Neno la uzima

Neno la uzima

Yohana 11:44"
"Naye aliyeokotwa akatoka, miguu yake na mikono yake ikiwa imefungwa kwa vitambaa, na uso wake ukifunikwa kwa kitambaa. Yesu akawaambia, 'Mfungueni na mwache aende.'"
 
Yesu Awafariji Wafuasi Wake
14 Yesu akasema, “Msisumbuke. Mwaminini Mungu, na mniamini na mimi. 2 Kuna vyumba vya kutosha katika nyumba ya Baba yangu. Nisingewaambia hivi ikiwa isingelikuwa kweli. Ninaenda huko kuandaa mahali kwa ajili yenu. 3 Nitakapomaliza kuandaa, nitarudi. Kisha nitawachukua ili muwe pamoja nami mahali niliko. 4 Mnaijua njia iendayo kule ninakokwenda.”

5 Thomaso akasema, “Bwana, hatujui unakokwenda, sasa tutaijuaje njia?”

6 Yesu akajibu, “Mimi ndiye njia, kweli, na uzima. Njia pekee ya kwenda kwa Baba ni kupitia kwangu. 7 Kwa kuwa sasa ninyi nyote mmenijua, mtamjua Baba yangu pia. Kwa kweli, sasa mnamjua Baba na mmekwisha kumwona.”

8 Filipo akamwambia, “Bwana, utuonyeshe Baba. Hilo tu ndilo tunalohitaji.”

9 Yesu akajibu, “Nimekuwa pamoja nanyi kwa kipindi kirefu. Hivyo wewe, Filipo unapaswa kunijua. Yeyote aliyeniona mimi amemwona Baba pia. Hivyo kwa nini unasema, ‘Utuonyeshe Baba’? 10 Hamwamini kuwa mimi nimo ndani ya Baba na Baba naye yumo ndani yangu? Mambo niliyowaambia hayatoki kwangu. Baba anakaa ndani yangu, naye anafanya kazi yake mwenyewe. 11 Mniamini ninaposema kwamba nimo ndani ya Baba na Baba yumo ndani yangu. Vinginevyo muamini kwa sababu ya miujiza niliyoifanya.

12 Hakika nawaambia, yeyote anayeniamini atafanya mambo kama yale niliyoyafanya. Naye atafanya mambo makubwa zaidi ya yale niliyofanya, kwa sababu mimi naenda kwa Baba. 13 Na kama mtaomba jambo lo lote kwa jina langu, nitawafanyia. Kisha utukufu wa Baba utadhihirishwa kupitia kwa Mwana wake. 14 Ikiwa mtaniomba chochote kwa jina langu, mimi nitakifanya.

Ahadi ya Roho Mtakatifu
15 Ikiwa mnanipenda, mtafanya ninayowaagiza. 16 Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi[a] mwingine atakayekuwa nanyi siku zote. 17 Huyo Msaidizi ni Roho wa Kweli ambaye watu wa ulimwengu hawawezi kumpokea, kwa sababu hawamwoni wala hawamjui. Lakini ninyi mnamjua kwa kuwa anakaa pamoja nanyi, na atakuwa ndani yenu.

18 Mimi sitawaacha peke yenu kama watu wasiokuwa na wazazi. Bali nitakuja tena kwenu. 19 Katika kipindi kifupi watu wa ulimwengu hawataniona tena. Lakini ninyi mtaniona. Mtaishi kwa sababu mimi ninaishi. 20 Katika siku hiyo mtaelewa kuwa mimi nimo ndani ya Baba. Kadhalika mtajua pia kuwa ninyi mmo ndani yangu nami nimo ndani yenu. 21 Wale wanaonipenda kweli ni wale ambao si tu kwamba wanazijua amri zangu bali pia wanazitii. Baba yangu atawapenda watu wa jinsi hiyo, nami pia nitawapenda. Nami nitajitambulisha kwao.”

22 Kisha Yuda (siyo Yuda Iskariote) akasema, “Bwana, utawezaje kujitambulisha kwetu, lakini si kwa ulimwengu?”

23 Yesu akajibu, “Wale wote wanipendao watayafuata mafundisho yangu. Naye Baba yangu atawapenda. Kisha Baba yangu na mimi tutakuja kwao na kukaa pamoja nao. 24 Lakini yeyote asiyenipenda hafuati mafundisho yangu. Mafundisho haya mnayosikia kwa hakika siyo yangu. Ni kutoka kwa Baba yangu aliyenituma.

25 Nimewaambia mambo haya yote wakati bado niko pamoja nanyi. 26 Lakini yule Msaidizi atawafundisha kila kitu na kuwafanya mkumbuke kila nilichowaambia. Huyu Msaidizi ni Roho Mtakatifu ambaye Baba atamtuma kwa jina langu.

27 Nawaachia amani. Ninawapa amani yangu mwenyewe. Ninawapa amani kwa namna tofauti kabisa na jinsi ulimwengu unavyofanya. Hivyo msihangaike. Msiogope. 28 Mlinisikia nikiwaambia, ‘Naondoka, lakini nitakuja tena kwenu.’ Mngenipenda, mngefurahi kuwa naenda kwa Baba, kwa sababu Baba ni mkuu kuliko mimi. 29 Nawaambia haya hivi sasa, kabla hayajatokea. Kisha yatakapotokea, mtaamini.

30 Sitaendelea kuongea nanyi kwa muda mrefu zaidi. Mtawala wa ulimwengu[c] huu anakuja. Hata hivyo hana nguvu juu yangu. 31 Lakini ni lazima ulimwengu utambue kuwa ninampenda Baba. Hivyo ninafanya yale Baba aliyoniambia.
 
Mithali 23:20-21
"Msiwe miongoni mwa walevi wa divai, wala wale wanaokula nyama kupita kiasi; kwa maana mlevi na mpenda kula atitika, na nguo zitakuwa matope."

Mtumishi. Weekend ndio kwanza imeanza alaf unaleta neno la namna hii. Kweli?.
Kwanin usingelileta J3?.😊😊😊😊

Anyway
1 Timotheo 5:23.
"Usinywe maji tu, bali tumia divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako na kwa sababu ya udhaifu wako wa mara kwa mara.”

Mhubiri 9:7
"Nenda ukale chakula chako kwa furaha, ukanywe divai yako kwa moyo mchangamfu…”
 
tunakumbushana mtumishi! Hizo pesa mzoenda kulewa inatakiwa mtoe sadaka ya kueneza injili ya bwana! pombe ni chukizo kwa bwana,na ni baba wa mahasi yote! Sadaka yako ni muhimu, injili ya bwana ipate kutangazwa zaidi,,amen
 
Mtumishi ilo jina unalotumia kujiita ni chukizo kwa bwana! chukulia ukiondoka ghafla duniani,ilhali uku nyuma unaendelea kuitangaza pombe ya aina la jina lako!
 
Sadaka tunatoa. Matendo ya huruma tunafanya. Kusaidia wenye shida tunasaidia.

Na ofcoz kunywa bia tunakunywa.
Hakuna shida kama unakunywa na haufanyi madhambi yoyote.
Kimtokacho mtu ndio najisi na sio kiingiamo.

kama unakunywa na haupati mawazo mabaya ya kutenda uovu naona ni sawa kunywa.
 
Unaona ni sawa kunywa""' Unaona ,unasema unaona ni sawa kunywa pombe. Una pepo la ulevi! Acha mara moja.nakemea kwa jina La bwana! Acha ulevi na pepo likutoke.
 
Mtumishi ilo jina unalotumia kujiita ni chukizo kwa bwana! chukulia ukiondoka ghafla duniani,ilhali uku nyuma unaendelea kuitangaza pombe ya aina la jina lako!

😂😂😂😂 Mtumishi jina halifanyi mtu kuingia au kutoingia Mbinguni.

Matendo ndio yanafanya.
Unaweza kujiita Malaika kumbe matendo ya shetani.

Mungu anachukia walevi maana wanatenda maovu na sio wanywaji.
 
Mtumishi , Yesu aligeuza maji kuwa Divai.
Yesu aliwaagiza wanafunz wake kunywa Divai mara kwa mara kama ukumbusho wa damu yake itakayomwagika msalabani.

Hata kama ilikuwa haileweshi.
Kwahiyo ukinywa Kinywaji cha Kulewesha na usilewe ni sawa.

Sasa mtu umeamua kushushia nyama choma au kitimoto na vibia viwili vitatu kweli ndio tutaingia motoni?.😂😂😂😂 eti shemej wa dunia Seran
 
Mithali 23:20-21
"Msiwe miongoni mwa walevi wa divai, wala wale wanaokula nyama kupita kiasi; kwa maana mlevi na mpenda kula atitika, na nguo zitakuwa matope."
Hayo maandiko yenu bila kuvuta bange huwezi kuyaelewa. kula nyama na nguo kuwa matope kuna uhusiano gani sasa??? Mnamatatizo ya akili nyie, sio bure.
 
