neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Leo tulifafanue Kiundani neno "RAFIKI"....

    Hakuna Asiyejua hili Neno kila mtu analifahamu na tunalitumia Kila siku na Tunaishi Nalo na Lipo kwenye maisha yetu ya Kila siku. Ulishajiuliza ni kwa nini Facebook wamelichagua neno hili na si Vinginevyo(Yaani Neno "Add Friends") Kwa nn wasiseme add sister,Add mumy add Uncle n.k? Hii ina...
  2. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania Siku nikiwa na mwanamke mwingine ndio utajua tabia yangu, mke hakuongeza neno!

    Iko hivi nina rafiki yangu mmoja ambaye anaendesha magari daladala za hiace isela to magu. sasa kwa uzuri aliniambia mapema kuwa kuna dada kakosea namba kutoka segerema na anamchatisha sana hivyo hadi anaenda kupaki gari usiku bado mawasiliano yalikuwa ni moto sana. Jamaa alipofika kwake...
  3. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Unaelewa nini kuhusu waislamu wanapotamka neno 'Sunnah'?

    Katika Uislamu kuna elimu inaitwa Hadithi inarejelea kile ambacho Waislamu wengi tunaamini kuwa ni rekodi ya maneno, vitendo, na idhini ya kimya ya nabii wa Kiislamu Muhammad s.a.w kama inavyopitishwa kupitia misururu ya wasimulizi. Kwa maneno mengine, Hadith ni riwaya kuhusu yale aliyosema na...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kubwa kwa mdau kamwe usitumie Neno " Nimefarijika" badala yake tumia Neno " Nimefarajika"

    Wadau wote hamjamboni Niwatahadharishe Ni makosa makubwa kutumia neno " Farijika" kwani linaleta maana mbaya Tumia Neno " Farajika" au "nimepata faraja" Aksanteni
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Neno la Msamiati wa Leo katika Gazeti Habari Leo limekuja muda muafaka kabisa

    Kisonoko: Ni Mtu (hasa Mtumishi wa Kike) mwenye Kudharauliwa na ambaye hajui Kitu chochote Chanzo: Gazeti la Habari Leo la leo. Ngoja na Mimi sasa nianze kuangalia katika Sekta mbalimbali za Kiutendaji na Kiutumishi Tanzania nione kama kuna akina 'Visonoko' wengi ili tuwasaidie Kuwarekebisha...
  6. comte

    JamiiForums Tanzania Mama Janneth Magufuli asante kwa neno hili la hekima na unyenyekevu- Mungu akupe nguvu ya kuubeba msiba huu

    “Mheshimiwa Rais nilikupigia simu lakini kwa bahati mbaya sikukupata lakini baadae ulinipigia na nikakuomba uhudhurie shughuli hii ukakubali na uliniahidi kuwa utakuja japokuwa sikuomba kwa maandishi lakini umekuja,asante sana umeniheshimu sana Mama” "Tunakuombea Mungu akupe nguvu ya kuendelea...
  7. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Asili ya neno SONI au CHIBA

    Nini asili ya neno Soni au Chiba? kuna wakati mtu mlemavu wa mguu anaitwa majina hayo. Je ni kwa vile tulikuwa na waziri mzungu enzi za Nyerere aliyekuwa mlemavu wa miguu akiitwa Derek Bryson (soni) au ni yule mwigizaji wa kijapani Sonny Chiba.
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe amdhihaki Tundu Lissu kwa kumuita CHIBA. Aomba radhi baada ya kulalamikiwa

    Zitto sasa amevuka mpaka na shime ndugu Tundu usimchekee tena hasa kwa hatua hiyo ya kukudhalilisha kwa kilema chako. Hii ndiyo Tweet aliyoandika Twitter wakati akijibu hoja ya mdau Baada ya kulalamikiwa na wadau, Zitto Kabwe aliomba msamaha na kudai kuwa hakuwa anajua maana ya neno...
  9. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Neno "CHAI" lina maana gani?

    Ukileta taarifa kidogo tu utasikia hii chai, mara majani ya mpera, mara watakwambia hii ni gahawa, mara majani ya chai mengi, mara tangawizi imezidi! Hivi hili neno asili yake ni ipi na ina maana gani?
  10. The Dictator

    JamiiForums Tanzania UN: neno 'war' na 'invasion' yasitumike kwenye mgogoro wa Russia/Ukrain. Yatoa muongozo.

