Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,016
- 24,964
Naomba msaada wa kiswahili: nifahamishemi kwa lugha nyepesi sana maana ya neno "Mtambuka"
Nimeskiliza jamaa huyun hapa chini, bado sikuweza kumwelewa sawasawa. Kuna rafiki yangu mzuri sana hapa anaitwa Magonjwa Mtambuka ; nadhani atanisaidia
news.un.org
Nimeskiliza jamaa huyun hapa chini, bado sikuweza kumwelewa sawasawa. Kuna rafiki yangu mzuri sana hapa anaitwa Magonjwa Mtambuka ; nadhani atanisaidia
Neno la wiki: Mtambuka
Katika Neno la Wiki hii leo tunaangazia neno “Mtambuka” na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania. Bwana Sigalla anasema ili kupata maana ya neno Mtambuka, lazima tuachambue maana ya neno "Tambuka", ungane naye upate huo...