Hayo maandiko yenu bila kuvuta bange huwezi kuyaelewa. kula nyama na nguo kuwa matope kuna uhusiano gani sasa??? Mnamatatizo ya akili nyie, sio bure.
Kobaz ww ambae huna matatizo ya akili niambie hapa ni nini kikicho chepesi ili nikitoe.

Quran 2 : 218-219
"Wanakuuliza juu ya ulevi na kamari. Sema: Katika hivyo zipo dhambi kubwa na manufaa kwa watu. Lakini dhambi zake ni kubwa zaidi kuliko manufaa yake. Na wanakuuliza watoe nini? Sema: Kilicho chepesi. Namna hivi Mwenyezi Mungu anakubainishieni Aya zake mpate kufikiri—"
 
Hayo maandiko yenu bila kuvuta bange huwezi kuyaelewa. kula nyama na nguo kuwa matope kuna uhusiano gani sasa??? Mnamatatizo ya akili nyie, sio bure.

Kobaz mwenye akili.
Kwahiyo hapa ina maana ukiwa umelewa na kujua unachoongea unaweza kuswali?.

Qurani 4:43
"Enyi mlioamini, msikaribie swala mkiwa mlevi mpaka mjue mnachokisema"
 
Kobaz ww ambae huna matatizo ya akili niambie hapa ni nini kikicho chepesi ili nikitoe.

Quran 2 : 218-219
"Wanakuuliza juu ya ulevi na kamari. Sema: Katika hivyo zipo dhambi kubwa na manufaa kwa watu. Lakini dhambi zake ni kubwa zaidi kuliko manufaa yake. Na wanakuuliza watoe nini? Sema: Kilicho chepesi. Namna hivi Mwenyezi Mungu anakubainishieni Aya zake mpate kufikiri—"
Tatizo unakurupuka, me sio myahudi wala sio kobazi, nawaona wote mmechanganyikiwa tuu. Yaani kwa kifupi nawaona MMEWEHUKA, nawaona wajinga, wavivu wa kufikiri, masikini wa mawazo, washamba wahistoria, msiojua asili zenu wala haki zenu, nawaona wakataa ukweli, wasaliti wa ndugu zenu, hamjui thamani ya utu wenu, mnauza haki zenu na milki zenu kwa watawala wenu waliowaua na kuwadharilisha

Kwa kifupi hamna akili tu, naomba niishie hapo. Wajinga nyie
 
Umepanick sana bro.😂😂😂😂😂

Ww una akili, hebu tupe maelekezo bro usiishie hapo.
 
Umepanick sana bro.

Ww una akili, hebu tupe maelekezo bro usiishie hapo.
Amini nikikwambia huwa sipaniki kabisaaa.. Ninautulivu mkubwa sana wa kiakili, tofauti na nyie ambao mkiguswa kidogo tu mnatoa milio. ya ajabu. Nimekufafanulia kidogo jinsi ninavo waona.

Na itabidi niishie nilipo ishia maana nyie watu hamjawahi kuwa tayari kuelewa chocho zaidi ya likitabu lenu. So endeleeni kusubiri siku ya hukumu tu. Mtuache waafrika tuendelee kula divai na nyama kwa wingi
 
Mtuache waafrika tuendelee kula divai na nyama kwa wingi
Nakuelewa vizur tu bro.
Dini tumezikuta, hata zingekuwepo zile za mababu zetu , tungekuwa nazo hizo hizo.

😂😂😂😂😂 Divai nying na nyama nying nakula vizur tu.

Na Mungu pia namuomba.
Na ni kwasababu ni mfumo mzuri wa Maisha.
Ni bora kuamini na kukuta hakuna kitu.(utakuwa haujapoteza kitu) Kuliko kutoamini na kukuta kuna kitu.(utakuwa umepoteza kila kitu).
 
Zaburi 20:3
Azikumbuke sadaka zako zote; azikubali tambiko zako za kuteketezwa.

! Sadaka inafungua vifungo vya kichawi na kishetani,inatia wepesi palipo na uzito, ni jukumu kuwatunza wasambazao injili na Neno la bwana, unapotoa kwajili ya bwana atakulipia, ni sawa unapanda punje ya mpunga,unavuna magunia ya mpunga, wakristo ni jukumu letu kutoa kidogo kwajili ya Mungu! Amen
 
Back
Top Bottom