Miaka 25 ndoa ya Makamba January na Ramona, shikamoo Ramona

Miaka 25 ndoa ya Makamba January na Ramona, shikamoo Ramona

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,379
Reaction score
9,509
Couple inaenda miaka 25, mbunge huyu wazamani, Jimbo la bumbuli, lushoto Tanga, limenipa furaha,lakini ghafla nikanuna, nikakumbuka jambo.

The no 1 artist kule tandale, katika mahojiano aliwahi kudai kuwa, kipindi ana mahusiano na kimbaumbau kipyenga, ilikua siku Moja kwenye sherehe ya kuzaliwa ya huyo demu, jamaa akajipiga piga kununua zawadi ya gari, mara alie kuwa meneja wa kipyenga akamzawadia bonge Moja la ndinga, msanii wa tandale akapiga hesabu gharama za gari akamuangalia meneja,akaguna meneja anatembelea Noah iliyo choka alafu eti amzawadie demu gari Kali hivi si Bora ange Fanya mtaji.

Msanii akashituka akasema hapa Kuna mchezo unachezwa, kumchunguza akagundua ni furani aliekuwa waziri wa ........... Awamu ya mama kipindi anaingia, jamaa aliumia sana akapiga chini. Sijui dada alisikia hiyo inshu, au zilikia tu stori za msanii wa tandale kupata kiki, sikuepo siwezi sema sana anyway.

Nawatakia kheri ya miaka mwingine zaidi mlezi wangu chamani sisi tuna waiga nyie mmetukuza chamani na mmetuonesha njia MUNGU akubariki bro na Imani siku Moja utarudi kwenye majukum Yako huyu ni miongoni mwa watu walio Jenga chama Kwa pesa zao za mfukoni.

Screenshot_20260604-171718.jpg
 
Back
Top Bottom