ndoa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wapo kimaslahi katika ndoa.

    Wanawake naombeni mbadilike.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hivi mnaelewa kweli kinachoendelea siku hizi kwenye migogoro ya ndoa? Talk is so easy

    Hivi mnaelewa kweli kinachoendelea siku hizi kwenye migogoro ya ndoa? Talk is so easy. Kuna jambo ambalo nimekuwa nikilitafakari sana. Mimi siungi mkono kuumizana kwa hali yoyote ile. Mtu akimdhuru mwenzake, hasa kwa kiwango cha kuchukua uhai, hakuna sababu ya kuhalalisha jambo hilo. Lakini...
  3. Ibun balo

    JamiiForums Tanzania Siri za Kistaarabu za Kujenga na Kulinda Heshima ya Ndoa: Nguvu ya Kusamehe na Kusahau

    Habari za wakati huu ndugu zangu wana-jukwaa. Katika mada iliyopita, tulijadili misingi ya kistaarabu ya kutatua migogoro na umuhimu wa kuzuia maneno ya dharau. Leo tunaongezea nguzo nyingine muhimu sana ambayo ndiyo nguzo kuu inayoshikilia ustawi na maisha marefu ya ndoa yoyote iliyofanikiwa...
  4. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mwenzi huu wa 10 wanandoa wawe makini sana na ndoa zao.

    Habari wandugu. Baadhi mtaona kama kitu kipya kwenye masikio yenu. Ukweli ni kwamba kuna mwanamke aliyeishi na Adam na hakutaka kutawaliwa na Adam aliitwa Lilith. Baada ya maisha na Adam akaamua kuasi kuishi kivyake na maisha yake. Huyo Lilith akabadirika akawa umbo la sayari . Kazi kubwa ni...
  5. Ibun balo

    JamiiForums Tanzania Siri za Kistaarabu za Kutatua Migogoro ya Ndoa na Kulinda Ustawi wa Familia

    Habari za wakati huu ndugu zangu wana-jukwaa. Ndoa ni taasisi kubwa na nzuri sana, lakini pia ni mahali ambapo watu wawili wenye asili, mitazamo, na malezi tofauti kabisa hukutana na kuishi pamoja chini ya paa moja. Kutokana na ukweli huu, migogoro au kutokuelewana ni jambo la kawaida na...
  6. Ibun balo

    JamiiForums Tanzania Vipi tutaondosha migogoro ndani ya ndoa zetu...

    Makala ya Kwanza: Siri ya Ndoa: Kwa Nini Mume Ndiye Mboreshaji na Mke Ndiye Mlinzi? Katika ulimwengu wa leo, mafanikio ya ndoa hayaji kwa bahati mbaya, Bali yanahitaji uelewa wa kina wa kisaikolojia—kile tunachoweza kukitea sayansi ya ndoa. Katika misingi ya kudumu...
  7. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Je, unakoroma sana ukilala, na kwamba ndoa yako iko mbioni kuvunjika kutokana na kukoroma huko? Suluhisho lako ni hili hapa 👇

    SULUHISHO LA TATIZO LAKO LA KUKOROMA NI MOJA TU; JIFUNZE KUHEMA KWA KUTUMIA MDOMO UKIWA UMELALA ILI HEWA ITOKE NA KUINGIA KWA UHURU. Hili la kuacha mdomo wazi siku kicha linaweza kuwa gumu, lakini ukifiria kuwa bila kufanya hivyo, ndoa yako inaweza kuvunjika kutokana na kukoroma kama jenereta...
  8. Mzee makoti

    JamiiForums Tanzania Manyanyaso kwenye ndoa

    Wakuu kuna Binti ndoa yake Ina changamoto sana ye na mumewe....mumewe anamnyanyasa mno,kwa kushirikiana na mama mkwe,yaan mama mkwe katoka mkoani hadi mjini anapoishi mwanae wa kiume,ili tu aje kupambana na mke mwana ili aondoke! Picha linaanza jamaa amuachii hela ya kula mkewe,watoto anawapa...
  9. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Kabila la banyankole shangazi hulala na mchumba wa binti yao kabla ya ndoa ili kupima uwezo

    Katika jamii ya kabila la Banyankole nchini Uganda, zipo mila na desturi za kipekee zinazohusu maandalizi ya harusi na ndoa. Miongoni mwa mila zinazovutia na kuzua mjadala ni jukumu la shangazi wa bibi harusi katika kuhakikisha uimara na uwezo wa mwanamume anayetaka kumwoa binti yao. Kwa...
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo vinavyotuuma wanaume kuchapiwa wake zetu nje ya ndoa.

