Ndoa hazina tatizo, tatizo lipo kwa hawa watu tunaowaoa au kuolewa nao

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,151
Ukihitaji salamu subiri kwanza nifulie,tofauti na hapo utaambulia Chuya!.

Kuna Majitu ndiyo yanayofanya ndoa zionekane hazina maana kwasababu hayataki kubadilika.

Ndoa ina raha na ndoa ni tamu mnoooooo hasa ukioa au kuolewa na mtu!.

Ndoa itakuwa chungu na yenye karaha hasa ukiolewa au kuoa Jitu!.

Muombe sana Mungu akuepushe na Majitu bali akupatie Mtu wa kufanana nae!.

Anyway:
Mliolewa/kuoa watu wapendeni watu wenu na nyie mlio olewa/oa majitu pambaneni na majitu yenu!.
 
Back
Top Bottom