    Screenshot: from Twitter.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka atuma neno kwa Freeman Mbowe amsifu Rais Samia

    "Ibara ya 118 ya ilani ya uchaguzi ya CCM inaeleza Katika kipindi cha miaka mitano ijayo, Chama Cha Mapinduzi kitaendelea kuheshimu na kulinda misingi ya demokrasia na haki za binadamu kwa ajili ya kudumisha umoja, amani na ustawi wa Taifa kwa kuzingatia Katiba ya Nchi" "Namshkuru Mhe Freeman...
  12. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Neno ‘KOLO’ hatarini kumponza Haji Manara, jela inanukia

    Kutokana na mwendelezo wa baadhi ya watu kutumia 'graphics' za Baraza la Kiswahili Taifa (BAKITA) na kutumia kuweka maneno yao kisha kuandika maana potofu katika Lugha ya Kiswahili, baraza hilo limekuja juu. Haji Manara ni mmoja wa watu maarufu ambao walitumia ufundi kama unaotumiwa na BAKITA...
  13. Trainee

    JamiiForums Tanzania Neno nyumba ndogo linatumika visivyo, Serikali iingilie kati

    Habari wadau... Neno hilo limekuwa likitumika tangia zamani hasa kwa wale wenye mke zaidi ya mmoja. Mke wa kwanza kuolewa na mwanaume fulani amekuwa akitambulika kama mke mkubwa au NYUMBA KUBWA kisha atakayefuata kuolewa na mwannaume huyohuyo basi amekuwa akitambulika kama mke mdogo au NYUMBA...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Spika Ndugai ni boss wangu lakini namshangaa sana, ajiuzulu haraka sana

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa' Aidha amesema suala la...
  15. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la neno Kwampalange

    Kwa Mpalange Ni neno maarufu sana nyakati hizi ukizingatia utandawazi umekuwa kwa kasi sana Neno Kwampalange limekuwa likitafsiriwa kwa maana chanya na hasi Kwa upande chanya Kwampalange ni sehemu ya Buza ikiwa kama kata ya Wilaya ya Temeke katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye...
  16. SubTopic

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kutumia neno COPYRIGHT kufananisha vitu viwili?

    Unakuta mtu anasema:" yani huyu mtoto kafanana na baba yake COPYRIGHT!" Hivi ni sahihi kweli kutumia neno hili kufananisha watu/vitu? Ukisoma maana yake ni tofauti na jinsi neno linavyotumika. Tusaidiane hapo je ni sahihi kutumia neno hili ama sivyo? kama sivyo tutumie neno lipi? Asante
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kisiasa, kisheria nini maana ya neno 'MICHONGO'?

    Mara nyingi nilikuwa nasikia kwa vijana vijiweni Luna mchongo pale. Nikaja kusikia mgombea Fulani anawambia vijana nitawapa michongo. Jana nimesikia mahakamani Michongo. Nini maana halisi ya neno Michongo? Je, ina athali kisheria kutumia neno hilo kwa shahidi awapo mahakamani?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kibamia ni neno linalotumika kuwatisha wanaume ili kuwamaliza nguvu wajione hawawezi kuridhisha mwanamke

    Wanawake wengi wanatumia hili neno kama kinga ili kuwatisha wanaume kuwa hawana uwezo kurishisha mwanamke ili hali sio kweli. Utakuta mwanamke akigombana na mpenzi wake anamtukana kwanza una kibamia Unakuta wanawake wanajadili juu ya wanaume na kudai hawapendi vibamia lakini hata wakipata...
  19. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Hakuna neno la kiswahili linaloweza kuwa na maana bila ya kuwa na irabu

    Hakuna neno la kiswahili linaloweza kuwa na maana bila ya kuwa na irabu (a, e, i, o, u). Katika Lugha ya Kiswahili irabu ni moja ya vitu ambayo vinahitajika katika neno/maneno ya Kiswahili ili kuleta maana, hivyo hakuna neno la Kiswahili lenye maana pasipo kuwa na irabu Lakini kwenye lugha...
  20. nyboma

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

    Ni mara chache Jeshi letu la Wananchi kuja na tamko zito kama hili kunani? Je ni kuhusu ugaidi unawosemwa katika mitandao ya kijamii? ama tuvute subira hadi hiyo kesho saa nne (4) asubuhi kujua ni habari hiyo ya kustua. Pia soma: News Alert: - Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ...
Back
Top Bottom