Ukiambi wa Sali Sali kweli
Hapo juu n list chache tu na wao wakiamka wanaombea wateja wao ukiwemo wewe
Hapo sijataja wazee wapale mahakaman aka mawakili, yaan pigana na maombi dunian Mungu pekee anajua
Kikibaya unakuta mzee wako anaombea ajali brkdown zake zifanyekazi
Mjomba ana garage wewe...
Leo najisikia kuandika TU na kuwashauri vijana , ipo hivi mimi ni mwalimu na mfanyabiashara mzuri TU ( Mimi sio fala kwenye nchi hii) umri wangu ni 38, ni baba wa watoto watatu nawahudumia kwa kila kitu pamoja na hayo ni bachelor wa mda mrefu.
Miaka kama kumi na mbili nyuma niliapa sitaoa...
Ukimuoa mwanamke mwenye umri wa miaka 27 hadi 30, na ukichukulia kuwa alianza mahusiano ya kimapenzi akiwa na miaka 18, kisha akawa na wastani wa wapenzi watatu kila mwaka, hesabu zinaweza kuonesha kuwa amewahi kuwa na mahusiano na watu kadhaa kabla ya ndoa.
Kwa mfano, ndani ya kipindi hicho...
Wachungaji wa Makanisa ya kilokole punguzeni mashariti acheni kuwatenga mwanamke wanaopata mimba kabla ya ndoa, hii inapelekea ongezeko la utoaji wa mimba.
Na ninyi wanawake mchungaji siyo Mungu ni binadamu kama binadamu wengine acheni kujieleza Kila kitu kwa wachungaji au mnalogwa? ...ongeeni...
abortion
hofu
kabla
kanisa
kilokole
kutengwa
kutoa
kutoa mimba
makanisa
makanisa ya kilokole
mimba
mungu
mwanamke
ndani
ndoa
ukweli
ukweli mchungu
wanawake
Salaam wakuu, mimi ni mwenzenu ila account yangu sijui imefanyaje na ile email walihack ila nimefungua account mpya.
Sasa ndugu zangu mimi nina 38 sasahv na ndio naingia kwenye ndoa, huyu binti nilizaa nae miaka 12 iliyopita, ila nilikuwa sijapata kibali cha kuishi nae pamoja.
Sasa naombeni...
Habari gani kwenu wakuu? Najua mapambano bado yanaendelea, hakuna kukata tamaa..
Kuna uzi niliwahi kushare humu kuhusu huyu mwanamke wangu kuwa na tabia ya kushare mambo yetu ya faragha kwa marafiki zake...
Wanawake sio walezi na watengenezaji wa wanaume na Baba Bora katika family.
Mama Boys ni tatizo jipya katika jamii, ni mijadala na maswali magumu yanatusumbua sisi wana saikolojia, kilipatia majibu na kujenga ndoa imara
Mahusiano ya mama boys na mabinti wengi huishia kubaya na ndoa kutodumu...
UKishafanikiwa utayaita afya ya akili.
Utamwaisha mtoto wako milembe mapema mnooo
Ukifika kule utagundua afya ya akili ya mwananadamu ni uwanda mpana sanaa wakati huku mtaani afya ya akili inapimwa kwa kiwango cha kuokota makopo na kukimbia sokoni matako wazi.
Kufuatia Mjadala uliosambaa Mitandaoni baada ya kauli ya Mtumishi Rose Shaboka kuongelea kuhusu uwa na Elimu 'Degreee' na kuishia kuwa Mke wa kufua boxer na Kupika, basi Godbless Lema amesema yake;
------
Naandika kwa ajili ya binti yangu Brilliant!
Tatizo la zama hizi ni kwamba tunawasilisha...
Iko hivi, kuna mchungaji mmoja ambaye pengine ni mke wa mtu ameelezea vizuri kabisa kwamba hajasoma degree nne ili aje kufua boksa chafu za mume wake.
Kimsingi, yuko sahihi, kila mtu ashikamane na kile alichokifuata kwenye ndoa.
Ieleweke kwamba ndoa ni scam na ubabaishaji mwingi wenye lengo la...
Wapendwa, katika siku za karibuni nimekuwa nikiona ndoa za kifahari zikifungwa na ndugu zetu Waislamu, ni harusi ambazo ni funika bovu ni sherehe za kifahari kwelikweli, lakini kinachonishangaza ni kuwa waoaji yenye familia za upande wa kiumeni hawaonekani ni kama wao wameolewa, upande wa kike...
Katika video hii fupi, Yesu anatoa ushauri kwa team kataa ndoa kwa kuwaambia, "Kataeni dhambi, si lazima mkatae ndoa"
Angalizo: Sura zinazoonekana katika video ni matokeo ya Sanaa na siyo uwakilishi halisi wa wahusika.
https://m.youtube.com/watch?v=MfpPNr5Vujw&pp=ygUMWWVzdSBBbmFqaWJ1
Sijawahi kuoa na sitokuja kujaribu huu utapeli.
Hapa nilipofika Nina watoto wanne toka kwa mama watatu tofauti..Nina wahudumia kikamilifu na kuwapa muda wangu kulingana na uwezo n nafasi yangu .
Tena hao mama wa watoto wangu, wote walikubli kunizalia watoto bila mbambamba Wala kelele.DNA...
Astaghfirullah!! nipo apa mapokezi kuwaonyesha vyumba na kuwakabidhi wateja funguo kiukweli ni mzozo.
Hivi uko kwenye ndoa mnaishi vipi mbona kina mama fulani na baba fulani wanapishana tu.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Chunguzi zangu za kina zinanionyesha haya. Nitazungumza ukweli mwingi ili kuwaponya ambao wanataka kujaribu kujiingiza huko.
2. Wadada wengi baada ya kuumizwa na mapenzi kutoka kwa vijana wenzao. Hufikiri kwamba suluhisho ni kuolewa na wababa watu wazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.