Jana nilikutana na raia mmoja wa Misri akanifafanulia mambo ambayo sikuyajua.
Mimi kwa mawazo yangu nilidhani hakuna wakristo Misri ila aliniambia wapo wengi tu japo idadi kubwa ni waislam na yeye mwenyewe ni mkristo. Akaniambia hata Iraq kwenyewe kuna wakristo hata Tariq Azizi aliyekuwa waziri...
Dudu Baya huwa hapati kabisa utamu pasipokutamka neno shoga kwenye kauli zake
Nikama akili ya Dudu Baya imejaa ushoga
Hakuwahi kuzungumzia swala lolote pasipokutamka shoga
Hapatagi utamu anapokuwa na wanaume pasipokuwatukana mashoga
Sijafahamu kiwango cha ushoga katika akili yake ni cha...
GT
maCCM mnapoteza mda kujinadi kwa.maneno ya kwenye kanga watz wana hasira sana na ninyi.
Hakuna neno mtakalosema mkaeleweka matendo yenu ndiyo yatakayoamua hatima yenu.
Tuna.hasira sana hii M029 imetuachia majonzi makubwa hayatasahaurika kamwe mioyoni mwetu na hatutawasemehe kamwe.
Kwa uongozi huu: HAKI ni neno Haramu - waziri wa Mambo ya ndani katolewa!!
Mapolisi sasa wa juu wanajiona wanamzidi mpaka waziri!! wameshanusa damu sasa wanajiona kama Simba
Wakuu, kama tunavyojua kila mtu anatoka katika mazingira tofauti na amejifunza Kiingereza kwa namna yake. Je, ni neno gani la Kiingereza ambalo mara nyingi linakupa ugumu kulitaja au kulitamka kwa usahihi? 😊
Mimi neno linalonipa shida ni “entrepreneur”.
Ni neno gani la kiingereza ambalo hukubaliani na spelling zake ila unakubali tu ili mawasiliano yafanyike
Mimi naanza na neno ''Psychology'' pana haja gani ya kuwa na P mwanzoni ili hali siitumii kabisa?
Teremka hapo chini kwa meneno mengine unayoyajua
Guys ni kingereza fasaha lakini matumizi yake, na anavo tumia Fulani sio sahihi, guys tumia kwa vijana na lika la kawaida, wazee wetu kuwaita guyz ni kipimo Cha dharau na kuto jitambua, naomba ashauriwe, sio VIZURI, tumevumilia Sasa basi.
Kwa mara ya kwanza tangu niifanamu jf ndio ninaandika post, samahani kwa uandishi mbaya.
Kilichonisukuma kuandika hii post ni kwamba nimepoteza pambona la maisha na hata nafasi yangu inanishuhudia hilo.
Nimepitia Mikasa Mingi sana hapa duniani tangu utoto wangu, nimepambana vya kutosha bila...
Wakuu,
Hili ni neno la mwaka 2026 kutoka kwa Askofu Mkuu wa makanisa ya Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima ni wakati wa tafakuri sasa
Neno ni kutoka Matendo 27:25
"Basi wanaume changamkeni kwa sababu namwamini Mungu ya Kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa"
Asili ya neno punyeto
Neno punyeto katika Kiswahili linamaanisha kujichua / kujichezea sehemu za siri.
Asili yake
Punyeto limetokana na Kireno (Portuguese)
Neno la asili ni punheta, ambalo pia linamaanisha masturbation kwa Kireno.
Jinsi lilivyoingia Kiswahilini
Wareno walifika na kutawala...
Neno mama:-
1. Kwa kiha (watu wa Kigoma) ni "nyoko".
Mfano.
(a) Ndamhamagala nyoko wawe (namuita mama yako).
(b) Jewe ndi nyoko wawe (mimi ni mama yako).
2. Kwa lahaja nyingi za kiswahili; neno "mama" ni nyoko.
Mfano. K*ma"nyoko" ni tusi la kiswahili lenye muunganiko wa maneno mawili; "k*ma" na...
Najiuliza Mzee kikwete yupo kweli?
Butiku je?
Warioba je?
Peter msigwa je?😂😋🤣?
Yule mjaruo Koko, Wenje je?
Hivi peter msigwa na wenje mnaweza vaa mashati ya ccm Leo hii mkaitisha mikutano majimboni MWENU Leo hii?🤣😋😂?
Sio agenda yangu asubuh ya Leo ya mwezi mpya.
Mh RAIS, watu hawataki...
Luka 12:2 TKU
Kila kitu kilichofichwa kitawekwa wazi, na kila kitu kilicho sirini kitajulikana.
Yn 8:32
tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.
Hosea 4:6
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.
https://youtu.be/dLi_y9V7uDA?si=7SkTesk8pOeIV6LI
Nimeona maoni watu wengi juu ya neno mwanaharakati na matumizi yake. Neno mwanaharakati linatumika kujenga taaswira mbaya juu ya jitihada wapigania haki za watu.
Mwanaharakati ni mtu anaetetea aina flani ya mtizamo na kupinga kila kilicho kinyume chake. Kwa Maana hiyo mtu yeyote mwenye...
Professor Mangwelele atoa neno la shukrani kwa mashabiki, makamisaa na washiriki wa Mangwelele Cup ambapo mshindi alikuwa ni mwanafunzi wake Dogo Shukuru au ukipenda muite dogo Shuku au Young Master.
Dogo Shuku alicheza fainali na Noel Alex Namaloe na kufanikiwa kushinda kwa goli 1-0 katika...
Nchi yetu imefanya uchaguzi Mkuu wa Taifa tarehe 29 Oktoba 2025. Sote tunakumbuka kuwa siku hiyo na siku zilizofuata, nchi yetu imepitia hali ngumu ambayo haijawahi kutokea katika historia yake.
Palitokea vurugu zilizababisha upotevu wa maisha, ulemavu na uharibifu wa mali za umma na binafsi...
Na. M. M. Mwanakijiji
Ati wakasimama kuomboleza kwa dakika moja...ati na wao sasa huzuni imewafikia na huruma juu. Leo wamekumbuka na wao ni wazazi...wanauchungu.
Wakati wengine wanalia na kutafuta miili ya ndugu zao wao waliendelea kutenda kama wanasingiziwa. Wakati watu wanaonesha miili...
1.miaka miwili ijayo kuanzia sasa ni miaka mibaya sana ya shida kubwa/dhiki kubwa mateso makali ambayo haijawahi kutokea..Watu wa Mungu watapitia changamoto..na hapo ndio utajulikana kama unampenda
Mungu kweli na unampenda kweli na kama umeokoka kweli.
Waabuduo halisi watamuabudu Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.