ndoa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dkt. Dugange (Miaka 3 bila Uhamisho), Kilio cha Watumishi, Afya ya Akili na Ndoa zilizo Hatarini. Nini Kifanyike?

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange, ametoa agizo kuwa waajiriwa wote wapya wa Serikali lazima wafanye kazi kituo kimoja kwa muda usiopungua miaka mitatu (3) kabla ya kuruhusiwa kuomba uhamisho, isipokuwa kwa changamoto za kiafya zilizothibitishwa na jopo la...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mke kumheshimu zaidi Mchungaji kuliko mume; ni ushindi mwingine wa Kataa Ndoa

    Mambo ya kushangaza kabisa, mbele ya mchungaji mwanamke ni mpole, mnyenyekevu, anafunga mdomo wake, akisikiliza zaidi kuliko kusema. Hata akisema maneno ni machache tu....Ameen...amina... Njoo kwa mbele ya mumewe sasa, ooooh ni kiranga. Hata mkikosana mkapelekana kwa mchungaji, utakuta ushauri...
  3. Chadema 2030

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni maamuzi yako?

    Tusiingiliane kama umeona ndoa ina kufaa oa,na kama haikufai kaa pemben.Na usipooa mbelen usije ukalaumu mtu,ukizidiwa na kujinyea kwa nyumba.Hata mm sijaoa nani maamuz yangu kwa hiyo,nikiishi na madem usije ukaniuliza mbona huoi maana tutazinguana...
  4. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Kataa ndoa ni kampeni ya kijinga kuliko zote duniani

    Ndoa ni mpango wa Mungu,ni mpango wenye manufaa makubwa sana kwa binadamu. Hivi sasa kumezuka kampeni ya kupinga ndoa,kwa musingi ya dosari za kibinadamu baina wa wanawake na wanaume.Hakuna anayekataa Kuwa ndoa hazina changamoto lakini manufaa yake ni makubwa mno kuliko matatizo. Ndoa...
  5. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupewa heshima ya umakamo mwenyekiti. Nitakua mchoyo wa fadhira nisipotia neno kuhusu KATAA NDOA

    Katika kizazi tulichopo ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume. Kwanza original deal of marriage ilikua ni mwanamke bikira na mtiifu kwa mabadilishano ya lifetime protection na provision kutoka kwa mwanaume. Wanawake wa leo sio bikira, sio watiifu. Kwahiyo tuelewane hapa wanawake ndio...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Leonard Mgina: Ndoa si kwa ajili ya kila mtu, baadhi wameumbwa kuishi single

    Mtaalamu wa saikolojia, Leonard Mgina, amesema kuwa ndoa siyo jambo linalofaa kwa kila mtu, akisisitiza kuwa baadhi ya watu wameumbwa kuishi maisha ya upweke (single) kutokana na tabia zao. Akizungumza katika mahojiano na Nurudigital Mgina ameeleza kuwa kuna watu ambao, kwa asili ya mienendo...
  7. zachariano alexido

    JamiiForums Tanzania Mnatuambia tusioe wakati nyie mmo kwenye ndoa, mnamaanisha nini?

    Hili jambo linaniumiza kichwa sana unakuta mtu anahamasisha tusioe ilihali yeye yumo kwenye ndoa. Mzee wa kaliua ukimsikiliza mambo yake huko Instagram, yeye na wrngine wana kandia ndoa sana, lakini inasemekana ye kaoa na ana watoto, sasa huku nikuhurumiana kupotoshana?
  8. Red black

    JamiiForums Tanzania Tafiti;waliopo kwenye ndoa wanaishi maisha marefu yenye sonona tofauti na walioko singo?

    Marriage license ==== Fahamu Zaidi Tafiti: Waliopo kwenye ndoa, huishi maisha marefu zaidi tofauti na waliopo 'singo'!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hii kasi ya ndoa za sogea tuishi imekuwa kubwa sana, kwanini watu hawafungi ndoa rasmi?

    Kijana anakutana na mwenzake, wanakuwa na mahusiano, baada ya hapo wanaanza kuishi pamoja kama mume na mke. Wanapata watoto, wanasaidiana majukumu, wanatambulishana ndugu zao, n.k. Miaka mingi inapita bila kufunga ndoa rasmi kanisani, msikitini wala bomani, hawana cheti cha ndoa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe mahari zinafika milioni 7? Wazazi kuna muda mwengine ni chanzo cha watoto kutoolewa au kufosiwa ndoa kwa watu wasiowapenda

    kijana ana miaka 28 yupo normal kiuchumi ana shughuli zake, kapata mchumba mwenye 23, wanapendana perfect match, kufika kwao kupeleka posa wazazi wanahitaji MILIONI 7 wazazi kuna muda mwengine ni chanzo cha watoto kuto olewa au kufosiwa ndoa kwa watu wasiowapenda
  11. Infropreneur

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanawake hutoka kwenye umasikini kupitia ndoa, na asilimia kubwa ya wanaume huingia kwenye umasikini kupitia ndoa

    Asilimia kubwa ya wanawake hutoka kwenye umaskini kupitia ndoa, na asilimia kubwa ya wanaume huingia kwenye umaskini kupitia ndoa. 80% of the time, women escape poverty through marriage AND 80% of the time, men enter poverty through marriage. Nikuache na kibao cha KING KIKI -Baba Paroko...
  12. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Je wanaume wengi wanateseka kimya kimya kwenye ndoa zao?

