nehemia mchechu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Gazeti la The CITIZEN kumpa Utajiri mwingine wa Maisha Tajiiri Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu

    Mahakama Kuu ya Tanzania imelitaka Gazeti la The CITIZEN linalomilikiwa na Kampuni ya MWANANCHI kumlipa Ndugu Nehemia Mchechu (sasa Msajili wa Hazina) kiasi cha Shilingi Billioni Mbili za Kitanzania kutokana na Kumchafua kuwa ni Fisadi na ametumbuliwa na Rais Dkt. Magufuli katika Toleo lao la...
  2. JanguKamaJangu

    Mahakama yaamuru Gazeti la The Citizen kumlipa aliyekuwa Bosi wa NHC, Nehemia Mchechu Bilioni 2

    Mahakama Kuu ya Tanzania imeliamuru gazeti The Citizen kumlipa fidia ya shilingi bilioni mbili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu kwa kuchapisha habari zilizomshushia hadhi. Hukumu hiyo imetolewa leo Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam, ikielezwa kuwa...
  3. benzemah

    Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- 1. Amemteua Bw. Nehemia Kyando Mchechu, kuwa Msajili wa Hazina. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mchechu alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Bw. Mchechu anachukua nafasi ya Bw...
  4. Mayor Quimby

    Nehemia Mchechu bila ya ‘speed governor’ ni tatizo. Ndugu zangu wa mitaa ya ‘Al Muntazir’ Upanga mjipange

    Hivi hii sera ya ubia ya NHC ilipelekwa kabisa kwenye baraza la mawaziri, wakailewa na kusema sawa. Mtu ana mpango wa kwenda kuvunja majengo kadhaa kisa tu yapo prime areas na kuwatoa wapangaji sio tu hana hela ya kuendeleza yeye mwenyewe bali the immorality of it all is beyond me. Kama hela...
Back
Top Bottom