Aghairi kufunga ndoa baada ya kugundua mke mtarajiwa alimtembelea Ex wake usiku kabla ya ndoa

Sijajua imetokea mchi gani nafikili kati ya congo au west africa kule.

Afu Ex wake inasemekana aliudhulia kwenyw ndoa.


View: https://youtu.be/ezzvU60-B9w?si=N9Q1C1AJn2tg1eBw

Nguo za zamani aitupwi.
Chakushangaza mbona ex wake hakumchumbia😳😳😳.

Mshikamawili moja umponyoka.

Wanawake wengi hasa wajinga wanatudanganya sana.

Mtu amekukula miaka hajakuoa, unapata mshikaji anakupenda na kujitoa bado una msaliti.

Nikigundua utalia hadi unaingia kaburini
 
Back
Top Bottom