ndoa

  1. Jack Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa si kitu chepesi, fanya haya walau upate ahueni

    Salaam jamiiforum Mara nyingi mabandiko yangu yanawahusu vijana wadogo ambao kila Nyanja kwao bado ni ngumu iwe pesa,iwe kazi nzuri, biashara n.k vijana bado mambo ni magumu sana,najua si wote,wapo ambao mambo yao hubebwa na bahati pia Ni rahisi kukuta kijana mdogo asiye na Elimu kubwa kuwa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muda wa wastani wa tendo la ndoa Duniani: Ecuador yaongoza wanatumia dakika 24, Pakistan ya mwisho wanatumia sekunde 42

    Wakuu Nimekutana na ripoti zilizotolewa mtandaoni zinaonesha tofauti kubwa za muda wa wastani wa tendo la ndoa kati ya nchi mbalimbali duniani. Kulingana na orodha, Ecuador inaongoza kwa kuwa na muda mrefu zaidi wa wastani wa ngono, ambao ni dakika 24, ikifuatiwa na Cameroon (dakika 23.5) na...
  3. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mke kakimbia ndoa kisa kazi

    MREJESHO Habari ndugu ZANGU...NADHANI...nilileta Uzi ulisema. MKE WANGU KAACHA NDOA YAKE KISA KAZI.. .. ... Leo nawaletea MREJESHO... Baada ya Mwanamke kuondoka kusikojulikana,,huko alipokuwa alikaa karibia week Moja..Bila Mme ,Wazazi,hata Ndugu kujua alipo... Baada ya kukaa kwa siku zote...
  4. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WAMAMA PUNGUZEN HIZI KAULI KWENYE NDOA ZENU WANAUME WENGI WAMEPINDA NA MAISHA SIKUHIZI USIONE ANACHEKA NYUMBAN

    WAMAMA PUNGUZENI KAULI HIZI KWA WAUME ZENU 🙏 Kila mzazi ana haki ya kumlea mtoto wake. Malezi si jukumu la mama peke yake wala baba peke yake… ni ushirikiano 🤝 Lakini kuna kauli ambazo zinaumiza, zinadhoofisha mamlaka ya baba, na zina changanya watoto😔 Epuka kauli hizi mbele ya watoto👇...
  5. Anana_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa za kikristo ziruhusu talaka kwa watu walioshindwana kama zilivyo ndoa za Kiislam

    Nina myaka 10 kwenye ndoa iliojaa visa, vipigo na kunyan’ganywa umiliki wa mali, Nilipofikia sasa naogopa hadi kununua kijiko kwan ndugu zake wakija ubeba vitu bila kuomba. Mwaka 2018 vilitangazwa viwanja kigamboni nikamshirikisha mwenzangu kununua akasema ni mbali, nikajipinda nikanunua ila...
  6. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa nyingi n AI TYPE

    Niongeze sauti ama Hamjaelewa
  7. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri ndoa ya kislamu?

    Budget ya kharusi yangu ya kislamu nipo sahihi ya siku Moja Kama una experience na ndoa ya kislamu naomba Ushauri Chakula 500,000/ Mavazi 500,000/ Usafiri wa kuoa 500,000/ Tent 100,000/ Madufu Madrasa 100,000/ Mapambo 100,000/ Generator&Mziki 100,000/ Dua ya la Kharusi 100,000/ Mpiga Picha...
  8. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Special Thread

    Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani, Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu. Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu. Vitu...
  9. kalisheshe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zipi tamu na chungu za ndoa?

    Naamini siku ya jana iliisha vyema kwenu, lakini pia nawapa pole waliotumia mali na miili yao vibaya na sasa wanajuta baada ya akili kurudi. Naomba niulize; zipi ni tamu na chungu za kuoa/kuolewa ili nijue nakabiliana vipi na ndugu na jamaa wanaotaka nioe. Karibuni
  10. Liverpool VPN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ""The Russian Guy"" hoja inayojidhihirisha kuwa Ndoa kwa kizazi hiki ni "Upuuzi Mtupuu""

    Twende direct kwenye mada .... Mmejionea wenyewe wake zenu walivyo "paparika" kwa russian guy. Yaani zile ndio tabia halisi Yaani wale ndio mlioa Ila kuna "case" mbili zimenisikitisha sanaaa .... 1. Mdada alitumia gari alilonunuliwa na mumewe na kuwekewa mafuta na mumewe ili kwenda kwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ndoa au bila ndoa chini ya maandiko matakatifu

    Ndoa au bila ndoa chini ya maandiko matakatifu Ndoa ni nini Ndoa ni mkataba unaofungwa katika kanuni timilifu za Mungu, alizozikusudia tangu mwanzo, kati ya nwanamume na mwanamke. Kifungu cha 1Wakorintho 7:28 cha maandiko 1Wakorintho 7:28: "Lakini, kama ukioa, huna hatia; wala mwanamwali...
  12. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cheti cha ndoa kina msaada kugawana mali tukiachana??

