Kijana Usithubutu kuzaa nje ya Ndoa! Tafadhari sana! Uliza wakongwe

Mnapoenda kupiga shoo nje ya ndoa huwa mnategemea nini? Mtoto nje ya ndoa naye ni mtoto kama watoto wa ndani ya ndoa na wanastaili matunzo na urithi wa baba yao. By the way hakuna mtoto wa ndani ya ndoa na nje ya ndoa, watoto wote wako sawa na mama zao ni wake zako toeni matunzo kwa usawa
 
Wewe ndiyo umecheza vibaya mkuu.Mtoto wa nje unazaa na mnyakyusa halafu huhudumii ukitegemea amani….Hakika utakonda sana mkuu
Uki-date na mume wa mtu unatakiwa kujua anachohitaji kutoka kwako ni good time tu. Kula nae good time kama upo kibiashara zaidi piga hivyo vihela vyake lakini suala la kumzalia watoto mwachie mkewe
 
Mnapoenda kupiga shoo nje ya ndoa huwa mnategemea nini? Mtoto nje ya ndoa naye ni mtoto kama watoto wa ndani ya ndoa na wanastaili matunzo na urithi wa baba yao. By the way hakuna mtoto wa ndani ya ndoa na nje ya ndoa, watoto wote wako sawa na mama zao ni wake zako toeni matunzo kwa usawa
We jichanganye udhani utapewa matunzo kwa usawa😂
 
Tafadhari tafadhari sana. Mtoto wa nje ya ndoa ni shida sanaaa!

Hii hesabu haijawahi kukaa vizuri. Mimi ni muhanga
Katika kosa ninalolijutia ni hili, huwa linanipa mateso makubwa sana.

Ukizaa nje ya ndoa halafu mzazi uliyezaa naye akawa hana akili timamu na adabu atakutesa kama una familia stable bora hata asiijue tu.
 
Back
Top Bottom