neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Jina la asili la ziwa Tanganyika ni lipi? Na neno Tanganyika linamaanisha nini?

    Kabla ya wazungu kuja Ziwa victoria lilikuwa linaitwa Nyanza. Maana ya Nyaza ni eneo pana lenye maji(Ziwa). Hata jina Rasmu walililipa wazungu ni Victoria-Nyanza. Hata ziwa Nyasa ni hivyohivyo. Neno Nyasa na neno Nyanza yana maana moja. Sasa hili neno Tanganyika linamaanisha nini? Na kuna jina...
  2. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya neno demu

    Kwa mujibu wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), limeeleza kwamba neno demu lina maana ya nguo ya zamani inayofungwa na wanawake kichwani, kiunoni wakati wa kufanya kazi ngumu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, neno 'Mashiko' ni neno sahihi na iko kwenye kamusi?

    Nimekuwa nikifuatilia kesi ya Ndugu Mbowe na wenzake lakini mara nyingi Mawakili wa Serikali wakitaka kupinga hoja za Mawakili wa utetezi utasikia wakisema kuwa hoja hii HAINA MASHIKO. Sasa nauliza je neno hili ni neno sahihi kwa matumizi yetu ya kila siku na ipo kwenye kamusi ya kiswahili...
  4. sanalii

    JamiiForums Tanzania Nini asili na maana ya neno Bongo

    Wengine wamekua waki refer Tanzania kama bongo na wengine waki refer Dar ea salaam km bongo, yote kwa yote, ni ipi asili na maana ya neno hili mpaka tukawa na vitu kama Bongo fleva na bongo movie?
  5. I wish i have

    JamiiForums Tanzania Vita ni vita: Kuelewa unachokitaka kwenye neno "KANDA"

    Hata mimi wakitamka neno "KANDA SIELEWI" huwa nini maana yake!? Tuwaandalie!
  6. The druid

    JamiiForums Tanzania Ombi la nyimbo za cosmas chidumule za injili

    Yeyote mwenye nyimbo original za cosmas chidumule za "libarikiwe neno hili" na "ya nini mizigo hiyo" naomba anisaidie whatsapp no 0717297545 Kwa upendo wa kristo.
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Maana ya neno 'Boss' katika mahusiano kazini

    Wengi wanapenda kuitwa 'boss' makazini, bila kujua uzito wa hilo jina. Wengine wanalazimisha waitwe hivyo, na wengine inatokea tu wanaitwa hivyo kutokana na wanavyotatua kero za wafanyakazi wao hasa kimaslahi. Wenye kulipenda hilo jina wengi wao wanafikiri kuitwa 'boss' ni kuwa na uwezo wa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna kipengele chochote cha Katiba au Sheria kinatoa tafsiri ya neno 'Dini' na 'Ibada'?

    Kwa utafiti niliofanya kuhusu Taifa kutokuwa na Dini au Taifa kutofata dini yeyote, maneno haya yanapatikana katika katiba iliopo ile ya kiswahili pekee. Bali sijaona maneno hayo ktk katiba ya kiingereza. Nilitatajia nikute katiba ya kiingereza ikitamka maneno haya; Our state has no official...
  9. TTCL Customer Care

    JamiiForums Tanzania Neno la shukrani kwa wateja wetu wa TTCL

    Kwa wateja wetu wa nguvu. Katika kusherehekea kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, kaulimbiu ya mwaka huu ni Nguvu Ya Huduma. Napenda kuwapongeza watoa huduma wenzangu wote wa TTCL. Pia kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini, na kuendelea kutumia huduma zetu. Tunawathamini sana na kuwaahidi...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Dhana nzima ya neno Uzalendo

    Habari wakuu !!!leo nimetafakari sana dhana nzima ya uzalendo! Hizi ndo Tabia za mtu mzalendo 1: Ni mwaminifu na mwadilifu kwenye kazi yake na majukumu yake Mithali 14:5 Shahidi mwaminifu hatasema uongo; Bali shahidi wa uongo, pumzi zake ni uongo. 2: Ni kiongozi ambaye hana upendeleo kwa...
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania "Adolescence" Neno linalotumika kuangamiza jamii ya mwanadamu

