Neno la shukrani kwa wateja wetu wa TTCL

TTCL Customer Care

JF-Expert Member
Aug 18, 2016
239
500
244644253_10159916448387884_4917985348780221731_n.jpg

Kwa wateja wetu wa nguvu.

Katika kusherehekea kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, kaulimbiu ya mwaka huu ni Nguvu Ya Huduma.
Napenda kuwapongeza watoa huduma wenzangu wote wa TTCL. Pia kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini, na kuendelea kutumia huduma zetu.
Tunawathamini sana na kuwaahidi kuendelea kutoa huduma bora zaidi.
Mteja wetu, wewe ndiye nguvu yetu.

-Wendlyne Mbagga,
Meneja Huduma kwa Wateja.
08 Oktoba 2021
 
Kop0

Member
Oct 6, 2021
13
45
Mtandao wenu unasumbua sana Toka Magu hayupo! Vifurushi vyenu mmepandisha sana. Rudishani kifurushi cha toboa niweze kurudisha line yenu hewani.
 
Xecond

Member
Mar 7, 2019
88
150
View attachment 1968463
Kwa wateja wetu wa nguvu.

Katika kusherehekea kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, kaulimbiu ya mwaka huu ni Nguvu Ya Huduma.
Napenda kuwapongeza watoa huduma wenzangu wote wa TTCL. Pia kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini, na kuendelea kutumia huduma zetu.
Tunawathamini sana na kuwaahidi kuendelea kutoa huduma bora zaidi.
Mteja wetu, wewe ndiye nguvu yetu.

-Wendlyne Mbagga,
Meneja Huduma kwa Wateja.
08 Oktoba 2021
Rudisheni night pack
 
mseytruu

Senior Member
Jul 16, 2015
169
225
Huwa najiunga na kifurushi Cha watumishi,lakini kinagoma,tatizo ni nini?
 
Njemba Soro.

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
1,682
2,000
Hivi pale tegeta kibo comlex duka lenu mmehamisha? MAANA KILA NIKIJA NAKUTANA NA MAKOFULI. Mpaka nimeisahau namba yangu. KWAMBA NYIE WAFANYAKAZI WENU WANAFUOGUA OFISI LINI NA SAA NGAPI? KAMA MMEHAMA KIBO COMPLEX MNAPATIKANA WAPI? Nyie jamaa nimewachukia sana kwa kuja kibo kila siku nakuta kofuli halafu hata loss report ya mbweni pale nilichanganya yenu nikawapa voda, ya voda nikabaki nayo. ILA VODA WAMENIPATIA HUDUMA. Amkeni maana mnazingua sana.
 
zink

JF-Expert Member
Sep 18, 2021
717
1,000
View attachment 1968463
Kwa wateja wetu wa nguvu.

Katika kusherehekea kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, kaulimbiu ya mwaka huu ni Nguvu Ya Huduma.
Napenda kuwapongeza watoa huduma wenzangu wote wa TTCL. Pia kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini, na kuendelea kutumia huduma zetu.
Tunawathamini sana na kuwaahidi kuendelea kutoa huduma bora zaidi.
Mteja wetu, wewe ndiye nguvu yetu.

-Wendlyne Mbagga,
Meneja Huduma kwa Wateja.
08 Oktoba 2021
Safi sana ttcl leo mmenifurahisha kwa kasi ya ajabu ya internet na bei zenu nzuri za vifurushi
 
Misss Chuga

Senior Member
Oct 6, 2021
129
250
Habari yako Mr. victor moshi
Tunaomba kufahamu unapata tatizo lipi pindi utumiapo huduma zetu ili tukupatie msaada zaidi.
Karibu sana
Matatizo ni Mengi sana juu yenu. Sijui Tuanzie wapi. Ila kwa sasa habari ya mjini ni Mb's wekeni mb za kutosha Kwenye vifurushi vyenu pia Rudisheni night pack.

Afisa masoko wenu sijui anafanya kazi gani hivi awaoni mitandao wengine wanavyofanya kazi? Ubunifu sifuri
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
18,298
2,000
View attachment 1968463
Kwa wateja wetu wa nguvu.

Katika kusherehekea kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, kaulimbiu ya mwaka huu ni Nguvu Ya Huduma.
Napenda kuwapongeza watoa huduma wenzangu wote wa TTCL. Pia kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini, na kuendelea kutumia huduma zetu.
Tunawathamini sana na kuwaahidi kuendelea kutoa huduma bora zaidi.
Mteja wetu, wewe ndiye nguvu yetu.

-Wendlyne Mbagga,
Meneja Huduma kwa Wateja.
08 Oktoba 2021
Wajinga, mmemuweka huyu mrembo mkidhani tutajisahau tuache kuwalaumu kwa kazi ya hovyo mnayofanya!!! Moto ni uleule TTCL hamfai huduma zenu mbaya hakuna wa kufananisha
 
TTCL Customer Care

JF-Expert Member
Aug 18, 2016
239
500
Matatizo ni Mengi sana juu yenu. Sijui Tuanzie wapi. Ila kwa sasa habari ya mjini ni Mb's wekeni mb za kutosha Kwenye vifurushi vyenu pia Rudisheni night pack.

Afisa masoko wenu sijui anafanya kazi gani hivi awaoni mitandao wengine wanavyofanya kazi? Ubunifu sifuri
Misss Chuga
Tunashukuru kwa maoni yako mazuri, tunayafanyia kazi.
 
Ferruccio Lamborghini

JF-Expert Member
Apr 15, 2020
1,352
2,000
Mdada mzuri, Nikiwa napiga customer care naomba awe ananipokea yeye, Tena Mpare origino, TTCL Pale Rombo Kilimanjaro mtandao hausomi kabisa, ni changamoto, Yaani ukifika Mashati laini ni TTCL lakini inasoma Safaricom Kenya, Tuleteeni Mitambo huku Tunateseka sana
 
tinkanyarwele

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
1,910
2,000
Nilipenda sana kutumia laini ya TTCL nikiwa na lengo la kuhitimisha dhana ya uzalendo lakini ilishindikana kabisa... yaani huku mikoani vijijini.. Mtandao haupo, laini hazipo na wala vocha huwezi pata hadi uende mjini....ni aibu sana natamani sana msambae hadi vijijini msiishie mijini tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom