Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,583
- 20,478
Kabla ya mkutano wa Berlin dola ya Ottoman ilitawala Misri na Sudan. Kwa kituruki neno bwana au Sir ni Effendi. So askari wao wenye vyeo walikuwa adressed kama Effendi. Askari wa Sudan wakaingiza neno hilo Uganda, Kenya na Africa mashariki. Effendi ya Kituruki likawa Afande ya kiswahili.