya Kupambana Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kuomba rushwa ya ngono kwa mama wa mtoto aliyegongwa na pikipiki ili aweze kukamilisha taarifa za uchunguzi wa ajali hiyo. Kamanda wa wa Takukuru...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama kila ukipata pesa unashikwa na kiu ya pombe au kufanya ngono, kijana safari yako ya maisha itakuwa fupi na yenye misukosuko

    Sasa kumekuwa na wimbi la vijana wajinga na wapumbavu wengi sana. Wanatafuta pesa kwa bidii halafu wakizipata tu huziona ndogo kisha huamua kuzipeleka bar au lodge. Unapata laki tatu unasema hii haitoshi kujengea nyumba, haitoshi kununulia kiwanja, haitoshi kufungulia biashara ya tigopesa au...
  3. Little brain

    JamiiForums Tanzania Iko wapi ladha ya ngono? Ni kwa ajili ya kuzaliana tu

    Wametengeneza matoy ila wameambulia patupu. Wamegongana wao kwa wao lakini wapi. Wamebadilisha matundu lakini hakuna ladha walioidhania. Wamebadili wanawake wa nchi na mikoa tofauti lakini kitu ni ile ile. Ngono ni kwa ajili ya kuzaliana tu, hayo mengine ni maujinga mliyojaziwa vichwani mwenu.
  4. domokaya

    JamiiForums Tanzania Kuisafisha CHADEMA na tuhuma za 'usanii' na rushwa ya ngono, Wajumbe Kamati Kuu wajitokeze ku-declare interests

    Sintofahamu inayoendelea katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimegubikwa na sarakasi na nadharia nyingi. Moja ikiwa viongozi wa kamati kuu wanafanya usanii kwa kujidai kuwafukuza wabunge wale 19 uanachama wakati walifahamu fika mchezo mzima na walikuwa wakifahamu wale wabunge...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini jambo hili la kufanya ngono tuliachiwa wenyewe?

    Ni kwanini mambo mengi wakati tunakuwa ( tukikuwa ) tulikuwa tukielekezwa na Wakubwa zetu, ila la Kufanya Ngono tuliachiwa wenyewe? Je, ni Utashi gani au Ujasiri gani wa Kiasili umeumbwa ndani ya Ubongo wetu Binadamu kiasi kwamba Watu wote tu hatukufundishwa Kungonoka?
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana TAKUKURU ( PCCB ) kwa Kuvitaja Vyuo Vikuu vya UDSM na UDOM ndiyo Vinara wa Rushwa ya Ngono

    TAKUKURU YABAINI VYUO VYA UDSM NA UDOM KUWA VINARA WA RUSHWA YA NGONO NCHINI Habari Kamili Gazeti la Nipashe la Leo ukurasa wa Pili. Nashukuru sana Chuo Kikuu changu bora na tukuka kabisa cha SAUT hakina huu Uhuni na Upuuzi na ndiyo maana kinatoa Geniuses tupu Tanzania.
  7. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Wivu, Ngono vilivyopelekea kuuawa kwa Travis Alexender

    In every murder, there is a motive... Huu ni msemo wenye ukweli 99%. Ni mara chache kutokea mauaji yalitokea tu bila lengo. Tarehe 4, mwezi 6, 2008, Kijana mtanashati kabisa aliyekuwa kama afisa mauzo wa kampuni ya Bima aliyejulikana ama Travis Alexender aliuawa kwa kuchomwa chomwa na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kipi kifanyike kuwanusuru walimu na kashfa ya ngono dhidi ya wanafunzi?

    Habari wanaJF, Kila kukicha kashfa ya ngono kwa waalimu dhidi ya wanafunzi inazidi kukita mizizi, licha ya adhabu kali zinazochukuliwa dhidi ya wabainika lakini bado imeshindikana kulidhibiti tatizo, je kwa mtizamo wako unadhani kipi kikifanyika kitasaidia kumaliza tatizo hili?
  9. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya ngono ni nini?

