neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania NENO LA SIKU

    NENO LA MUNGU
  2. JamiiForums Tanzania Tamasha la Twende zetu kwa Yesu mnafanya wizi kuuza neno la Mungu

    Tamasha la Twende Zetu kwa Yesu lililoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilitheri halikupaswa kutoza viingilio kwani neno la Mungu linatolewa bure na haliuzwi. Hebu tuangalie baadhi ya mistari:- Isaya 55:1-2 [1] Haya, kila aonaye kiu, njoni majini, Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hivi nini maana ya neno "Tajiri"

    Habari wanaJF Hili ni moja ya neno mtambuka na lenye utata sana. Mtu amepata vihela kidogo hata havizidi million 100 utasikia ni tajiri. Je utajiri ni kuendesha gari,kujenga ,afya ama nini?
  4. JamiiForums Tanzania Biblia: Kitabu cha Mkanganyiko au Neno la Mungu?

    Hivi kweli akili zenu zimefungwa na kufuli la Wazungu mpaka mmeshindwa kuona ukweli ulio wazi? Yaani hapa duniani hakuna kitu kinachochanganya na kuvuruga akili za watu kama hiki kitabu cha Wazungu!, Yaani Biblia!. Inakuwaje Mungu aliyeumba mbingu na ardhi, mwenye akili na mamlaka, aandike...
  5. JamiiForums Tanzania Neno langu kwa wasaliti wote wanaorejea CHADEMA: Karibuni nyumbani, ila....

    Kama mnavyofuatilia siasa za nchi yetu hivi sasa, kuna wimbi kubwa la wanachama waliokihama chama na kukipigia kelele nyingi za kashfa wakiondoka, lakini sasa hivi wanarudi CHADEMA kwa kasi ya ajabu. Kama mwanachama na mdau wa mabadiliko ya dhati, naomba niwaambie hawa wanaorejea maneno...
  6. JamiiForums Tanzania Neno moja kwa huyu kijana shupavu ambae amewatia moyo Gen Z kuwa sio wahuni wala majambazi wanaostahili kupigwa na kutekwa

    Kijana shujaa wa Chadema ya Lissu👇
  7. JamiiForums Tanzania Nini maana ya neno "Mtambuka"

    Naomba msaada wa kiswahili: nifahamishemi kwa lugha nyepesi sana maana ya neno "Mtambuka" Nimeskiliza jamaa huyun hapa chini, bado sikuweza kumwelewa sawasawa. Kuna rafiki yangu mzuri sana hapa anaitwa Magonjwa Mtambuka ; nadhani atanisaidia https://news.un.org/sw/audio/2018/04/1012302
  8. JamiiForums Tanzania Embu wakuu tieni neno hapa

    Gentlemens woz-up? Ipo hivi kuna mke wa mtu tulikutana tumezoea na kuanza mahusiano ya kimapenzi japo hatukuwai kutana kimwili hata siku moja . Kwa maana anadai mme wake yupo nae anamchunga sana hivyo kutoka inakuwa kipengele kwake . Sasa mimi nimeona isiwe case tuachane tu make nitakuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Abdul Nondo wa ACT Wazalendo anatoa neno leo Mei 8, 2026

    https://www.youtube.com/live/1EUtCsWFvso
  10. JamiiForums Tanzania Ni neno gani la mwisho alilosema dereva huyu?

    Kama alipata nafasi lakini ya kunyanyua kinywa🥱
  11. JamiiForums Tanzania Sina neno, jioneeni wenyewe

    Mambo ya kuoa mke wa mtu 😀😀🔥 Natafuta Ajira
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka ushabiki hadi kushare stage na Heavyweight jay wa Mitulinga: Nikki mbishi amwagiwa sifa baada ya kutoa back up ya kibabe show ya Professor Jay

    Jana kulikuwa na bonge moja la shoo kutoka kwa Kaka mkubwa @professorjaytz kwa namna moja ama nyingine watu walifurahi kile alichokifanya jukwaani. Pembeni yake alikuwepo @nikkimbishi999 majina ni mengi kwake, Plata O Plomo, Baba Malcom, Kijusi na mengine mengi. Kwa usiku wa jana binafsi...
  13. JamiiForums Tanzania Neno la uzima

    Mithali 23:20-21 "Msiwe miongoni mwa walevi wa divai, wala wale wanaokula nyama kupita kiasi; kwa maana mlevi na mpenda kula atitika, na nguo zitakuwa matope."
  14. JamiiForums Tanzania Unajua asili ya neno "Afande"?

    Kabla ya mkutano wa Berlin dola ya Ottoman ilitawala Misri na Sudan. Kwa kituruki neno bwana au Sir ni Effendi. So askari wao wenye vyeo walikuwa adressed kama Effendi. Askari wa Sudan wakaingiza neno hilo Uganda, Kenya na Africa mashariki. Effendi ya Kituruki likawa Afande ya kiswahili.
  15. JamiiForums Tanzania Hai: Lengai Ole Sabaya na Freeman Mbowe Uso kwa Uso. Watoa ya moyoni

    Mkiti msaafu wa Chadema Freem mbowe wamekutana na mkuu wa wilaya ya Hai Mstaafu Lengai Ole Sabaya katika msiba wa Mama yake mbunge wa Hai Saasisha Mafuwe. Katika Msiba Huo,mbowe amesema yeye ameshamsamehe sabaya kwa mambo yote kwa hakuna mwanaadamu mkamilifu. Nae sabaya alipopata nafasi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Je wajua: Asili ya neno mkate

    Duka la kwanza la kuoka mikate kufunguliwa Afrika Mashariki lilikuwa Nairobi. Mzungu aliyelifungua aliitwa McCarthy. McCarthy ndiyo likaja kuwa jina Mkate.
  17. JamiiForums Tanzania Neno la uzima

    Yohana 14:6 "Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; hakuna mtu aje kwa Baba ila kwa njia yangu."
  18. JamiiForums Tanzania Neno Mubashara: Chaneli ya taifa mnaharibu lugha, chaneli ya dini na nyinyi amueni moja mtumie kiswahili ama kiarabu

    Ukiangalia kuna chaneli kama makundi matatu hivi juu ya uandishi wa neno LIVE kwa Kiswahili sanifu Kuna wanaoandika MBASHARA mfano TBC. Hawa jamaa mwanzoni nilidhani wamekosea tu katika typing lakini kumbe wapi, ni staili yao. Ni sawa na mtu aandike STAKI badala ya SITAKI eti kisa tu katika...
  19. JamiiForums Tanzania Waimbaji wa nyimbo za injili wengi wao ni aibu kwa Kristo (NENO) wanaliabisha kanisa

    1 WAKORINTO 6 1 Je! Mtu wa kwenu akiwa ana daawa juu ya mwenzake athubutu kushitaki mbele ya wasio haki, wala si mbele ya watakatifu? 2 Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo? 3 Hamjui ya kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mchungaji wako anakugundisha neno la Mungu kwa kutumia mkabala ipi wa Kithiolojia kati ya "Systematic theology" na "Biblical theology"?

    Tumekuwa tukifundishwa neno la Mungu na watumishi mbalimbali wengine ni wanazuoni na wengine ni wale waliojifunza kutoka kwa wanazuoni lakini wapo pia wale waliozaliwa na uwezo huo. Ukweli ni kuwa ipo mikabala mkubwa miwili ya kiufundishaji kithiolojia na hapa ndipo tunapoona mambo mengi ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…