Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,235
- 4,671
Ndioleo dada unatupa like tu.
Mi binadamu mwenye jinsia ya kikeLeo tuongee tujue wewe binadamu au AI bot?
Mi mzima kabisa.Kwema huko?
Karibu pm iko wazi,,, ukija na hoja utajibiwa ukija kwa karaha utakula za uso.Itabidi uje PM kujieleza, verify wewe 'ntu kweli?' Soma kwa lafudhi ya kimakonde..😃
Mkuu ni Mungu au petro?OGopa sana kiumbe ambacho kilikutana na shetani na wakakubaliana sio mchezo Mungu mwenyewe kasema tuishi nao ila kwa akili
Mtwara,Lindi na almost kusini nzima.....mtoto ni wa ujombani!Ndiyo maana baadhi ya makabila ya kusini mtoto anafuata ukoo na kuandikisha jina upande wa mama siyo baba.
Una uhakika 100% mama ndiyo mzazi wako halisi.
Vile vile huruhusiwi kuoa binamu mtoto wa mjomba wako. Unaoa Mtoto wa shangazi yako, Yani mtoto wa dada wa baba yako.
Wanaume tungeijua lugha waliyoitumia nyoka na mwanamke kwenye mjadala wao siku ya kwanza labda tungepata suluhisho. Sio ajabu nyoka na mwanamke wakawa bado wanawasiliana na kupanga mipango ya kumuangamiza mwanaume, halafu Mungu kapiga kimyaa... Katika hili Mungu hana msaada wowote kwa mwanaumeOGopa sana kiumbe ambacho kilikutana na shetani na wakakubaliana sio mchezo Mungu mwenyewe kasema tuishi nao ila kwa akili
Jambo zuri lakini wakati ikisubiri hili liwe sheriaKuna haja ya kuanzishwa sheria kwa kila mtoto atakaye zaliwa ndani ya ndoa,
Basi iwe ni lazima kupimwa DNA tests ili kujua biological relationship kati ya mtoto na Baba wa mtoto,
Hii ndio solution pekee iliyo baki na ndio itakayo komesha kwa wanaume kubambikiwa watoto ambao sio wao.
Nini cha kuona hapo? Una haraka ya kuleta umbea. Subiri siku waje na stori ya mwanamke aliyeolewa na bikra yake na bado akasaliti mume wake
Ukibambikiwa umetaka mwenyeweKuna haja ya kuanzishwa sheria kwa kila mtoto atakaye zaliwa ndani ya ndoa,
Basi iwe ni lazima kupimwa DNA tests ili kujua biological relationship kati ya mtoto na Baba wa mtoto,
Hii ndio solution pekee iliyo baki na ndio itakayo komesha kwa wanaume kubambikiwa watoto ambao sio wao.