Jina la asili la ziwa Tanganyika ni lipi? Na neno Tanganyika linamaanisha nini?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,589
2,000
Kabla ya wazungu kuja Ziwa victoria lilikuwa linaitwa Nyanza. Maana ya Nyaza ni eneo pana lenye maji(Ziwa). Hata jina Rasmu walililipa wazungu ni Victoria-Nyanza. Hata ziwa Nyasa ni hivyohivyo. Neno Nyasa na neno Nyanza yana maana moja.

Sasa hili neno Tanganyika linamaanisha nini? Na kuna jina la asili la hili ziwa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom