Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

nyboma

JF-Expert Member
Aug 29, 2021
1,218
2,000
A88FC04D-A52D-4E6F-9929-5A91BFC31C62.jpeg
Ni mara chache Jeshi letu la Wananchi kuja na tamko zito kama hili kunani? Je ni kuhusu ugaidi unawosemwa katika mitandao ya kijamii? ama tuvute subira hadi hiyo kesho saa nne (4) asubuhi kujua ni habari hiyo ya kustua.

Pia soma: News Alert: - Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ, Mkutano na Waandishi wa Habari
 
USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,529
2,000
View attachment 2027376 Ni mara chache Jeshi letu la Wananchi kuja na tamko zito kama hili kunani? Je ni kuhusu ugaidi unawosemwa katika mitandao ya kijamii? ama tuvute subira hadi hiyo kesho saa nne (4) asubuhi kujua ni habari hiyo ya kustua.
Imekushtua nn wewe raia ? Acha kukurupuka sio mara ya kwanza jeshi kuita vyombo vya habari na kutoa tamko au maelekezo

USSR
 
Mayotte

Senior Member
Nov 19, 2021
135
500
Watu huko mitandaoni wanatamani kuskia kitu kitakacho wafurahisha mioyo yao juu ya chuki walizonazo dhidi ya serikali na Mama kwa ujumla..

Naomba niwathibitishie tu kuwa huo upumbavu wanaofikiria kuhusu Tamko hili LA jeshi letu Imara kamwe hautokaa utokee ktk serikali hii Sikivu na yenye hofu ya Mungu.

Mama ni Mpango na Chaguo LA Mungu bado yupoyupo sanaaa..
 
Pununkila

JF-Expert Member
Jan 7, 2021
411
1,000
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa taarifa kwa vyombo vya habari kuwa kesho Novemba 30, 2021 litafanya mkutano na waandishi wa habari kutoa tamko maalum.

Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa mikutano ilipokuwa makao makuu ya jeshi, Upanga jijini Dar es Salaam saa nne asubuhi.

Vyombo vyote vya habari vinaalikwa.
IMG-20211129-WA0014.jpg
 
haha

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
1,165
2,000
Watu huko mitandaoni wanatamani kuskia kitu kitakacho wafurahisha mioyo yao juu ya chuki walizonazo dhidi ya serikali na Mama kwa ujumla..

Naomba niwathibitishie tu kuwa huo upumbavu wanaofikiria kuhusu Tamko hili LA jeshi letu Imara kamwe hautokaa utokee ktk serikali hii Sikivu na yenye hofu ya Mungu.

Mama ni Mpango na Chaguo LA Mungu bado yupoyupo sanaaa..
He!!! Mhemko wa nn?? Hata bwana yule mlisema ni chagua LA mungu kisha mkamuita mungu!!!wanafiki wakubwa nyie
 
Mwamba 777

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
1,286
2,000
Watu huko mitandaoni wanatamani kuskia kitu kitakacho wafurahisha mioyo yao juu ya chuki walizonazo dhidi ya serikali na Mama kwa ujumla..

Naomba niwathibitishie tu kuwa huo upumbavu wanaofikiria kuhusu Tamko hili LA jeshi letu Imara kamwe hautokaa utokee ktk serikali hii Sikivu na yenye hofu ya Mungu.

Mama ni Mpango na Chaguo LA Mungu bado yupoyupo sanaaa..
na ndo amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya TZ, anapigiwa salute na wakuu wote wa majeshi TZ na ndo mkuu wao, hata hilo tamko hawawezi toa bila ruhusa ya mama.
 
green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
3,856
2,000
Watu huko mitandaoni wanatamani kuskia kitu kitakacho wafurahisha mioyo yao juu ya chuki walizonazo dhidi ya serikali na Mama kwa ujumla..

Naomba niwathibitishie tu kuwa huo upumbavu wanaofikiria kuhusu Tamko hili LA jeshi letu Imara kamwe hautokaa utokee ktk serikali hii Sikivu na yenye hofu ya Mungu.

Mama ni Mpango na Chaguo LA Mungu bado yupoyupo sanaaa..
Usitusemee semea moyo wako na njaa zako
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom