Hapa shida inaweza kuwa nini?

Hapa shida inaweza kuwa nini?

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
61,067
Reaction score
124,585
Katika pitpita zangu mitandaoni, nimekutana na hii habari ya Mark wa Mark Angel Comedy (kama humjui potezea point yangu sio hiyo).

Wanaijeria hasa wanawake wanamnanga kwelikweli hata mimi nimeona ni kweli kuna jambo haliko sawa, ndani ya miaka 8 ameoa mara nne?? Swali kwa wanawake unaweza kuolewa na mtu aliyetaliki mara tatu?
Screenshot_20260603-000056.png

Katika pitpita zangu mitandaoni, nimekutana na hii habari ya Mark wa Mark Angel Comedy (kama humjui potezea point yangu sio hiyo). Wanaijeria hasa wanawake wanamnanga kwelikweli hata mimi nimeona ni kweli kuna jambo haliko sawa, ndani ya miaka 8 ameoa mara nne?? Swali kwa wanawake unaweza kuolewa na mtu aliyetaliki mara tatu?
View attachment 3600788
Mboga Moja inachosha.
 
🤣🤣 Wanake huwa tuko delusional sana..unaona wale wote walishindwa kwa sababu hawakuwa mimi ..kwa sababu mimi ni special sana tutadumu
Yale yale ya kujiona una uke mtamu kuliko wengine wote! Mimi hiyo ni redflag haijalishi status ya mtu! Mtu kashindwana na wake wote in very same position aliyopo, wewe woman of wonders unaenda kujaribu, kwa kuhisi ndio highly favored 🤭
 
Katika pitpita zangu mitandaoni, nimekutana na hii habari ya Mark wa Mark Angel Comedy (kama humjui potezea point yangu sio hiyo).

Wanaijeria hasa wanawake wanamnanga kwelikweli hata mimi nimeona ni kweli kuna jambo haliko sawa, ndani ya miaka 8 ameoa mara nne?? Swali kwa wanawake unaweza kuolewa na mtu aliyetaliki mara tatu?
View attachment 3600788
Jamaa anajisambazia upendo tu. Hataki shida na kuishi bila mke hawezi🙆‍♂️
 
Back
Top Bottom