Bora uitwe tajiri kuliko kuitwa boss.Ukiitwa tajiri juwa una bagazwa tu ni sawa mtu anakungonga
Ova
Magonjwa MtambukaHabari wanaJF
Hili ni moja ya neno mtambuka na lenye utata sana.
Mtu amepata vihela kidogo hata
Kuwa na afya njema pia ni utajiri. Unafahamu hilo?Kuna maeneo tajiri ana ata m5 lakn anamaeneo ya kutosha na mifugo kwa uko ni tajil
Ndy sahh lakin matatizo ni mengi aya tatuliwi kuwa na afya2Kuwa na afya njema pia ni utajiri.
Afya ndio utajiri namba moja mengine nyongeza tu sasa ukifa na una trillions 500 bank zinakua na faida gani kwako wewe mifupa chakula cha udongo?afya ama nini?