neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Bavicha wafika Gereza la Ruanda kumsalimia Mdude Nyagali , yeye awapa neno

    Nguzo kuu ya Chadema kwa miaka yote ya uhai wa chama hiki ni umoja wao , hawa watu kwa kushirikiana kwenye mambo yao ni wa kupigiwa mfano . Leo Viongozi wa Bavicha Wakiwemo Pambalu na mfungwa mstaafu Mwaipaya wamefika kwenye gereza la Ruanda huko Mbeya na kuonana na Mfungwa wa kisiasa Mdude...
  2. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Ijue tafsiri ya neno mnyonge

    Mnyonge / mɲɔngɛ / nomino Wanyonge (plural) Ngeli za nomino: a-, wa- MAANA YA NENO: 1. mtu dhaifu; mtu asiyekuwa na nguvu Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni (ms) Synonyms: mnyela...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tuangalie maana ya neno Dikteta

    Dikteta (kutoka Lat. dictator yaani mwenye kutoa amri kama imla) ni neno la kumtaja mtawala asiyebanwa na sheria na kutumia nguvu ya dola kuendeleza utawala wake na kutokubali upinzani dhidi yake. Pale ambako mtu au kundi la watu hutawala kwa mbinu huu hali ya kisiasa huitwa udikteta. Mfalme...
Back
Top Bottom