    Leo kuna sehemu fulani nilikuwa nimekaa zangu nakunywa soda. Karibu yangu kulikuwa na baba mmoja wa makamo kidogo, alikuwa meza ya pembeni anakunywa pombe na tayari alikuwa amelewa chakalii. Ghafla nikamsikia anamwambia muhudumu: Usinione hivi, mimi nina mke na watoto watano. Nina gari nimepack...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba wa Ndoa, Mimi siyo Mtu wa kujichanganya sana na watu huko Mitaani ndiyo maana nimeleta hoja zangu hapa

    Habari wanajamii, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa early 30’s, Mkristo, ambaye kwa sasa sina mtoto na sijawahi kuwa kwenye ndoa. Nafanya kazi kama muajiriwa katika sekta binafsi. Kwa ufupi kuhusu mimi: Urefu: sentimita 185 Muonekano: Mwembamba, mweusi Mtindo wa maisha: Baada ya majukumu ya siku...
  14. tpaul

    JamiiForums Tanzania CCM wameanza kusuluhisha matatizo ya ndoa

    Hatimaye chama kikongwe, sikivu na kinachotatua matatizo ya wananchi kwa wakati, wameanza kutoa huduma ya kutatua matatizo ya ndoa. Kama mke wako anakunyima unyumba, mchumba wako anakunyanyasa, hujaolewa au umeachika, usikate tamaa....CCM watakusaidia tatizo lako ndani ya muda mfupi...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wapole hatari sana kwenye ndoa why??

    ‎Why Silent Wives Are the Most Dangerous Wives in Marriage - By Bisi Adewale ‎ ‎Silence in a wife is not peace. ‎Silence is not submission. ‎Silence is not maturity. ‎Most times, silence is a funeral song, quietly announcing that something precious in the marriage is dying. ‎ ‎As a marriage...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ni ngumu kukuta ndoa ya mkinga imevunjika au kusikia mafumanizi

    Sababu kubwa ni kwamba wakinga wengi hupenda kujishughulisha na maduka, kuna biashara nyingi sana lakini mkinga kachagua maduka. Madukani wakinga huwa wanashinda na wake zao, hakuna mke wa kubaki nyumbani, ni team work asubuhi kunapokucha hadi jua linapozama. Mke huwezi kumzuia kuchepuka ila...
  17. SuperHb

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa 3, Mke kakimbia ndoa yake kisa anataka kazi

    Baada ya MKE kurudi kwangu na kuconfess makosa yake yote na yale ambayo nilikuwa sijui...,,, Na akasema ametambua makosa yake yote ndo amekili ametaka MOYO wake uwe huru... Na amesema kilichomuharibu zaidi ni makundi aliyokuwa nayo ya wanawake kudanganyana...na kushawishiana... Soma MREJESHO...
  18. SuperHb

    JamiiForums Tanzania MREJESHO 2,, Mwanamke akimbia ndoa yake kisa kazi

    Habari ndugu ZANGU... Baada ya MKE kwenda kwa wazazi wangu na wake ,,,, Mimi nilikuwa naendelea na uchunguzi wangu...,,Kuna taarifa niliipata wakati anaondoka Nyumbani kwangu kuna JAMAA ambaye anaishi NYUMBA ya Jirani,, aliyekuwa akimtongoza ,,, kwahiyo mwanamke alimtafuta JAMAA huyo akiomba...
  19. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Ndoa si kitu chepesi, fanya haya walau upate ahueni

    Salaam jamiiforum Mara nyingi mabandiko yangu yanawahusu vijana wadogo ambao kila Nyanja kwao bado ni ngumu iwe pesa,iwe kazi nzuri, biashara n.k vijana bado mambo ni magumu sana,najua si wote,wapo ambao mambo yao hubebwa na bahati pia Ni rahisi kukuta kijana mdogo asiye na Elimu kubwa kuwa...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Muda wa wastani wa tendo la ndoa Duniani: Ecuador yaongoza wanatumia dakika 24, Pakistan ya mwisho wanatumia sekunde 42

    Wakuu Nimekutana na ripoti zilizotolewa mtandaoni zinaonesha tofauti kubwa za muda wa wastani wa tendo la ndoa kati ya nchi mbalimbali duniani. Kulingana na orodha, Ecuador inaongoza kwa kuwa na muda mrefu zaidi wa wastani wa ngono, ambao ni dakika 24, ikifuatiwa na Cameroon (dakika 23.5) na...
Back
Top Bottom