    Adolescence ni neno la kimombo ambalo humaanisha umri kati ya utoto na utu uzima. Inakadiliwa miaka kati ya 10 hadi 19. Umri huu umeitwa majina mengi ikiwemo foolish age kwa maana ya umri wa ujinga. Kiukweli neno hili ni mtego mkubwa ambao wanadamu wameingizwa bila kujua. Vijana umri huu...
  12. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa nyumba za Waalimu Igunga, Mbenge atia neno

    Tazama clip/video kuhusu Nyumba ya Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Maweni, Kata ya Nguvumoja Wilaya ya Igunga. Inadaiwa kuna ukosefu wa nyumba za Walimu katika shule ya msingi Maweni na kuwafanya walimu kutembea umbali mrefu kwenda na kurudi shuleni.
  13. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Wauza software wa jamii forums na lile neno la 50% OFF

    Kwanini kila wakati mnashusha bei ya bidhaa zenu ? Leo unakuta mtu anauza/kutengeneza tovuti kwa laki nne kesho tatu keahokitwa mbili mara laki na 80 sasa hii biashara haiko stable kiasi hicho au inakuwaje wakati mwingine mtu anauza native app kwa laki tatu n.k , embu tuambie hilo soko...
  14. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Shairi: Hili Neno "Ukatili"

    Salaam! Utenzi huu unabeba dhima ya neno "Ukatili" ambalo limekuwa likitajwa sana, lakini watu wengi wameshindwa hasa kuelewa neno hilo lina maana gani. Shairi hili lipo katika mtindo wa masimulizi kuhusu matukio ya ukatili yanayotokea ndani ya familia, ambapo mabinti yatima mapacha waliokuwa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete atoa neno kwenye mkutano wa wadau wa sekta ya mkonge

    Mbunge wa Chalinze Mkoani Pwani Mhe Ridhiwani Kikwete alihudhuria mkutano wa pili wa wadau wa sekta ya mkonge mwaka 2021 na haya ndiyo aliyoyazungumza alipopata nafasi ya kutoa neno kwenye mkutano huo. #KaziInaendelea.
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kamanda mwenzetu Joyce Mukya yuko wapi? Ni mmoja wa makada waliolamba viti maalum kiaina. Anatakiwa atoe neno kipindi hiki kigumu

    Alikuwa mmoja wa viti maalumu waliongia kwa nguvu maalumu bungeni. Sasa hivi dhahama imeikumba chama chetu. Basi anatakiwa kama kada mwandamizi aonekane mbele ya umma. Atoe neno maana kama chama tunahitaji faraja.
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana, wafanyakazi, wanafunzi na vizazi vijavyo vinaangamia kwakushindwa kuelewa maana halisi ya neno "Elimu"

    Nawasalimu wana jamiiforums, haswa jukwaa hili pendwa la "stories of change" naimani nyote ni wazima. Ujumbe huu unalenga kusaidia jamii yote hususani vijana, wafanyakazi, wanafunzi na vizazi vinavyo kuja.Ili kujua maana halisi ya neno "elimu" na kuacha upotoshwaji mkubwa unao toka kwa wazazi...
  18. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Leo kuna nini, waandishi wa habari za michezo wamekazania neno MEMKWA

  19. comte

    JamiiForums Tanzania Kwa hapa Tanzania pale penye neno MKIKUYU tungeweka neno gani?

  20. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Neno la leo: Ukiona wanatamani ushuke kimaisha au uanguke jitafakari

    Ukiona mtu au watu wanatamani ushindwe, uanguke, uumie, ufeli au kupoteza uhai kabisa wewe binafsi mkeo au watoto wako usikimbilie kusema binadamu ni wabaya, binadamu wanachuki, binadamu wanakinyongo, binadamu wana wivu n.k huo ni muda wako kujitafakari. Kila binadamu ana wivu, kila binadamu...
Back
Top Bottom