    Wakuu, kuchapiwa sikia tu kwa wenzio yasikukute. Hizi ndio gharama umemgharamia mkeo alafu muhuni anaenda kuichapa bureeeee. ~ mahari umelipa ~ simu, vocha, wanayowasiliana umenunua wewe. ~ Nguo anazovaa wanapokutana umenunua wewe. ~ Chupi anayoenda kuvuliwa umenunua wewe. ~ perfume, viatu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni Safari

    Ndoa ni safari Kama safari ilivyo kuna mteremko, milima. mabonde, mashimo, lami na vumbi. Ndivyo ndoa ilivyo kuna raha na kuna huzuni. Maisha ya ndoa yanaitaji uvumilivu na kusamehena. Wakati nimeingia kwenye ndoa, sikujua kwamba ukiwa kwenye ndoa kunatabia lazima ziondoke ili uweze kuishi kwa...
  12. Akhi

    JamiiForums Tanzania Tukutane 2056 kati ya wanaokubali ndoa na kataa ndoa

    Nawasalimu wakubwa na wadogo Nimefikiria mada hii kwa uoni wa mbali sanaa mana vijana wengi humu ndani saivi wanabishana sana kuhusu ndoa na vijana hawa wengi ni wa 90's Mpaka mwaka huo wengi wa vijana wa 90's kama tutajaaliwa kufika tutakua tushakua wazee sasa nataka tuje kuona wepi walikua...
  13. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27. Mwezi Januari 2026 nilikutana na binti mmoja ambaye nilimpenda na tukaamua kuanzisha uhusiano. Kwa kipindi chote cha zaidi ya miezi saba ambacho tumekuwa kwenye uhusiano, sijawahi kukutana naye kimwili. Sababu anayotoa ni kwamba yeye ni bikira na ameamua...
  14. Sognsvann

    JamiiForums Tanzania Natafuta "MCHUMBA/MKE" lengo NDOA

    Habari. Natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa mahusiano ya kudumu "NDOA NA KUJENGA FAMILIA BORA PAMOJA". Awe na miaka kati ya 22 hadi 33. NB: Kama yupo mwenye uhitaji wa dhati basi tuwasiliane kwa njia ya pm ili tufahamiane na kuona kama tunaweza kutengeneza mahusiano bora na hatimaye tuweze...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya kiroho kati ya jua na mwezi( patano la uwili)

    Leo tujadili ya rohoni kidogo! Katika safari ya maisha ya mwanadamu, jua la kiroho na mwezi wa kiroho ni alama kuu zinazowakilisha nguvu mbili zilizopo ndani ya kila nafsi. Wakati Jua linasimama kama chimbuko la mwanga, utashi wa kimungu, na nishati ya utendaji, mwezi unawakilisha ulimwengu...
  16. prida

    JamiiForums Tanzania Irene uwoya ni mfano hai tuliojionea kupitia Tv kuwa ni hatari kupokea ushauri wa ndoa/mahusiano kutoka kwa mwanamke asiye na ndoa.

    STUPID ME. Moderator naomba mnisaidie kufuta huu uzi🙏🙏 Active Moderator Boqin BlackBold celix 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sio tendo la ndoa ni "ngono"

    Kwa nini Watanzania wanaogopa kusema "ngono" au "kutombana" badala yake wanasema tendo la ndoa (act of marriage) ? Unakuta watu hata hawajaoana wanasema walifanya tendo la ndoa! Ajabu ni kwamba ni rahisi kutamka "sex" lakini kwa Kiswahili wanaogopa!
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mwanadada Lisa ambaye alikuwa mke wa ndoa wa Msanii Mabeste ameachwa na mpenzi wake ambaye alikuwa rafiki wa Mabeste

    Mwanadada Lisa ambaye alikuwa mke wa ndoa Takatifu na Msanii Mabeste hatimaye ameachwa na mpenzi wake ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa mumewe wa zamani Mabeste na mwanaume huyo kuoa mwanamke mwengine baada ya kudumu na Lisa kwa muda mrefu
  19. 3

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Talaka: Titi Brown Asitisha Mipango ya Ndoa

    Mcheza densi na msanii maarufu kutoka Rwanda, Thierry Ishimwe (Titi Brown), ameweka wazi kusitisha kwa muda mipango yake ya kuanzisha familia, akitaja kuongezeka kwa migogoro ya ndoa na changamoto za kisaikolojia zinazowakabili wanandoa wengi katika jamii ya sasa kuwa chanzo kikuu cha uamuzi...
  20. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ndoa nyingine ni mtego: Mtu akistuka tusitie maneno zaidi

    Katika pitapita yangu leo nimekutana na andiko katika Biblia kitabu cha ; 1 Samweli 18:21 "Naye Sauli akasema moyoni, Mimi nitamwoza huyu, awe mtego kwake, tena kwamba mkono wa Wafilisti uwe juu yake. Basi Sauli akamwambia Daudi mara ya pili, Leo utakuwa mkwe wangu". Baada tu ya kusoma mstari...
Back
Top Bottom