    Tutagawana mali maana nina cheti cha ndoa. Pambana umbane mfunge ndoa ili hata akikuacha mgawane mali. Umewahi kuzisikia hizi kauli bila shaka. Hizi ni kauli na mawazo ambayo wanawake na wazazi wengi wako nayo kichwani na vinywani mwao. Leo wacha niwaambie ukweli mchungu. Cheti cha ndoa pekee...
  13. Bacteriophage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Athari zinazopatikana kwa mtoto alielelewa na Single mother

    Kuna baadhi ya wanawake (single mothers) ambao wao wanaamini ya kwamba wana uwezo wa kulea watoto Peke yao bila ya usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza(baba). Na hii imekua ni sababu ya wanawake hao kukataa kuendelea kuishi kwenye maisha ya ndoa wakiamini ya kwamba wana uwezo wa Kusimama Peke yao...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kuzaa na mwanamke nje ya ndoa

    Mimi ni kijana , 25 yrs old . Unmarried Nimekuwa nikisikia mara kadhaa kwa mabro na kwenye forums za kijamii kuwa kati ya makosa makubwa unaweza kuyafanya kama mwanaume ni kuzaa na mwanamke ambaye huna mpango wa kumuoa, yaani kufanya coparenting. Iwapo nina kipato kinachoniwezesha kutoa mahitaji...
  15. Lighton

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshikilia Hatma ya ndoa ya Rafiki yangu

    Habar za usiku huu wakuu NItaeleza kwa ufupi. Huyu ambaye nazungumzia mada yake ni rafiki yangu sana, tunafanya wote kazi sehem moja. Sasa Kuna huyu rafiki yangu mwingine ambaye ni WA nyumbani, ni mjasiriamali ana ofisi yake anafanya biashara zake, ni smart sana. Huyu rafiki yangu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Sheria ya ndoa inahitaji maboresho

    Nilisikia kwenye Chombo cha Habari kuwa; Kwa sheria ya ndoa ya Tanzania, baba ndio anatoa hela za kila kitu kwenye Familia na hela ya Mke haihusu familia...... 1. Baba ana wajibu wa kulea na kutunza familia ikiwemo kujenga nyumba, kulipa ada na kila kitu cha familia yake. Nikaona hii ni ile...
  17. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kupeana tendo la ndoa

    Kisaikolojia, mwanaume ambaye hapati tendo la ndoa anaweza kuwa na changamoto kadhaa zinazohusiana na akili na hisia, ingawa kila mtu ni tofauti. Sababu kuu ni za kisaikolojia ni: 1. Shinikizo la akili na stress • Stress ya kazi, shule, au maisha ya kila siku inaweza kuathiri uwezo wa mwanaume...
  18. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Mume/Mke Uonekana Pale atakapojiondoa Maishani Mwako Wewe Unaemzalau

    Mpendwa Umuhimu wa Mume/Mke Uonekana Pale atakapojiondoa Maishani Mwako Wewe Unaemzalau !Hila kumbuka Leo unae wewe Lakini Yupo Mtu atampa heshima kesho,Nakuomba Mthamini Sana Uliekua nae Kwa kuwa wewe Ukimuona wa Nini hukamwacha Wenzio wa karibu Yako watamchukua na kumng'arisha na kumfaya...
  19. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naenda kudai mtoto wangu kwenye ndoa ya mtu

    Hello habari wadau, mimi ni kijana umri wangu miaka 35 mkazi wa huku jijini mwanza. Katika maisha yangu ya ujana niliwahi kutembea na mwanamke mmoja hivi baadae tukaachana. Baada ya miaka kadhaa tuliwahi kuwasiliana nae ila akagusia kwamba nilimuacha na mimba. Ambayo mimi hakuniambia. Sasa...
  20. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina 3 za wanawake kwenye ndoa wakati wa mapenzi..[unaejipanga usiseme sijakwambia].ukioa ukubaliane na haya

    ✍️Ameandika Chris Mauki ( Mtaalamu wa Saikolojia na Mahusiano) KUNA AINA TATU (3) ZA WANAWAKE KWENYE MUKTADHA WA HISIA ZA TENDO, KILA MWANAUME UNAPASWA KUFAHAMU HII ITAKUSAIDIA KUMUELEWA MWENZA WAKO YUPO KUNDI GANI 1️⃣AINA YA KWANZA ya Mwanamke ni Yule ambaye yeye ana hamu Muda wote ( Yaani...
Back
Top Bottom