neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. Isa The Girl

    JamiiForums Tanzania Ni nini maana ya neno "Shikamoo"

    Nikiwa mtoto nilikua nikisema shikamoo kwa upesi sana lakini kadri navyozidi komaa kiakili napata ugumu wakulisema pale napokutana na watu walionizidi umri. "Shikamoo" ni neno la kiswahili sanifu? Ama lilikopwa kutoka lugha nyingine. Je lina maana gani. Naombeni nifahamishwe kuhusu neno hilo na...
  2. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini binadamu hakuumbwa kwa neno moja tu la Mungu?

    Ipo hivi mifugo wezangu, hivi kwanini Mungu hakutamka tu hivi "na awe binadamu mwanaume na mwanamke na wakaishi kwenye bustani ya edeni” ikawa asubui ikawa jioni, siku ya sita? Mbona vitu vyote Mungu alikuwa anatamka neno tu na vinatokea lakini ilipofika siku ya sita kwenye kipengele cha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Anza na neno "ISINGEKUWA"

    ISINGEKUWA yule trafick usiku ule pale daraja la sarenda wale majamaa wangeniua
  4. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwaajili ya neno moja lenye maana sawasawa kwenye makabila tofauti

    Naomba huu uzi utumike kuelezea maneno ya aina moja yenye maana moja kwa makabila tofauti tofauti mfano neno kuigota linapatikana katika makabila ya wakurya na wasukuma na lina maana moja ya kushiba Neno kuhangua lipo katika makabila mawili ya wa sukuma na wakurya na lina maana moja ya kuwahi...
  5. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Hili neno la Kiswahili linaleta maana au? Sijaweza kulielewa bado

    Mfano: kwa lugha ya malkia ukisema. "I want to eat you" Labda unamwambia kuku mfano Ni sahihi kusema nataka nikukule? Hilo neno nikukule naona halileti mtiririko mzuri Kwenu wataalamu wa Lugha
  6. ragin

    JamiiForums Tanzania Wanaume mje mtoe neno moja hapa

    Can someone switch off the light he want to see something!
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Neno langu kwa Tajiri Yusuf Bakhressa wa Azam FC

    Umeingia kwa 'Pupa' sana katika Vita ya Kusajili ila umesahau kuwa unazungukwa na 'Chawa' wengi wa Simba na Yanga.
  8. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumshinda Shetani anapotumia neno la Mungu kukushawishi kutenda dhambi

    “Akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe”, Mt 4:6 SUV Shetani alitumia Neno la Mungu kumjaribu Kristo kutenda dhambi. Pia lilikuwa ni jaribio la kumshawishi Yesu...
  9. amadala

    JamiiForums Tanzania Toa neno lolote kuhusu michango ya Harusi

    Hello Wadau!! Naenda Moja kwa Moja kwenye topic. Mimi binafsi naenda kwenye style ya uombaji michango, Jana mishale ya mchana ghafla najikuta nimeungwa kwenye group la kuchangia mchango wa harusi ya classmate wangu ambae sijaongea nae Toka mwaka Jana japo Kila mtu ananamba ya mwenzake, naona...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya "NENO" katika Dunia na Katika Maisha yako

    NGUVU YA "NENO' KATIKA DUNIA NA KATIKA MAISHA YAKO! Anaandika, Robert Heriel. Isomwe Kwa hekima Kwa walio na hekima, wapate ufahamu. Pia isomwe kipumbavu na hao waliowapumbavu, wazidi kuchanganyikiwa katika njia panda za fikra zao. Andiko hili ni Kwa watu wote. Neno ni sauti yenye maana. Kwa...
  11. Afrocentric view

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya neno hodi hodi?

    Kwa Kiingereza hodi unasemaje?? Anyways hodi humu jamvini. Mimi new member naitwa Afrocentric, kwasababu sijawa brainwashed na propaganda za Wazungu, Wachina, Wahindi, Waarabu n.k.
  12. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro awaagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavyoelekezwa na Serikali

    IGP Sirro ameagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavhoelekezwa na serikali Sirro amesema hali ya usalama Ngorongoro ni shwari kabisa ----- PICHA: IGP Sirro akiongea na wakazi wa Tarafa Loliondo Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amesema zoezi...
  13. Elice Elly

    JamiiForums Tanzania Askofu jimbo la Mbinga: Amani ni tunda la haki

    Mahubiri ya Askofu John Ndimbo (Kingenzu) katika Misa ya Christmas amesisitiza kuwa bila kutenda haki hakuna Amani.Amesema haki ya watu kuchagua viongozi wao,haki ya kuishi pia amesieistiza msamaha wa kweli. Lakini amesema yeyoye anayempenda Mungu anawajali binadamu wenzake. Amesema pale mtu...
  14. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku ambayo sitii neno😂

    😁😁😁
  15. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Laweza neno jema kutoka Nazarethi

    ANDIKO LA MSINGI: Yohana 1:43-46. Biblia inasema hivi “43. Siku ya pili yake alitaka kuondoka kwenda Galilaya, naye akamwona Filipo. Yesu akamwambia, Nifuate. 44. Naye Filipo alikuwa mtu wa Bethsaida, mwenyeji wa mji wa Andrea na Petro. 45. Filipo akamwona Nathanaeli, akamwambia, Tumemwona yeye...
  16. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Dada zangu, tunakumbushana tu ili baadaye tusilaumiane ingawa kuolewa siyo lazima na neno langu siyo sheria

    INASEMEKANA: _*Idadi ya watu inafikia bilioni 7.8 dunia nzima. *Wanawake ni bilioni 5.6 Wanaume ni bilioni 2.2. _*Hapo utaona busara inamtaka kila mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa mwanaume, au kukataa ndoa ya uke wenza. *Zingatia kwamba, kati ya hao wanaume bilioni 2.2: 1. _*Bilioni...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Asili ya neno Mungu ni nini?

    Habari wakuu. Kila neno kwenye lugha huwa lina athiri yake. Mfano ukichunguza utaona kuwa God aliabudiwa na jamii nyingi za Ulaya kabla hata ya ukristo. Allah aliabudiwa na waarabu kabla hata ya uislamu. Yahweh/Yehova aliabudiwa na wana wa Isaraeli. Kuna makabila yetu ambayo yana majina yao ya...
  18. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

    Sikiliza mwenyewe.
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Neno HAKI limeanza kutawala midomoni mwa watawala, alianza Rais Samia, kafuata IGP na leo nimemsikia Kinana

    “Kitu kikubwa tulichojadiliana ni kuwa, Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kufanya kazi pamoja, kuijenga, lakini hili linawezekana tu iwapo tutajenga uaminifu na kudai HAKI, pamoja na kuheshimiana”. Rais Samia Suluhu. “Tumekubaliana kuwa, njia nzuri ya kuwa na maridhiano ni wakati kuna HAKI...
Back
Top Bottom