    Kwa mujibu wa kifungu cha 25 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya mwaka 2007(PCCB Act, 2007); Rushwa ya ngono ni pale ambapo mtu aliye katika mamlaka na katika kutekeleza mamlaka yake akitaka au akiweka upendeleo wa ngono kama kigezo cha kutoa ajira, cheo, haki, au huduma ya upendeleo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania CCM jaribuni kutumia akili na busara kuelewa maoni ya upinzani. Kuhoji sio kupinga

    Nimeshangaa kuona kwamba wengi wa wanachama wa CCM pamoja na viongizi wao wamekuwa wakiwashambulia watu wa upinzani kila wanapotoa maoni juu ya miradi kama SGR, ndege za ATC, mradi wa umeme wa SGR, flyover nk Utakuta mtu anasema kwa nini unapanda ndege za ATC alizonunua Magufuli wakati...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Utafiti rushwa ya ngono wa TAKUKURU haukufanyika kisayansi

    Mimi ni mmojawapo wa watu waliosoma kwa undani taarifa ya Utafiti (si uchunguzi) ya Rushwa ya Ngono katika vyuo vikuu vya Dar es Salaam na Dodoma iliyotolewa na TAKUKURU. Ni jambo la kufurahisha kuona taasisi za serikali zinajua umuhimu wa kufanya tafiti ili kufikia malengo yake. Hivyo huu ni...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU waonesha Rushwa ya ngono ilivyokithiri vyuoni

    MBINU inayoongoza kutumiwa na baadhi ya wahadhiri, kushawishi wanafunzi wa vyuo vikuu watoe rushwa ya ngono ni tishio la kuwapa alama za chini kwenye mitihani, imefahamika. Mbinu nyingine wanayotumia wahadhiri hao ni kujiunga kundi moja la whatsapp na wanafunzi na wahadhiri; na vitisho...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

    Hukumu imetolewa leo na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu DSM Washtakiwa wameshindwa kulipa faini na hivyo wamepelekwa gerezani kuanza kutumikia adhabu yao. ===== Nimezingatia hoja za pande zote mbili na athari za makosa haya, ni kweli washitakiwa wote vijana na wanategemewa, nimeona...
  14. Dam55

    JamiiForums Tanzania Swali: Kati ya walevi wa pombe na walevi wa sex (ngono) wepi ni wengi zaidi Duniani?

    Ni mjadala mdogo tu kwamba kila mtu huwa ana ulevi wake sasa hebu tuambiane kati ya walevi wa Pombe ( wazee wa tungi) na walevi wa sex ( wazee wa migegedano) wepi ni wengi zaidi duniani au ndio kwamba vinaenda pamoja kama rasta na msokoto?
  15. Rahma Salum

    JamiiForums Tanzania Akaunti ya mtandao wa Twitter ya Balozi wa China nchini Uingereza imeonesha kupenda “like” picha yenye maudhui ya ngono

    Ubalozi wa China nchini Uingereza umeomba mtandao wa Twitter kufanyia uchunguzi akaunti ya Liu Xiaoming Balozi wa nchini humo baada kuonesha kupenda maudhui ya picha ya ngono kupitia mtandao huo. Tukio lilitambuliwa mara ya kwanza na Mwanaharakati wa haki za binadamu Uingereza na kusababisha...
  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuchota maji usiku na wanawake kunaamsha hisia za ngono?

    Jamani leo niko wilaya ya Kilosa nimepanga nyumba nzima ya peke yangu hapa Kilosa mjini mtaa wa Uhindini. Sasa maji yanatoka nje hapa kwangu usiku huu na kuna wanawake wawili wanachota maji kwa zamu mmoja anaenda mmoja anabaki, tena nje ya dirisha langu ndio kuna bomba. Sasa namsikia kabisa...
  17. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa ngono imepungua mvuto

    Wakuu ni ukweli usiopingika kua ngono kwa sasa imepungua kidogo mvuto ajili ya urahisi wa upatikanaji wake, zamani ule ugum wa upatikanaji wake ulilifanya tendo la ngono kua la pekee sana na hata lilipofanyika mwili ulibaki na feedback ya tendo lile ndani ya siku2-3 tofauti na sasa ambapo mda...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya ngono yaingia kwenye makosa ya uhujumu uchumi

    “HAKUNA Mwanaume amewahi kulalamika rushwa ya ngono,” amesema Mwendesha Mashtaka wa Takukuru, Stella Mafuru. Amesema kesi zote zinazohusu rushwa ya ngono, zinatolewa na wanawake, lakini hakuna mwanaume yeyote ambaye amewahi kuripoti rushwa hiyo ya ngono ambayo kwa sasa imeingia kwenye kipengele...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rungu la TCRA lawashukia Wasafi Tv, Clouds FM, Carry Mastory, Radio one na RFA kwa kurusha maudhui yaliyo kinyume na Sheria

    TCRA imetoa onyo kali na kuziweka chini ya uangalizi wa miezi mitatu Radio Free Africa na Radio One Stereo kwa kukiuka kanuni za utangazaji viliporusha kipindi cha Amka na BBC ambapo Tundu Lissu aliituhumu serikali kuwazuia viongozi wa Chadema kumuaga Hayati Rais Benjamin Mkapa. Wasafi Media...
Back
Top Bottom